Ashaanza kulewa sifa, mapinduzi makubwa katika kitabu cha matendo na uzihirisho wa roho Mtakatifu walifanya matajiri? Shida ni jina Kimaro.
Huyu ni Mchungaji wa Mshahara.
Wachaga wamejikita kila mahali Kwa sababu ya kutafuta pesa sio kitu kingine.
Kimaro ni kama Wachaga wengine wenye mbinu nyingi za kutafuta pesa, mbinu chafu na safi Kwa mchaga ni sawa TU alimradi apate pesa.
Miaka ya nyuma kidogo , Ujambazi mkubwa wote ulikua na Wachaga nyuma yake. Wizi wa kitihani miaka ya nyuma ulikua na Wachaga nyuma yake ,Kwa Sasa ndicho kizazi kilichojazana kwenye idara za fedha kila mahali kuanzia hazina na mabenki. Uaminifu wao kwenye pesa ni mdogo sana hasa linapokuja suala la kunyanganya au kutumia hila .
Anyway kwa Sasa angalau wamebadilika kiasi ila kimaro anachochea watu kupenda fedha kuliko kutii Neno la Kristo.
Hawa chungaji wapumbavu hawana tofauti na wapumbavu wanaodharau wanajeshi wanaotoa uhai wao na kuziacha familia zao Kwa mishahara kidogo Kwa ajili ya watu wengine waishi kwa amani . Hawa wachungaji wapumbavu hawana tofauti na watu wanaodharau wapigania uhuru maskini waliokua wanajitolea kupambana na Wakoloni na umaskini wao huku baadhi ya wasomi wakiwa wameungana na Wakoloni na kuendelea kuinjoi maisha kama wazungu weusi.
Uhuru ulipopatikana wasomi waliokua upande wa Wakoloni nao walifurahia sana uhuru na kupata madaraka na kuwasahau maskini .
Wachungaji kama Hawa wapumbavu ndio Wanaosababisha wakristo hawajui kipi kinatangulia kati ya uadilifu na kipato.
Waislam wengi ni wafanyabiashara lakini wanaishi bila madaraja yao KUONEKANA wazi wazi kama ilivyo wakristo.
Mwislam anaweza akaishi Oman akajenga msikiti Liwale bila kujitangaza Wala kujipendekeza Kwa viongozi wa dini.
Sasa huyo Kimaro anafikiri Yesu alizaliwa Marangu au Machame wanaoweka msiba mwezi mzima wakisubiri ndugu kutoka Australia aje kuzika. ?
Hivi Kimaro na PhD yake yote hajui kuwa kwenye Mila za Wayahudi na Waarabu kuzika mtu ni thawabu.
Katika kusoma kwake kote Theologia hakufahamu kuwa zamani hizo palikua na watu waliokua wanatumia muda wao Mwingi kuzika maiti zisizo na watu ili kutafuta thawabu . Kwao ilikua kujitoa kama sadaka. Sio suala la pesa Wala mama yake pesa. Ni lini Kimaro AMEONA Muislam ameachwa kuzikwa kwa sababu ya kukosa pesa. ?
Mila halisi za Yesu na Wayahudi wakati huo mbona zipo wazi kwa Waislam mpaka Leo.? Kwa Waislam maskini na tajiri wote wanabeba jeneza na kwenda kuzika.
Hivi Kimaro yeye ndiye anayewawezesha wakristo au wakristo ndio wanaomwezesha?
Yaani Kimaro anajisahau Kwa kiwango hicho. Hivi Huyo Mchungaji kimaro na Petro nani amefanya kazi kubwa ya kumtangaza Kristo Kwa mazingira magumu na ya hatari bila kujali maslahi. Petro angekua anapewa fungu la Kumi kama kimaro angekua bilionea wa Karne . Anadharai kazi kubwa ya Wanafunzi wa Yesu ambao walihubiri bila kujali maslahi .?
Sijakubaliana na Kimaro.