Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Mtu yupo hospitali hoi, ety anaambiwa Hana imani ndo mana haponi, Yn mtu yuko hoi atakosaje hiyo imani 😂Hapa ndo mnapowapiga wajinga
Mtu yupo hospitali hoi, ety anaambiwa Hana imani ndo mana haponi, Yn mtu yuko hoi atakosaje hiyo imani 😂Hapa ndo mnapowapiga wajinga
Imani ya ndugu zake wanaomuuguza,kama wakiridhia aombewe au wao wenyewe wakihitaji ndugu yao aombewe.Mtu yupo hospitali hoi, ety anaambiwa Hana imani ndo mana haponi, Yn mtu yuko hoi atakosaje hiyo imani 😂
Source: World Health Organization (WHO) No level of alcohol consumption is safe for our healthmosi mimi si mwanamke ni baba wa familia na baba wa kiroho.
Kuhusu dhambi ya zinaa,mapunyeto ,pombe na ulevi
nahibiri ile injili ya kweli ili watu waifahamu kweli na waokolewe kutoka utumwa wa dhambi
ukweli PUNYETO ni dhambi mbaya kuliko hata mtu anayezini na kahaba halisi
kwa sababu yeye aliyeungana na kahaba amekuwa mwili mmoja na kahaba mwanadamu mwenzake
ila yeye anayefanya PUNYETO amekuwa aliyeungana kimwili na MAJINI mapepo...japo yeye physically atajiona yuko peke yake ila amezungukwa na mapepo ya ya uzinzi.NA NDIO MAANA KUACHA PUNYETO NI NGUMU KAZI SANA kwa sababu ya maagano ya ndoa na maroho hayo.
punyeto ni zinaa na maroho .
DHAMBI NI MAUTI
Mimi niliyepata neema ya kuokolewa kutoka huko kwenye dhambi ambayo ni mauti..PUNYETO NI KITU CHA KUONEWA WIVU.
Halafu mtu unatoka unajipiga kifua mbele ukijinasibu kwa ufahari kuwa wewe ni MPIGA PUNYETO(MUNGU AKUSAIDIE haujui unachojisifia nacho na kuona fahari.
KUHUSU POMBE
Tukiacha kidini,kisayansi tu pombe katika kiwango chochote hata tone moja ni hatari kwa afya yako,angalia tafiti za saratani na magonjwa mbalimbali za shirika la afya duniani (WHO)
ambapo huu mwili wako umepewa uwakili kama dhamana uutunze na ni hekalu nyumba ya roho mtakatifu..hupaswi kuudhuru mwili wako kwa sumu.
POMBE NI SUMU MWILINI.
Mimi namuamini kama ni mtumishi wa Mungu wa kweli,najua pia kuwa Amiel Katekela ana maadui wengi ambao ni wale wa upande wa nguvu za giza kwa vile anatoa siri zao za giza kuzimuni na za freemansory na siri za kuzimu.Amieli Katekela, ni Moja ya watu waongo kupata kutokea hapa duniani, hususani Tanzania.
Niulizeni kwa nini?
Wala hatoi Siri. Ni kwamba yeye ni mtunga story za uwongo aliyekubuhu. Wale wenye akili fupi kama mkia wa sungura ndio watakaonasa katika uwongo wake, sisi wenye upeo mkubwa tunamwona Mbwiga tu 😂.Mimi namuamini kama ni mtumishi wa Mungu wa kweli,najua pia kuwa Amiel Katekela ana maadui wengi ambao ni wale wa upande wa nguvu za giza kwa vile anatoa siri zao za giza kuzimuni na za freemansory na siri za kuzimu.
Kwa hili acha niendelee kuonekana mjinga mbele za wanadamu.Na wewe mwerevu well ,that is good for you.Wala hatoi Siri. Ni kwamba yeye ni mtunga story za uwongo aliyekubuhu. Wale wenye akili fupi kama mkia wa sungura ndio watakaonasa katika uwongo wake, sisi wenye upeo mkubwa tunamwona Mbwiga tu 😂.
Mathayo 9:28-30LUKA 5 19:24
Yesu Amponya Mwenye Kupooza
17 Siku moja Yesu alipokuwa akifundisha, Mafarisayo na walimu wa sheria kutoka katika kila mji wa wilaya za Galilaya, Yudea na Yerusalemu walikuwepo. Na Yesu alikuwa amejaa nguvu ya Mungu ya kuponya wagonjwa.
18-19 Kisha wakaja watu wamembeba mgonjwa aliyepooza kwe nye kitanda. Wakajaribu kumpitisha ndani wamfikishe alipokuwa Yesu, lakini wakashindwa kwa sababu ya msongamano wa watu. Basi wakampandisha juu ya paa, wakaondoa baadhi ya vigae, wakapata nafasi ya kumteremsha yule mgonjwa pamoja na kitanda chake kwa kamba, hadi mbele ya Yesu. 20 Alipoona imani yao, Yesu alimwam bia yule mgonjwa, “Rafiki yangu, umesamehewa dhambi zako.” 21 Wale walimu wa sheria na Mafarisayo wakaanza kusemezana, “Mbona huyu anakufuru! Anadhani yeye ni nani? Hakuna awezae kusamehe dhambi ila Mungu peke yake.”
22 Yesu alifahamu mawazo yao kwa hiyo akawauliza, “Kwa nini mnafikiri mimi ninakufuru? 23 Je, ni lipi lililo rahisi zaidi, kumwambia huyu, ‘Umesamehewa dhambi zako’; au kusema, ‘Simama utembee?
Katekela, aache kelele zake nyingi kama Misanya Bingi bhana! Anachosha ujue.Kwa hili acha niendelee kuonekana mjinga mbele za wanadamu.Na wewe mwerevu well ,that is good for you.
Yakobo 1:6 BHNMathayo 9:28-30
Agano Jipya:
28 Baada ya Yesu kuingia ndani, wasiyeona(vipofu wawili) wakamwendea. Akawauliza, “Mnaamini kuwa ninaweza kuwafanya muone?” Wakajibu, “Ndiyo, Bwana, tunaamini.”
29 Kisha Yesu akayagusa macho yao na akasema, “Kwa kuwa mnaamini kuwa ninaweza kuwafanya muone, hivyo itatokea.” 30 Ndipo wakaweza kuona.
Wacha uongo bana toka lini TAG ikawa na wachungaji wenye nguvu kama ulivyompamba hapo?.Mlioko DODOMA yule mtumishi wa Mungu wa ukweli mwenye nguvu kubwa moto wa Mungu unaounguza wachawi wote na kuwafungua wale wote waliotupiwa uchawi,majini ,mapepo ,laana na kuibiwa nyota zao...vichaa wanapona,kansa zinapona,magonjwa ya kichawi yanapona,MAGONJWA YA FIGO,kisukari,presha,ndoto mbaya,mikosi..zote zinapona...
mchungaji KATEKELA atakuwepo DODOMA nzuguni kwa masista...kuanzia ijumaaa,jumamosi,na jumapili...njoo ufunguliwe...kwa jina la Yesu..mualike na mwenzio..UPONYAJI NI BURE...Yesu alishalipia kwa gharama kubwa ya kuutoa uhai wake na mateso makubwa pale msalabani ..hakuna kulipia YESU alimaliza yote pale msalabani..
nasi tutamshinda shetani kwa DAMU YA MWANAKONDOO.
KATEKELA atakuwepo kuanzia ijumaa,jumamosi na jumapili. mahali TAG -Nzuguni kwa masista.
**habari za mchungaji AMIELI KATEKELA zinafahamika vizuri..kwa wasiomjua moto wake mtafute youtube...huyu ndiye MOSES KULOLA wa kizazi chetu.
MOSSES KULOLAWacha uongo bana toka lini TAG ikawa na wachungaji wenye nguvu kama ulivyompamba hapo?.