Mchungaji Kimaro amelewa urafiki wake na matajiri

Mchungaji Kimaro amelewa urafiki wake na matajiri

Amewananga maskini na kuwapa sifa kubwa na nyingi matajiri wa kanisa lake, nadhani ndio waliompigania kwenye sakata lake la kibri, jeuri, na dharau kwa wakristo
Ila hao maskini ndo huzika matajiri na masikini wenzao.
 
Kweli kabisa mkuu, mbona misikitini kuna nidhamu. Misikitini msingi mkuu ni maadili, sio pesa na mafanikio.
Tatizo la maadili kuporomoka kwa Viongozi wa dini wa dini zote za Kikiristo kulianza baada ya Viongozi kupenda ku interract na waumini

Wale wa zamani awe padri qu mchungaji muda mwingi walishinda kwenye Monastery zao wakisali .Ilikuwa vigumu kumuona padri au mchungaji akitembelea nyumba za watu akieñda kuna shida kubwa sana au anaenda kubariki nyumba na anenda kavaa kanzu zake za kanisani. Kwa hiyo walijua huduma zaidi sio nani tajiri au nani maskini na kwa kuwa hawakujua mali ni nini? Na hawakuwa na cha kulinganisha sababu walijiishia nyumba za kanisa under strict control

Sasa hivi wakikaa kidogo majumba yao wanaina wanaboreka mbio kwenda kwenye majumba ya waumini huko hadi wanatongozwa au kutongoza na kujikuta wanaingizwa hadi kwenye ma dili ya pesa ya kifisadi ya kuliibia kanisa, kuibia waumini au kutapeli au wao kutapeliwa au kuingizwa mkenge kwenye madili ya ajabu ajabu ya Pesa na kuwatoa kwenye Reli ya utumishi wao

Kimaro naye tayari kaonyesha kuwa mhanga wa hiyo social interaction na waumini wenye uwezo uwe wa kifedha,kisiasa nk

Ndio maana ana loose focus
 
Kimaro na mashabiki wake nawaona hawana maana. Wapo kanisani kama maagenti. Mtu kila siku ni kuongea maneno ya ukakasi. Mchungaji ni wa wote sio wa baadhi ya watu.

Nyie ndo mnasema yana ukakasi
Mmesikiliza mahubiri yote
Au mmehukumu kwa kipande Kama kawaida yenu?
 
Much. Kimaro Mungu akuweke huko ulipo,
Umesema ukweli bila kupepesa,
Hata waswahili wanasema mwenye nacho huongezewa wakimaaniaha kama huna na hutapata.
Jamani ufalme wa mbinguni unatekwa na wenye nguvu...nguvu kiroho na kifedha.
AKILI KICHWANI,
YESU MOYONI,
PESA MFUKONI.
 
Wasalaam JF,

Hekima na busara ni speed governor ya kuzuia kuropoka na kufoka, dhana ya matajiri na maskini ndani ya kanisa si yenye afya, kanisa ni pahala jumuishi, uchakataji wa jumbe za injili unahitaji maandalizi , busara, hekima na ukomavu katika madhabahu.

Yawezekana KKKT imemfanya Mch. Kimaro awe tajiri na ana enjoy raha na utamu wa kuwa sehemu ya kundi la watu matajiri.

Ni kwa neema ndio watu hupata vyote na vyote havigawiki.

Diversity is strength especially in a well coordinated way of thinking and looking at issues squarely.

How do you reach out the message may be so catastrophic.

Nyakati muhimu katika kuishi Imani maarifa yake Mungu ndani yetu yawe nguzo ya vinywa vyetu nyakati za uwakilisho na uwasilisho.

Wadiz
Lakini mbona hata masikini huwa anawapa shavu la ratiba ya kusafisha Kanisa.
Besides, umsikini siyo kitu cha kukilealea ni kutoa makavu tu ili kila mtu aamue kuubwaga umasikini.

Umasikini sasa hivi ni kati ya machochoro makuu ya kuoteshea ushoga
 
Back
Top Bottom