kwani mkuu mbona tunaona Yesu hakumuombea kila mtu ili wapone,ila ni wale waliokutana nao tu na wengine waliomba miujiza,na wengine walilazimisha kuupata uponyaji kwa kutumia imani yake na kuforce kama yule mwanamke aliemshika vazi la yesu na akapona baada ya miaka mingi sana kutokwa kwa damu,mimi nadhani ili uupate muujiza ni lazima uwe tayari ukishakua tayari inakua ni rahisi maana swala ni imani yako tu.usiwe kama yule mtu aliekaa karibu na mto akisubiri mpaka yesu amwambie aende kwenye maji akapokee uponyajiCku ntasikia mchungaji flani kaenda mhimbili au bugando cjui kcmc akapga injili wagonjwa wakakurupuka toka vitandani wakirusha madrip kulee, hiyo cku kwa hiari yangu ntamfata alipo nipige magoti chin aniombee. Lakn hv hv na mambo ya kupuliza mic ati anafukuza mapepo hanipati ng'o here nikae na hayo mapepo yangu
Acha maneno mengi mtumishi.sijakimbia mtu wa Mungu kwanza kabisa tambua wewe ni mtu wa thamani mbele za Mungu,na Mungu anakupenda sana na ana makusudi na maisha yako,na hapendi wewe upotee katika dhambi.
Kirudi kwenye swali lako rahisi kabisa,kwamba ni wapi biblia imeandika kwamba punyeto ni dhambi??
Wagalatia 6:8
Neno: Bibilia Takatifu
8 Mtu apandaye katika tamaa za mwili, ata vuna kutoka katika mwili uharibifu; lakini yeye apandaye katika Roho, atavuna kutoka katika Roho uzima wa milele.
Wakolosai 3:5
Basi, vifisheni viungo vyenu vilivyo katika nchi, uasherati, uchafu, tamaa mbaya, mawazo mabaya, na kutamani, ndiyo ibada ya sanamu
1 Kor 6:9
Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti
Yakobo 1:15-17
Neno: Bibilia Takatifu
15 Kisha tamaa hiyo ikisha chukua mimba, huzaa dhambi; na dhambi ikisha komaa, huzaa mauti.
Yakobo 1:14 BHND
Lakini mtu hujaribiwa anapovutwa na kunaswa na tamaa zake mbaya
Mt 5:28
lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.
Ufunua wa Yohana 21:8-10
N
8 Lakini waoga, na wasioamini na wachafu, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na wanaoabudu sanamu, pamoja na waongo wote, urithi wao upo katika lile ziwa linalowaka moto na kiberiti. Hii ndio mauti ya pili.”
Gal 5:19-21
Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi, ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi, husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu.
Kol 3:5
Basi, vifisheni viungo vyenu vilivyo katika nchi, uasherati, uchafu, tamaa mbaya, mawazo mabaya, na kutamani, ndiyo ibada ya sanamu
PUNYETO HUANZIA
Kwa kutamani ngono hutanguliwa na kutazama picha za ngono au kuvuta picha ya ngono akili mwako
hiyo tamaa hukuwaka na kuamsha hisia za ngono ukamalizia kwa kujichukulia sheria mkononi lakini akilini mwako rohoni mwako unakuwa umevuta picha ya huyo mwanamke unaye MTAMANI tamaa ukakuwaka iwe ni kwa hisia akili mwako au kwa kitazama kuangalia picha za ngono..(ukishamuangalia mwanamke kwa kumtamani tayari umeshazini naye moyoni hiyo bi ZINAA.
Mt 5:27-48
Mmesikia kwamba imenenwa, Usizini; lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.
shamba langu ni kuhibiri hii injili,wote tukilima nani atanunua mazao ya wakulima.Acha maneno mengi mtumishi.
Tafuta shamba ulime
. Mambo na story ya yesu sielewi hata kidogo lakin kama una macho na masikio utaelewa kuwa zaman kipind cha yesu hakukua na hos bt palipohitajika maombi alpija nyumba had nyumba kuombea magonjwa. Mwaka 2000 ndo mwaka nilotambua kuwa dini zililetwa kututumikisha tangu cku hyo cjawai kwenda kanisani hadi wa leo. Therefore amini unachoamini wewe kama wewekwani mkuu mbona tunaona Yesu hakumuombea kila mtu ili wapone,ila ni wale waliokutana nao tu na wengine waliomba miujiza,na wengine walilazimisha kuupata uponyaji kwa kutumia imani yake na kuforce kama yule mwanamke aliemshika vazi la yesu na akapona baada ya miaka mingi sana kutokwa kwa damu,mimi nadhani ili uupate muujiza ni lazima uwe tayari ukishakua tayari inakua ni rahisi maana swala ni imani yako tu.usiwe kama yule mtu aliekaa karibu na mto akisubiri mpaka yesu amwambie aende kwenye maji akapokee uponyaji
. Dini walishaigeuza kitega uchumi na usanii mwingiMtoa mada na hao wachungaji anaowapigia debe Humu wote vichwa maji na matapeli
Mbona WAFIRAJI wamechanwa live bila kupepesa macho?Biblia ina kanuni zake za kuelewa maandiko ndio mana watu wanaenda shule kusoma biblia..
ni sawa na kusema utafute mahali ambapo biblia imeandika USIVUTE SIGARA ama usivute shisha hutaona kuanzia kitabu cha mwanzo wa biblia mpaka kitabu cha mwisho UFUNUO.
lakini hii haina maana kwamba kuvuta sigara siyo dhambi kwa vile hakuna mstari wa neno ulioandika moja kwa moja kuwa USIVUTE SIGARA.
JIBU UNALIPATA HAPA KUWA.
Miili yetu hii siyo ya kwetu na siyo miili tu vyote tulivyonavyo tunavyomiliki hata hii dunia na sisi wwnyewe tunaoishi duniani ni MALI YA MUNGU..haya maisha tumepewa UWAKILI tu na tumepewa amri ya kuitunza dunia miili yetu na vyote tulivyopewa uwakili tuvitumie kwa utukufu wa Mungu na viwe baraka na si laana.
Na miili yetu ni HEKALU LA ROHO MTAKATIFU..tukiitumia miili yetu kwa utukufu wa Mungu yeye Mungu anakuja kukaa mdani yetu(ROHO)
na hii miili yetu ukiotumia vibaya una alika maroho ya giza kuja kukukalia kama kiti cha majini ,unapopiga punyeto una alika majini mahaba yanakuja kuzini na wewe na kufunga nayo ndo za mikataba ya mapepo kwa kuzini ngono kwa kujichua masterbation kujizini punyeto.
ndio maana huwezi kusema huu ni mwili wangu acha nika uchanje chale za waganga wa kienyeji,ay nichore tatuuu au ngoja NIJIUE NIFE au niudhuri kwa kuvuta shisha sigara pombe madawa ya kulevya uzinzi.
Huu mwili umepewa uwakili dhamana uutunze tu,sio wako ni wa Mungu ni nyumba ya Mungu,na amekununua kwa gharama kubwa ya damu ya YESU KRISTO msalabani kukukomboa wewe usipotee katika dhambi.
ni kweli wavuta sigara na wavuta shisha hawajatajwa popote kwenye biblia waziwazi wala wapiga punyeto ...SO WHAT?? kwa hiyo haifanyi punyeto na sigara kuwa siyo dhambi??Mbona WAFIRAJI wamechanwa live bila kupepesa macho?
Wanazingua hao.. kazi kuingilia starehe za watu tuNilikuuliza n wap pameandikwa nyeto ni dhambi, ukakimbia swali ukaishia kuchekacheka kama fala
Hao ukiwaona hospitali jua wamekuja kumpa mtu mpako wa mwisho. Dini ni ushuzi tuCku ntasikia mchungaji flani kaenda mhimbili au bugando cjui kcmc akapga injili wagonjwa wakakurupuka toka vitandani wakirusha madrip kulee, hiyo cku kwa hiari yangu ntamfata alipo nipige magoti chin aniombee. Lakn hv hv na mambo ya kupuliza mic ati anafukuza mapepo hanipati ng'o here nikae na hayo mapepo yangu
Hana jibu huyo.. utamuua tuNgonjera nyingi sana hii siwezi kusoma huu upuuzi wote.
Nyooka, Nenda straight Kwenye Jibu.
Wapi pameandikwa nyeto ni dhambi.
Sitaki kelele mingi, Nyoosha jibu.
Kwa ajili ya injili nayapokea yote na ndivyo ilivyokuwa toka mwanzo wa injili na ndiyo waliyoyapitia mitume na hata KRISTO mwenyewe...lakini wale walio wa Kristo kondoo wake wanamjua mchungaji wao na wanaisikia sauti yake na kuifuata,kupingwa na kuitwa majina ya kichaa muasi na hata kuteswa kukataliwa ni sehemu ya utume.Mleta mada ndio unatakiwa kua mtu wa kwanza kuponywa,
Una tatizo kubwa sana japo bado hujajishtukia tu.
sawa mkuu umeeleweka. Mambo na story ya yesu sielewi hata kidogo lakin kama una macho na masikio utaelewa kuwa zaman kipind cha yesu hakukua na hos bt palipohitajika maombi alpija nyumba had nyumba kuombea magonjwa. Mwaka 2000 ndo mwaka nilotambua kuwa dini zililetwa kututumikisha tangu cku hyo cjawai kwenda kanisani hadi wa leo. Therefore amini unachoamini wewe kama wewe
hata wewe si mzushi tu una lipi unaloliewa wewe kuna kitu hupingi ,sasa kwa kukosa kwako maarifa basi imekua tabu unajibu kwa utu ulionao kichwani,kaa ujifunze meku kujifunza hakuna gharama ni bure ila gharama inakuja baada ya matokeoHao ukiwaona hospitali jua wamekuja kumpa mtu mpako wa mwisho. Dini ni ushuzi tu
"eataombewa"ndio
ndio wanaume wanaopiga PUNYETO wote wataombewa,kuvunja hizo ndoa za mapepo...wataokoleea kutoka kujizini wenyewe...eataombewa buree
Mkiguswa kwenye mafao yanu ya kisanii mnageuka kua mishuzi zaidihata wewe si mzushi tu una lipi unaloliewa wewe kuna kitu hupingi ,sasa kwa kukosa kwako maarifa basi imekua tabu unajibu kwa utu ulionao kichwani,kaa ujifunze meku kujifunza hakuna gharama ni bure ila gharama inakuja baada ya matokeo
PUNYETO NI ZINAA..unapofanya msterbation kujichua ...UNAZINI/UNAJIZINI...Hana jibu huyo.. utamuua tu