Waislam ni matajiri sana lakini huwezi kusikia mahubiri ya kibaguzi kabisa.
Kuna watu wanaufanya ukristo uwe dini ya hovyo sana wakati haiko hivyo.Ndio maana utakuta watoto wa kike wa Kikristo akiwa mzuri ni bora adange kwa matajiri kuliko kuolewa na mume aliye na kipato cha kawaida.
Arusi zetu zimejaa matumizi makubwa ya anasa yasiyo ya lazima na hawa hawa wachungaji ndio wanayapenda.
Naamini wachungaji wengi ni wafuasi waaminifu wa illuminat na wanajitahidi kuhamasisha vijana wapende pesa hata kama ikibidi kuua.Maana hawa hawa illuminat wameweka mifumo migumu katika tawala nyingi ili kupata utajiri iwe ni lazima kukiuka utu na ubinadamu kwanza.
Wao wanasema uoga wako ndio umaskini wako.
Sent from my Infinix X626 using
JamiiForums mobile app
Hawataki KUELEWA kuwa Kanisa limempokea shetani mapema sana kabla ya Kristo kuja.
Ni uhakika kabisa kuwa Kimaro angekuwepi enzi za Pilato na Serikali ya Kirumi asingekua mfuasi wa Yesu .
Ukitaka kumjua mfuasi na mtumishi wa Kristo ni lazima ujiukize kuwa je, angekuwepi wakati wa Kristo angemfuata au hata kumsikiliza?
Yesu alikua ni mwanaharakati aliyeponga na kuikosoa sana serikali ya Kikoloni pamoja na unafiki wa Viongozi wa dini ya Kiyahudi. Mtu yeyote Aliyekua anapenda anasa za Dunia na maisha ya kifahari kamwe asingeweza kumfuata Mwanaharakati kama huyo mana alikua anahatarisha maisha yake mbele ya Serikali ya Kirumi na Wakuu wa dini.
Msaka Utajiri siku zote anakwenda na upepo wa watawala.
Nakumbuka Kimaro wakati wa Bomoa Bomoa ya Kimara na kibamba hakuwa hata siku Moja kuikosoa serikali au hata kuishauri njia Gani ingetumika zaidi alikua akiisifia serikali ya Awamu ya Tano Kwa kila jambo.
Hivi Dr. Kimaro anaweza kutuonyesha matajiri hata mia moja TU kwenye kanisa lake ?
Mana Tajiri ni mtu aliye na watumishi au watumwa wengi wanaofanya kazi zake na yeye Hana wa kumsimamia juu yake.
Dunia hii ina matajiri WASIOZUDI 20 % wengine wote ni wahangaikaji wa kupangiwa kazi za kufanya.
Hata Kakobe sio Tajiri mana asipoingia Kanisani mwezi mmoja kanisa linakufa na wanaompa pesa ni watu wa kawaida mana matajiri ni wachache.
KKKT ilikua na matajiri kule Arusha na Moshi ,akina Mengi na watu walimpenda , akina Ndesamburo na watu walimpenda na wengineo ambao pia watu waliwapenda sana mana walikua ni wafanyabiashara bila kuhujumu fedha za umma kupitia ajira za umma.
Hao matajiri wanaochukiwa ni wale wanaotumia ofisi za umma kuwa kama Mali zao. Unafika ofisi ya Mkurugenzi una shida unadai pesa zako za kazi halali uliyoifanya halafu wanakutizama kama kebichi lililooza . Halafu pesa walizotakiwa wakulipe wamezikwapua na kwenda kujenga nyumba zao za kupangisha au hoteli baadae wanatoa michango kanisani Kwa sifa kubwa. Yule aliyedhulumiwa alichukia anaonekana ana chuki na matajiri. Hawa sio matajiri ni wezi. Hakuna mtu hata mbwa anayependa mwizi.
Tajiri hawezi kuwa mtumwa mana mfanyakazi wa kuajiriwa ni mtumwa akiyepewa Jina zuri la mfanyakazi. Sasa mtumwa anatumia Mali za bosi kuhujumu wengine halafu ategemee kupendwa wakati Mali anazochezea ni za wote lakini amepewa TU uangalizi.
Tumesikia Polisi wameiba mpaka RAMBIRAMBI na kukwapua pesa za Polisi wanaoumia kazini huku wakiwa wamelipa pesa kidogo kuliko kiwango kilichoanishwa na SHERIA. Sasa hapa watu Huko mitaani wanaonekana ni matajiri na wanakesha kwenye baa na Wanawake kila Kona ,Jumapili wapo inadani Kwa Kimaro wanatoa shukrani ya kukamilisha wizi wao bila kukamatwa halafu waliodhulimiwa Mali zao wasiwachukie .
Pumbavu sana shetani ,