Bila shaka wewe ni maskini sisi matajiri kwetu raha tuWasalaam JF,
Hekima na busara ni speed governor ya kuzuia kuropoka na kufoka, dhana ya matajiri na maskini ndani ya kanisa si yenye afya, kanisa ni pahala jumuishi, uchakataji wa jumbe za injili unahitaji maandalizi , busara, hekima na ukomavu katika madhabahu.
Yawezekana KKKT imemfanya Mch. Kimaro awe tajiri na ana enjoy raha na utamu wa kuwa sehemu ya kundi la watu matajiri.
Ni kwa neema ndio watu hupata vyote na vyote havigawiki.
Diversity is strength especially in a well coordinated way of thinking and looking at issues squarely.
How do you reach out the message may be so catastrophic.
Nyakati muhimu katika kuishi Imani maarifa yake Mungu ndani yetu yawe nguzo ya vinywa vyetu nyakati za uwakilisho na uwasilisho.
Wadiz
Umeandika ukweli mtupu maana imani haina tajiri wala maskini . Huwezi kuta hii kwa waislamu na ndiyo maana hata ukiingia msikitini uwe maskini au tajiri mnachanganyikana huwezi kuta eti mtoa sadaka kubwa mbele mtoa sadaka ndogo nyuma. Hii nayo haijakaa sawa.Waislam ni matajiri sana lakini huwezi kusikia mahubiri ya kibaguzi kabisa.
Kuna watu wanaufanya ukristo uwe dini ya hovyo sana wakati haiko hivyo.Ndio maana utakuta watoto wa kike wa Kikristo akiwa mzuri ni bora adange kwa matajiri kuliko kuolewa na mume aliye na kipato cha kawaida.
Arusi zetu zimejaa matumizi makubwa ya anasa yasiyo ya lazima na hawa hawa wachungaji ndio wanayapenda.
Naamini wachungaji wengi ni wafuasi waaminifu wa illuminat na wanajitahidi kuhamasisha vijana wapende pesa hata kama ikibidi kuua.Maana hawa hawa illuminat wameweka mifumo migumu katika tawala nyingi ili kupata utajiri iwe ni lazima kukiuka utu na ubinadamu kwanza.
Wao wanasema uoga wako ndio umaskini wako.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Tajiri wa gereza la butimba 🤣🤣🤣Bila shaka wewe ni maskini sisi matajiri kwetu raha tu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mulemule yani[emoji23][emoji23][emoji23]Tajiri wa gereza la butimba [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawataki KUELEWA kuwa Kanisa limempokea shetani mapema sana kabla ya Kristo kuja.Waislam ni matajiri sana lakini huwezi kusikia mahubiri ya kibaguzi kabisa.
Kuna watu wanaufanya ukristo uwe dini ya hovyo sana wakati haiko hivyo.Ndio maana utakuta watoto wa kike wa Kikristo akiwa mzuri ni bora adange kwa matajiri kuliko kuolewa na mume aliye na kipato cha kawaida.
Arusi zetu zimejaa matumizi makubwa ya anasa yasiyo ya lazima na hawa hawa wachungaji ndio wanayapenda.
Naamini wachungaji wengi ni wafuasi waaminifu wa illuminat na wanajitahidi kuhamasisha vijana wapende pesa hata kama ikibidi kuua.Maana hawa hawa illuminat wameweka mifumo migumu katika tawala nyingi ili kupata utajiri iwe ni lazima kukiuka utu na ubinadamu kwanza.
Wao wanasema uoga wako ndio umaskini wako.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Ameongea kweliWasalaam JF,
Hekima na busara ni speed governor ya kuzuia kuropoka na kufoka, dhana ya matajiri na maskini ndani ya kanisa si yenye afya, kanisa ni pahala jumuishi, uchakataji wa jumbe za injili unahitaji maandalizi , busara, hekima na ukomavu katika madhabahu.
Yawezekana KKKT imemfanya Mch. Kimaro awe tajiri na ana enjoy raha na utamu wa kuwa sehemu ya kundi la watu matajiri.
Ni kwa neema ndio watu hupata vyote na vyote havigawiki.
Diversity is strength especially in a well coordinated way of thinking and looking at issues squarely.
How do you reach out the message may be so catastrophic.
Nyakati muhimu katika kuishi Imani maarifa yake Mungu ndani yetu yawe nguzo ya vinywa vyetu nyakati za uwakilisho na uwasilisho.
Wadiz
Ameongea factsElimu itolewe watu tuelewe. Kuwa tajiri sio dhambi. Kwa nini walala hoi tunakuwa na chuki na matajiri? Wao sio walio wanaosababisha tuwe na mafukara hivyo kuwa wenye chuki dhidi yao. Ni uvivu wetu umetufikisha hapa. Tuige mbinu gani halali wametumia kuupata utajiri nasi tuwe matajiri kama Wao.
Tunasahau kuwa matajiri ndio wanaotufanya kuonekana watu na maisha haya ya masikini jeuri. Tunavaa tunapendeza kwa viwanda vya nguo zao. Tunatumia simu za viwanda vyao kuingia jf . Tunatumia ndege na magari ya viwanda vyao kutanulia mjini. Maskini mimi hata vijiti vya kuchokonolea meno sijawahi kutengeneza. Naanzia wapi mkulima wa msata kumchukia tajiri.?
Hata Japani Bado matajiri hawazidi 20 wengine wote ni watumwa wao.Elimu itolewe watu tuelewe. Kuwa tajiri sio dhambi. Kwa nini walala hoi tunakuwa na chuki na matajiri? Wao sio walio wanaosababisha tuwe na mafukara hivyo kuwa wenye chuki dhidi yao. Ni uvivu wetu umetufikisha hapa. Tuige mbinu gani halali wametumia kuupata utajiri nasi tuwe matajiri kama Wao.
Tunasahau kuwa matajiri ndio wanaotufanya kuonekana watu na maisha haya ya masikini jeuri. Tunavaa tunapendeza kwa viwanda vya nguo zao. Tunatumia simu za viwanda vyao kuingia jf . Tunatumia ndege na magari ya viwanda vyao kutanulia mjini. Maskini mimi hata vijiti vya kuchokonolea meno sijawahi kutengeneza. Naanzia wapi mkulima wa msata kumchukia tajiri.?
Pole mkuuHata Japani Bado matajiri hawazidi 20 wengine wote ni watumwa wao.
Hivi Kuna mtu alikua anamchukia Mengi ambaye alikua ni mluteri kindakindaki. Au nani Aliyekua anamchukia Marehemu NDESAMBURO . Au nani anamchukia Bahressa au Mo. ?
Nenda marangu kule Kwa kina Dar Express utaona waluteri matajiri waliojenga makanisa Kwa nguvu za matajiri wachache na kukamilisha kila kitu.
Tajiri ni mfanya biashara mkubwa aliyeajiri watu wengi na yeye hua Hana mtu juu yake wa kumsimamia
Sio mtu anadamkia kabiashara ka duka kila siku na akiugua au akisafiri TU wiki kanakufa naye anaitwa Tajiri Kwa sababu . Au mhasibu wa Wizara naye anaitwa Tajiri Kwa sababu kuna madili wanaocheza nayo kwenye pesa za umma . Lakini akifukuzwa kazi mwaka mmoja anachakaa.
Kiufupi ni kwamba Makanisani wengi wanoutwa matajiri ni watu wa kawaida mana wameajiriwa na kama sio wengi kujihusisha na ufisadi wangekua na maisha ya kawaida na pia umaskini ungepungua.
Pakiwa na wezi wa Mali za umma umaskini unaongezeka mana biashara ndogo zinakua ngumu na Kodi inakuwa kubwa.
Nenda kule Halmashauri Kuna walimu wanadai malimbikizo yao miaka nenda Rudi Tena Hela kidogo TU mil. 2 au tatu . Lakini Kuna mtu pale anazikwapua na kwenda kujenga nyumba yake ya kupangisha na jioni amekaa kwenye baa anamwagilia moyo bila kufanya biashara yoyote na kulipa kodi. Hajui kitu faida na hasara. Yule anayedai anahangaika na Mikopo ya saccos ambapo anaweka mpaka Kadi ya Benki . Anajua kabisa Hawezi kupewa madai yake mpaka awe anajulikana au atoe rushwa. Pesa anayodai anaitolea tena rushwa na wanaopokea rushwa Wanakwenda kutoa sadaka Kwa Kimaro na KUONEKANA niatajiri na SUTI za maana .
Pumbavu sana shetani.
Kuna wachungaji kama yeye wanafanya kazi kubwa sana Huko vijijini lakini Wana maisha magumu sana.Huyo mngempeleka Tandahimba uko, muone kama ataendeleza hizo mbwembwe zake.... KKT mnafeli wapi?
Wasalaam JF,
Hekima na busara ni speed governor ya kuzuia kuropoka na kufoka, dhana ya matajiri na maskini ndani ya kanisa si yenye afya, kanisa ni pahala jumuishi, uchakataji wa jumbe za injili unahitaji maandalizi , busara, hekima na ukomavu katika madhabahu.
Yawezekana KKKT imemfanya Mch. Kimaro awe tajiri na ana enjoy raha na utamu wa kuwa sehemu ya kundi la watu matajiri.
Ni kwa neema ndio watu hupata vyote na vyote havigawiki.
Diversity is strength especially in a well coordinated way of thinking and looking at issues squarely.
How do you reach out the message may be so catastrophic.
Nyakati muhimu katika kuishi Imani maarifa yake Mungu ndani yetu yawe nguzo ya vinywa vyetu nyakati za uwakilisho na uwasilisho.
Wadiz
Vibe la kanisa ni maskini mkuu.Tena ni vizuri Matajiri wakatengewa sehemu yao maalum ya kusalia,na hakuna kuwachanganya na Masikini,au unasemaje ndg!!??
Mungu hua anaangalia kile kilichobaki sio kilichotolew.Bila maskini matajiri hawawezi kuwepo.
Kila mtu ana umuhimu wake.
Unaweza kuwa tajiri lakini Kuna vitu kamwe huwezi Fanya akavifanya maskini.
Mungu haangalii mali anaangalia moyo.
Unaweza toa milioni 200 wanadamu wakakusifu ila mwingine akatia mia Tano yake Mungu akaiona na kuipokea kuliko yale makaratasi ya milioni 200.v
Pole ni nyie makristo vipofu mnaofundishwa na walimu vipofu nawote mtaanguka shimoni . Ni maneno ya Yesu sio mimi.Pole mkuu