MOSSES KULOLA
nguvu za Mungu haziangalii aina ya dhehebu kwa kuwa Mungu haangalii kama mwanadamu ,na Mungu amekuwa anajidhuhirisha kupitia vitu vidogo vilivyodharaulliwa kama GIDIONI,DAUDI,WAKOMA kishindo cha wakoma,hata Yesu alikuja duniani kwa upole na kujinyenyekeza,na hata walioomuuliza Yesu ni yupi aliyemkubwa katika nguvu na ufalme wa Mungu akawajibu yeyete aliyejinyenyekeza na kuwa tumikia wwngine aliye mdogo kati yenu ndiye aliye mkubwa
akawaonya wasikae viti vya mbele
Yesu akajishusha kuwasafisha miguu.
Kwa TAG namfahamu MOSSES KULOLA aliyekuwa na nguvu kubwa za MUNGU katika historia ya Tanzania.
sikutakiwa kukujibu