Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Tangu lini mngoni akawa muhaya? We endelea kutukuza umaskini tuTehe tehe.
Kajinga sana haka kahaya.
Na kwa jinsi ulivyokonda una bahati hata ulipona ile TB uliyokua unaugua na dawa unachukua pale mnazi mmoja.
Chukua hioWachungaji kama hawa ndo wanafanya wengine tusiwe tunahudhuria kanisani
Kama hujui dhana ya kulinda makabuli kama ilivyo kwenye biblia we endelea kuuza mahindi hapo chato tuUjumbe kaongelea walio hai leo hahubirii walinda makaburi wa miaka hiyo marehemu
Wapi Yesu alisema hakuja kwa ajili ya Matajiri? Umesoma biblia ya wapi Imeandika hivyo?Kimaro na amejua huyo Mataya aliyemzika Yesu alipataje hela?
Yesu mwenyewe alisema hakuja kwa ajili ya matajiri.
Kwani Bwana Yesu alipowateua kina Petro kuwa wanafunzi hao matajiri hawakuwepo?
Kimaro, ongea mengine polepole Mchungaji wangu, nayajua mapungufu yako, bado shetani amekukamia akutoe nje ya mstari.
Nimecheka sana hiiWalipotaka kuandamana baada ya rungu la Malasusa leo hii wanaitwa walinzi wa makaburi
Jf siku hizi imejaa vilaza tu! Mtu haelewi neno amejaa makasiriko yake kutokana na umaskini wake anadandia hoja na kuropoka tu humuKimaro yupo sahihi, vichwa maji hawawezi kuelewa
Kakwama wapi au uelewa wako finyu?Huyu mtumishi kuna sehem anakwama kidogo ndio maana sikushangaa aliposimamishwa
msiojua Bible mna shidaWapi Yesu alisema hakuja kwa ajili ya Matajiri? Umesoma biblia ya wapi Imeandika hivyo?
Kwa hiyo biblia inaposema Petro alimkana Yesu inamdhalilisha?Kifupi kamdhalilisha Petro na wenzake kuwa walijuwa wanakula bure kwa Yesu
Ni udhalilishaji mkubwa na hautamuacha salama
Petrro alikuwa mvuvi mkubwa akimiliki vyombo vya uvuvi
Yesu hakumkuta mzururraji alimkuta na fani yake akiwa na nyumba na maisha yake
Apitie Historia ya mitume wote na aanfakue Yesu Chanzo cha Pesa zakw kilitokea wapi cha kuendesha huduma
Watu walitoa mali zao na ujuzi wao kwa ajili ya huduma Petro ni mmojawapo aliyetoa mali zake zitumike kwenye huduma
Pia alitumia ujuzi wake kwenye huduma.Yesu alipotakiwa na watoza kodi kuwa alipe kodi alimtuma Petro atumie ujuzi wake na mali zake aende kuvua sanaki akavua wakapata pesa za kulipa kodi.Pesa ya kulipa kaizari kodi yake ililetwa na Petro baada ya kutumwa kazi na Yesu ya kuvua na akaifanya
Kumwita Petro kuwa alikuwa akila bure miaka mitatu ni upotofu wa hali ya juu na upagani kabisa
Acha maneno weka kifungu Yesu alisema hakuja kwa ajili ya matajiri tujue kati yako na mimi nani hajui biblia?msiojua Bible mna shida
Takataka tuu,"...ninasadiki kwa kanisa moja ,Takatifu katoliki la mitume...." Kanisa hili halina ubabaishaji kabisa
Kama hujui biblia kaa kimya. Kwenye dhana ya kulinda kaburi inayomaanishwa kwenye kifo cha Yesu. Omba uelimishwe kwanzaKwahiyo sasa hivi maskini wanaitwa walinda makaburi
Petro Alitubu upesi sana haikuchukua hata ,muda muda mfupi Toka alipokana alibadilika Petro alimkana Yesu Usiku na usiku huo huo akatubu .Yesu alisubiwa saa tisa mchanaKwa hiyo biblia inaposema Petro alimkana Yesu inamdhalilisha?
Jinga kabisa
Hiyo inaondoa ukweli kuwa alimkana? Kama hatakiwi kudhalilishwa mbona inaelezewa kwenye biblia kuwa alimkana?Alitubu upesi sana haikuchukua hata muda muda mfupi .Toka alipokana alibadilika Petro alimkana Yesu Usiku na usiku huo huo akatubu .Yesu alisubiwa saa tisa mchana
Na msalabani akisulubiwa mitume walikuwepo na hadi Yesu kabla kufa akamgeukia mmoja wa Mitume akamwambia amtunze mama yake