Mchungaji Katekela atakuwepo Dodoma kwa uponyaji

Mchungaji Katekela atakuwepo Dodoma kwa uponyaji

Hayo ni maneno yako, na hajasema mungu wako. si ndio??

Nadhani unajua mungu wenu aliwaambia atakae ongeza maneno ataongezewa mapigo.
 
PUNYETO NI ZINAA..unapofanya msterbation kujichua ...UNAZINI/UNAJIZINI...
moyoni mwako ambalo ni zao la mimba ya tamaa mbaya uliyowaka moyoni mwako LUST..

Unapofanya punyeto unakuwa na picha ya tamaa ya ngono akilini mwako..huwezi kufanya punyeto huku unawaza NENO LA MUNGU lazima umeditate kuvuta hisia za ngono picha za ngono...ndipo inajichukulia sheria mkononi..kwa kumaliza tamaa yako kwa mkono wako...ZINAA.
Hv unaelewa Kiswahili kwel ww?

Onyesha kwenye maandiko n wap pameandikwa nyeto ni dhambi

Sasa hapo huelewi nn?
 
ni kweli wavuta sigara na wavuta shisha hawajatajwa popote kwenye biblia waziwazi wala wapiga punyeto ...SO WHAT?? kwa hiyo haifanyi punyeto na sigara kuwa siyo dhambi??

ila hakuna anayelazimishwa kuacha dhambi...hakuna anayelazimishwa kumuamini KRISTO ..ukristo hauna JIHAD.
Ufu 22:11 S
Mwenye kudhulumu na azidi kudhulumu; na mwenye uchafu na azidi kuwa mchafu; na mwenye haki na azidi kufanya haki; na mtakatifu na azidi kutakaswa.
Mkuu shamba lingekuwa suluhisho zuri.

Leo mtu avute zake bangi bila shida na mtu yeyote wewe uite dhambi?

Leo mtu anywe zake bia hajatukana mtu uite dhambi?

Tumia common sense acha kukariri mambo
 
Hawa wafia dini wanakazwa Huko wanaposali hvy hawana akili timamu
luka 6:45
Mtu mwema katika hazina njema ya moyo wake hutoa yaliyo mema, na mtu mwovu katika hazina mbovu ya moyo wake hutoa yaliyo maovu; kwa kuwa mtu, kinywa chake hunena yale yaujazayo moyo wake.

Ebr 12:2-3
tukimtazama Yesu, mwenye kuanzisha na mwenye kutimiza imani yetu; ambaye kwa ajili ya furaha iliyowekwa mbele yake aliustahimili msalaba na kuidharau aibu naye ameketi mkono wa kuume wa kiti cha enzi cha Mungu. Maana mtafakarini sana yeye aliyeyastahimili mapingamizi makuu namna hii ya watendao dhambi juu ya nafsi zao, msije mkachoka, mkizimia mioyoni mwenu

NIMEHUBIRI KWELI ambayo katika hiyo kweli nipo tayari kutukanwa kwa ajili ya injili kweli.
Nami nakuombea nawaombea wote waliofungwa katika vifungo vya ulevi wa pombe,pombe,kamari ,punyeto kujizini wao wenyewe,Mungu awafungue haya matusi ya kuitwa KICHAA,ya kutukanwa matusi ya nguoni,kudhalilishwa...nayadharau nitahuburi na kukemea dhambi,MUNGU awasaidie wote mfunguliwe kutoka kwwnye utumwa wa dhambi.

NEEMA ya Mungu iwafikie mpate kufunguka fahamu zenu na akili mpate kuifahamu iliyo kweli mpate kuwekwa huru..

Yn 8:32
tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru.

Mungu awahurumie na awape rehema zake na neema yake na upendo wake ..mpate kuokolewa kutoka utumwa wa dhambi.

1 Pet 2:23-25 SUV
Yeye alipotukanwa, hakurudisha matukano; alipoteswa, hakuogofya; bali alijikabidhi kwake yeye ahukumuye kwa haki. Yeye mwenyewe alizichukua dhambi zetu katika mwili wake juu ya mti, tukiwa wafu kwa mambo ya dhambi, tuwe hai kwa mambo ya haki; na kwa kupigwa kwake mliponywa. Kwa maana mlikuwa mnapotea kama kondoo; lakini sasa mmemrudia Mchungaji na Mwangalizi wa roho zenu.

Hata SAULO alikuwa anawaua wnaohubiri injili lakini neema ya Mungu ilipomfikia aliokolewa akaitwa PAULO akawa muhibiri wa injili tena mtume akamtumikia Yesu aliyekuwa anampinga na kuwapinga wqnaomuamini.

Waefeso 2:1-6
Nyinyi mlikuwa mmekufa kwa sababu ya makosa na dhambi zenu. Wakati ule mliishi kufuatana na mtindo mbaya wa ulimwengu huu, mkawa mnamtii mtawala wa pepo wenye nguvu wa anga, pepo ambao huwatawala sasa watu wasiomtii Mungu.

Na hata sisi sote tulikuwa kama wao; tuliishi kufuatana na tamaa zetu za kidunia na kufanya tu mambo yale yaliyoipendeza miili na akili zetu. Kidunia, sisi kama vile pia wao, tulistahili ghadhabu ya Mungu. Lakini Mungu ni mwenye huruma nyingi.
Alitupenda kwa mapendo yasiyopimika, hata, ingawa tulikuwa tumekufa kwa sababu ya dhambi, alitufanya hai pamoja na Kristo. Kwa neema ya Mungu nyinyi mmeokolewa. Kwa kuungana na Kristo Yesu, Mungu alitufufua pamoja naye, tukatawale pamoja naye mbinguni.

MUNGU ANAWAPENDA WATU WOTE NA NEEMA YA MUNGU IPO KWA AJILI YA KUOKOA WOTE...

mwenye kiu na aje anywe maji ya uzima hataona tena kiu ya dhambi.

uzinzi na ulevi ,mapunyeto ..hayatamaliza kiu ya dhambi ..utumwa wa dhambi..

ila Yeye Yesu ni maji ya uzima ukiyanywa hutaona tena kiu ya dhambi.
 
Mlioko DODOMA yule mtumishi wa Mungu wa ukweli mwenye nguvu kubwa moto wa Mungu unaounguza wachawi wote na kuwafungua wale wote waliotupiwa uchawi,majini ,mapepo ,laana na kuibiwa nyota zao...vichaa wanapona,kansa zinapona,magonjwa ya kichawi yanapona,MAGONJWA YA FIGO,kisukari,presha,ndoto mbaya,mikosi..zote zinapona...

mchungaji KATEKELA atakuwepo DODOMA nzuguni kwa masista...kuanzia ijumaaa,jumamosi,na jumapili...njoo ufunguliwe...kwa jina la Yesu..mualike na mwenzio..UPONYAJI NI BURE...Yesu alishalipia kwa gharama kubwa ya kuutoa uhai wake na mateso makubwa pale msalabani ..hakuna kulipia YESU alimaliza yote pale msalabani..

nasi tutamshinda shetani kwa DAMU YA MWANAKONDOO.

KATEKELA atakuwepo kuanzia ijumaa,jumamosi na jumapili. mahali TAG -Nzuguni kwa masista.

**habari za mchungaji AMIELI KATEKELA zinafahamika vizuri..kwa wasiomjua moto wake mtafute youtube...huyu ndiye MOSES KULOLA wa kizazi chetu.
Acheni uongo ndugu zangu! Hakuna ulemavu, kisukari, kansa na magonjwa mengine ya kuambukiwa, na yale yasiyo ya kuambukizwa; yanaweza kupona kwa kuombewa. Simple like that! Big NO!!!!
 
Mlioko DODOMA yule mtumishi wa Mungu wa ukweli mwenye nguvu kubwa moto wa Mungu unaounguza wachawi wote na kuwafungua wale wote waliotupiwa uchawi,majini ,mapepo ,laana na kuibiwa nyota zao...vichaa wanapona,kansa zinapona,magonjwa ya kichawi yanapona,MAGONJWA YA FIGO,kisukari,presha,ndoto mbaya,mikosi..zote zinapona...

mchungaji KATEKELA atakuwepo DODOMA nzuguni kwa masista...kuanzia ijumaaa,jumamosi,na jumapili...njoo ufunguliwe...kwa jina la Yesu..mualike na mwenzio..UPONYAJI NI BURE...Yesu alishalipia kwa gharama kubwa ya kuutoa uhai wake na mateso makubwa pale msalabani ..hakuna kulipia YESU alimaliza yote pale msalabani..

nasi tutamshinda shetani kwa DAMU YA MWANAKONDOO.

KATEKELA atakuwepo kuanzia ijumaa,jumamosi na jumapili. mahali TAG -Nzuguni kwa masista.

**habari za mchungaji AMIELI KATEKELA zinafahamika vizuri..kwa wasiomjua moto wake mtafute youtube...huyu ndiye MOSES KULOLA wa kizazi chetu.
Halafu huyo James na Happy wamekaa pozi gani hilo sasa! Na wenyewe wanafanya injili kweli?
 
Halafu huyo James na Happy wamekaa pozi gani hilo sasa! Na wenyewe wanafanya injili kweli?
Lk 1:37
kwa kuwa hakuna neno lisilowezekana kwa Mungu.

Mk 9:23
Yesu akamwambia, Ukiweza!
Yote yawezekana kwake aaminiye

Mit 23:7
Maana aonavyo mtu nafsini mwake, ndivyo alivyo

if you believe in you can you are right,and if you believe you can't you are right also
 
Halafu huyo James na Happy wamekaa pozi gani hilo sasa! Na wenyewe wanafanya injili kweli?
Lk 1:37
kwa kuwa hakuna neno lisilowezekana kwa Mungu.

Mk 9:23
Yesu akamwambia, Ukiweza!
Yote yawezekana kwake aaminiye

Mit 23:7
Maana aonavyo mtu nafsini mwake, ndivyo alivyo

if you believe in you can you are right and if you believe you cant you are very right also.
 
Hapa ndo mnapowapiga wajinga
Kanuni ya ulimwengu wa roho inavyofanya kazi kupitia IMANI

Petro mwanafunzi wa Yesu alipata imani ya kutembea hatua chache juu ya maji pale alipomuona Yesu akitembea juu ya maji.
Lakini alipo tazama pembeni akaona mawimbi ya bahari na upepo HOFU ikamuingia IMANI YAKE IKATINDIKIWA ikapungua ikashuka....pale pale akaanza kuzama chini ya bahari kwa kukosa imani,mpaka pale alipo omba YESU amuokoe asizame baharini.

HOFU mashaka wasiwasi na WOGA ni kukosa imani ,ama kutokuamini.

uhata wachawi wanapokuja kukuwangia moja ya njia wanayoitumia ni kukujengea hofu kwa kuleta mapaka ya kichawi yalie lie karibu na dirishani kwako kama sauti ya watoto wachanga.

au kutengeneza vishindi vya nyayo zinazotembea juu ya paa dari ya nyumba yako

au mabundi yanalia lia au mbwa wanalia kama watu,au upepo mkali n.k

lengo uingie hofu ukose IMANI ukose kujiamini ufungue mlango wa wao wachawi kukufanyia ushirikina wao.

USIPOKUWA NA IMANI...huwezi kupona ..ndio maana mitume hata Yesu mwenyewe kuna wakati aliangalia IMANI ya ndugu za mgonjwa au mgonjwa mwwnyewe.

Aonavyo mtu moyoni mwake ndivyo ilivyo

ukiamini haiwezekani kupona hutapona na ukiamini inawezekana itakuwa hivyo hivyo.

IMANI NI MUHIMU SANA .
 
wataombewa
samahani kwa mkono kuteleza katika kuandika...

huu uzi umevamiwa na wapiga punyeto na walevi

ambao wao wanajisifu na kuona fahari katika matendo hayo.
Una wivu sana ww mwanamke, bc piga nyeto ww mwnyw na pombe unywe ww mwnyw kama unaona sisi tunafaidi kukuzidi
 
Kanuni ya ulimwengu wa roho inavyofanya kazi kupitia IMANI

Petro mwanafunzi wa Yesu alipata imani ya kutembea hatua chache juu ya maji pale alipomuona Yesu akitembea juu ya maji.
Lakini alipo tazama pembeni akaona mawimbi ya bahari na upepo HOFU ikamuingia IMANI YAKE IKATINDIKIWA ikapungua ikashuka....pale pale akaanza kuzama chini ya bahari kwa kukosa imani,mpaka pale alipo omba YESU amuokoe asizame baharini.

HOFU mashaka wasiwasi na WOGA ni kukosa imani ,ama kutokuamini.

uhata wachawi wanapokuja kukuwangia moja ya njia wanayoitumia ni kukujengea hofu kwa kuleta mapaka ya kichawi yalie lie karibu na dirishani kwako kama sauti ya watoto wachanga.

au kutengeneza vishindi vya nyayo zinazotembea juu ya paa dari ya nyumba yako

au mabundi yanalia lia au mbwa wanalia kama watu,au upepo mkali n.k

lengo uingie hofu ukose IMANI ukose kujiamini ufungue mlango wa wao wachawi kukufanyia ushirikina wao.

USIPOKUWA NA IMANI...huwezi kupona ..ndio maana mitume hata Yesu mwenyewe kuna wakati aliangalia IMANI ya ndugu za mgonjwa au mgonjwa mwwnyewe.

Aonavyo mtu moyoni mwake ndivyo ilivyo

ukiamini haiwezekani kupona hutapona na ukiamini inawezekana itakuwa hivyo hivyo.

IMANI NI MUHIMU SANA .
HOFU !
Hofu ni kupugukiwa/KUKOSA IMANI & AMANI kunakopelekea MOYO kupata hisia za wasiwasi,mashaka,woga ,kuhisi hatari/changamoto/tatizo kubwa iliyoko mbele yako kuliko nguvu zako,uwezo wako.
ROHO YA KUKIRI KUSHINDWA/ UDHAIFU/MAUTI
Ni kukiri MOYONI kwamba hatari/changamoto/tatizo iliyopo mbele yako hutaiweza ,imeshakushinda NA MOYO KUKOSA AMANI moyoni.
kibiologia hisia hiyo hupelekea kukosa pumzi(kuhisi kama unanyongwa) ,mapigo ya moyo kwenda mbio/kasi,kutoka jasho,kutetemeka,n.k

HOFU NI KUKOSA IMANI. na ( kukosa amani)
Ni ukosefu wa imani katika kiwango ambacho imani aliyobaki nayo mtu mwenye hofu ni NDOGO KULIKO PUNJE YA MCHELE/punje ya haradani.
Kiwango cha imani anachotakiwa awe nacho mtu ili asiwe na hofu ni size ya punje ya mchele.
IMANI chanzo chake ni kusikia,kuona na hivyo imani inakua inaambukiza na HOFU pia chanzo chake ni kusikia kuona pia HOFU inaambukiza
Vyote hivi imani na hofu vinakaa ndani ya hisia za ndani ya MOYO wa mtu.
Linda sana moyo wako kwani ndiko zinakotoka chemchem za uzima (kama ukiwa na imani kama punje ya mchele) pia moyoni mwako zinatoka chemchem za mauti kama ukikosa imani/ukiwa na HOFU.
Imani ni KUWA NA UHAKIKA wa mambo yatarajiwayo bila kuwa na mashaka/hofu /wasiwasi woga kwa kusikia tu.

2 Timoteo 1:7

Kwani Mungu hakutupa Roho ya kutuogopesha, ila ya kututia nguvu na upendo tuonyeke.

HOFU/WOGA /WASIWASI MASHAKA ni ROHO KAMILI ambayo haitokani na Mungu ni Roho inayotoka kwa shetani ni roho ya mauti.

HOFU NI DHAMBI MBAYA SANA
Mana hofu inakufanya umuone Mungu hana uwezo.

GOLIATI alitumika kuwatia hofu wanaisrael wakawa wanakimbia hata mfalme SAULI hofu ilimfanya ashundwe kumkabili Goliati..
DAUDI alimshinda GOLIATI kwa sababu pamoja na Goliati kuwa mwenye nguvu za kimwili kuwa na size/umbile kubwa na uzoefu wa vita ,kwa sababu DAUDI hakuwa na hofu ila alikuwa na IMANI kubwa juu ya UWEZO wa MUNGU wake .

Musa aliwatuma wapelelezi 12 wakaipeleleze nchi ya KANANI wapelelezi 10 kati yao walikuwa na ROHO ya hofu,woga,wasiwasi,mauti wakaleta habari za kuwatia HOFU kuwambukiza woga,hofu wanaisrael kuwa nchi ile haifai ina MAJITU / MAREFU..
wapelelezi wawili 2 kati yao JOSHUA na Kalebu hawakuwa na Roho ya woga ila walikuwa na IMANI juu ya uwezo na nguvu za Mungu wao..Waliamini kuwa wanayaweza mambo yote katika yeye awatiaye nguvu ,walijua uwezo na nguvu za Mungu kuwa atawapigania kama alivyo wavusha bahari ya shamu , Daudi kadhalika alijua Mungu yule yule aliyemsaidia akamponya na simba na dubu hata kwa GILIATHI atamsaidia.

HOFU NI DHAMBI MBAYA kwa sababu ninkukiri kuwa Mungu hawezi ,yani ni kukiri kuwa tatizo,changamoto,JARIBU,hatari iliyoko mbele yako NI KUBWA kushinda uwezo wa Mungu wako.
Biblia inakwambia yasiyowezekana kwa mwanadamu kwa Mungu yanawezekana.
Hakuna gumu lolote BWANA asiloliweza.

MAJARIBU ni mtaji wa kuongeza imani,AYUBU alipata majaribu mengi lakini alisema BWANA alitoa na BWANA ametwaa hakumlaumu Mungu hakumkufuru Mungu,

HOFU JUU YA NINI?
KUFA..daktari ambaye ni mwanadamu amekwambia huo ugonjwa ulionao hauna TIBA hauponi ,na wewe kwa vile daktari mwanadamu ameshindwa kukuponya basi umeingia na HOFU na kuona kwamba MUNGU pia hawezi,kwa vile mwanadamu ameshindwa una assume hata Mungu hataweza??kweli???

USHUHUDA WA ALIYEKUWA MCHAWI ALIYEOKOKA SASA.
Anasema uchawi ama ushirikina au mapepo au jini hapaswi na hauna ruhusa ya kumuingia binadamu mpaka binadamu mwenyewe afungulie mlango wa kuruhusu mapepo/uchawi uweze kumuingia kumpata na kumdhuru.
HOFU binadamu akiingiwa hofu tu TAYARI anakuwa ameshafungulia mlango wa kuruhusu wao kumuingia ushirkina/uchawi..HIVYO wao walivyokuwa wakifanya walipokuwa washirikina ilikuwa wanatengeneza HOFU moyoni/kuondoa amani ya moyo kwa njia mbali mbali ikiwemo..kutengeneza sauti za vishindo vya hatua za nyayo za mtu akitembea juu ya dari ya nyumba ,ama sauti za kutisha za mapaka yaki unguruma /yakilia kama watoto wachanga /mtu dirishani mwa nyumba au upepo mkali ,au kusababisha mafarakano ,malumbano maadamu tu hiyo nyimba kusiwe na amani,au kutengeneza HOFU ukisikia sauti za vishindo juu ya dari au mapaka yanalia ..ukaingiwa hofu tu moyoni..umefungulia mlango.

Anasema Ukiona unahisi kukosa amani moyoni ..ama roho ya hofu..kemea hata kama unasikia kishindo juu ya dari au mapaka yanalia kama watu /watoto toka nje chukua jiwe piga paka ama kemea kwa ujasiri..USIRUHUSU ROHO YA HOFU ikuingie.
Pia usiruhusu muanze kulumbana kuzozana kupigizana makele kujibizana ..hiyo ni mpango wa shetani ili AONDOE uwepo wa AMANI ya moyo ili aweze kuwaingia bila kumfungulia mlango hawezi kuwaingia kufanya nguvu za giza ushirikina kwenu kama mana amani na hamna hofu.

KUKOSA AMANI NDANI YA MOYO NA KUHISI HOFU WOGA
Ni dalili ya hatari red flag alarm..kengele ya hatari ..inatakiwa hatua za haraka..ni kitu kibaya sana..unavamiwa na nguvu za giza..kama unaona unakosa AMANI ndani ya moyo wako ama una HOFU..ni muda wa kuomba..hata kama unataka kusafiri kwenda mahali..ahirisha omba kwanza mpaka UPATE AMANI YA MOYO na HOFU IKUTOKE.

Petro alikuwa anatembea juu ya maji ya bahari ,alipofika kati kati ya bahari IMANI YAKE IKATINDIKIWA ikapungua baada ya kuangalia mazingira ya pembeni yake akajiona yupo kati kati ya bahari..(HOFU roho ya hofu ikamuingia)
muda huohuo akaanza kuzama..lakini alipomuita YESU muda huo huo Yesu akamshika mkono ili asizame kwenye kina cha maji ya bahari

Sijui wewe ndugu yangu unazama kwenye hofu ya nini,ila muombe Yesu ita jina la Yesu akuokoe usizame.
Kama ni magonjwa Yesu atakurudishia afya yako
Kama binadamu daktari amekwambia huo ugonjwa hauna dawa hauponi ,ila kwa Yesu yote yanawezekana.
KORONA ilipoingia raisi Magufuli hakuruhusi Roho ya hofu juu ya ugonjwa wa mafua ya KORONA ituingie..hofu yenyewe ni ugonjwa,inapunguza hata kinga ya mwili,inaua.

BIBLIA imeandika neno USIOGOPE zaidi ya mara 365 ambazo ni sawa na idadi ya siku zote katika mwaka ili uishi siku zote BILA KUWA NA HOFU YOYOTE.
Hofu haijawahi kumsaidia mtu hata ugonjwa wa KORONA ulipokuja na hofu yake ile yote bado hofu haikuwa na msaada wowote ,hofu haisaidii kitub,haibadilishi kitu chochote kwa kukiogopa.
 
Back
Top Bottom