Ila hao maskini ndo huzika matajiri na masikini wenzao.Amewananga maskini na kuwapa sifa kubwa na nyingi matajiri wa kanisa lake, nadhani ndio waliompigania kwenye sakata lake la kibri, jeuri, na dharau kwa wakristo
Tatizo ni kwa wale wanaotoa vibali vya kuanzisha hizi taasisiKweli kabisa mkuu, mbona misikitini kuna nidhamu. Misikitini msingi mkuu ni maadili, sio pesa na mafanikio.
Hata wakatoliki tunajitahidi kutoweka hiyo mipaka.Kweli kabisa mkuu, mbona misikitini kuna nidhamu. Misikitini msingi mkuu ni maadili, sio pesa na mafanikio.
Tatizo la maadili kuporomoka kwa Viongozi wa dini wa dini zote za Kikiristo kulianza baada ya Viongozi kupenda ku interract na wauminiKweli kabisa mkuu, mbona misikitini kuna nidhamu. Misikitini msingi mkuu ni maadili, sio pesa na mafanikio.
Kimaro na mashabiki wake nawaona hawana maana. Wapo kanisani kama maagenti. Mtu kila siku ni kuongea maneno ya ukakasi. Mchungaji ni wa wote sio wa baadhi ya watu.
Sio kweli, ni chuki zako binafsi, wachagga hawako hivyoMchaga huyo, ni kawaida yao wakishapata hela hawanaga utu, dharau, maringo, majivuno, kauli chechefu n.k
Lakini mbona hata masikini huwa anawapa shavu la ratiba ya kusafisha Kanisa.Wasalaam JF,
Hekima na busara ni speed governor ya kuzuia kuropoka na kufoka, dhana ya matajiri na maskini ndani ya kanisa si yenye afya, kanisa ni pahala jumuishi, uchakataji wa jumbe za injili unahitaji maandalizi , busara, hekima na ukomavu katika madhabahu.
Yawezekana KKKT imemfanya Mch. Kimaro awe tajiri na ana enjoy raha na utamu wa kuwa sehemu ya kundi la watu matajiri.
Ni kwa neema ndio watu hupata vyote na vyote havigawiki.
Diversity is strength especially in a well coordinated way of thinking and looking at issues squarely.
How do you reach out the message may be so catastrophic.
Nyakati muhimu katika kuishi Imani maarifa yake Mungu ndani yetu yawe nguzo ya vinywa vyetu nyakati za uwakilisho na uwasilisho.
Wadiz