Mchungaji Kimaro: Matajiri ndio Walimzika Yesu, akina Petro na wenzake waliokula bure miaka 3 walimkimbia!

Hiyo inaondoa ukweli kuwa alimkana? Kama hatakiwi kudhalilishwa mbona inaelezewa kwenye biblia kuwa alimkana?
Mtu akitubu anakuwa kiumbe kipya na dhambi zinafutwa na hazikubukwi mbele za Mungu

Kwa nini ukomae kwa Petro kumkana Yesu wakati dakika chache baadaye alitubu na kurudi kwenye mstari

Hili la kurudi kwenye mstari kwa nini huongelei na Kimaro wako?
Mnakomaa tu ohh alimkana.Hilo la kumkana wala halikuwa permanent hadi Yesu anasulubiwa lilikuwa tukio la muda mfupi sana usiku tena kabla Yesu hajahukumiwa.
 
Ashaanza kulewa sifa, mapinduzi makubwa katika kitabu cha matendo na uzihirisho wa roho Mtakatifu walifanya matajiri? Shida ni jina Kimaro.
Huyu ni Mchungaji wa Mshahara.
Wachaga wamejikita kila mahali Kwa sababu ya kutafuta pesa sio kitu kingine.

Kimaro ni kama Wachaga wengine wenye mbinu nyingi za kutafuta pesa, mbinu chafu na safi Kwa mchaga ni sawa TU alimradi apate pesa.
Miaka ya nyuma kidogo , Ujambazi mkubwa wote ulikua na Wachaga nyuma yake. Wizi wa kitihani miaka ya nyuma ulikua na Wachaga nyuma yake ,Kwa Sasa ndicho kizazi kilichojazana kwenye idara za fedha kila mahali kuanzia hazina na mabenki. Uaminifu wao kwenye pesa ni mdogo sana hasa linapokuja suala la kunyanganya au kutumia hila .

Anyway kwa Sasa angalau wamebadilika kiasi ila kimaro anachochea watu kupenda fedha kuliko kutii Neno la Kristo.

Hawa chungaji wapumbavu hawana tofauti na wapumbavu wanaodharau wanajeshi wanaotoa uhai wao na kuziacha familia zao Kwa mishahara kidogo Kwa ajili ya watu wengine waishi kwa amani . Hawa wachungaji wapumbavu hawana tofauti na watu wanaodharau wapigania uhuru maskini waliokua wanajitolea kupambana na Wakoloni na umaskini wao huku baadhi ya wasomi wakiwa wameungana na Wakoloni na kuendelea kuinjoi maisha kama wazungu weusi.
Uhuru ulipopatikana wasomi waliokua upande wa Wakoloni nao walifurahia sana uhuru na kupata madaraka na kuwasahau maskini .

Wachungaji kama Hawa wapumbavu ndio Wanaosababisha wakristo hawajui kipi kinatangulia kati ya uadilifu na kipato.
Waislam wengi ni wafanyabiashara lakini wanaishi bila madaraja yao KUONEKANA wazi wazi kama ilivyo wakristo.
Mwislam anaweza akaishi Oman akajenga msikiti Liwale bila kujitangaza Wala kujipendekeza Kwa viongozi wa dini.

Sasa huyo Kimaro anafikiri Yesu alizaliwa Marangu au Machame wanaoweka msiba mwezi mzima wakisubiri ndugu kutoka Australia aje kuzika. ?

Hivi Kimaro na PhD yake yote hajui kuwa kwenye Mila za Wayahudi na Waarabu kuzika mtu ni thawabu.
Katika kusoma kwake kote Theologia hakufahamu kuwa zamani hizo palikua na watu waliokua wanatumia muda wao Mwingi kuzika maiti zisizo na watu ili kutafuta thawabu . Kwao ilikua kujitoa kama sadaka. Sio suala la pesa Wala mama yake pesa. Ni lini Kimaro AMEONA Muislam ameachwa kuzikwa kwa sababu ya kukosa pesa. ?
Mila halisi za Yesu na Wayahudi wakati huo mbona zipo wazi kwa Waislam mpaka Leo.? Kwa Waislam maskini na tajiri wote wanabeba jeneza na kwenda kuzika.

Hivi Kimaro yeye ndiye anayewawezesha wakristo au wakristo ndio wanaomwezesha?

Yaani Kimaro anajisahau Kwa kiwango hicho. Hivi Huyo Mchungaji kimaro na Petro nani amefanya kazi kubwa ya kumtangaza Kristo Kwa mazingira magumu na ya hatari bila kujali maslahi. Petro angekua anapewa fungu la Kumi kama kimaro angekua bilionea wa Karne . Anadharai kazi kubwa ya Wanafunzi wa Yesu ambao walihubiri bila kujali maslahi .?
Sijakubaliana na Kimaro.
 
Mtu akitubu anakuwa kiumbe kipya na dhambi zinafutwa na hazikubukwi mbele za Mungu

Kwa nini ukomae kwa Petro kumkana Yesu wakati dakika chache baadaye alitubu na kurudi kwenye mstari

Hili la kurudi kwenye mstari kwa nini huongelei na Kimaro wako?
Mnakomaa tu ohh alimkana.Hilo la kumkana wala halikuwa permanent hadi Yesu anasulubiwa lilikuwa tukio la muda mfupi sana usiku tena kabla Yesu hajahukumiwa.
Kama Petro hatakiwi kudhalilishwa kama unavyodai ambacho ni ujinga basi isingeelezewa kwenye biblia tunazosoma. Wapi imesema kuwa Mchungaji kamuhukumu petro? Au una maujinga yako tu kichwani?

Ni ukweli pia tajiri ndo aliyeenda kuomba kuuhifadhi mwili wa Yesu na sio kina Petro. Hivyo mchungaji Kimaro yuko sahihi kama una jambo nae litafute kwenye hoja nyingine sio hapo
 
Huyu ni Mchungaji wa Mshahara.
Wachaga wamejikita kila mahali Kwa sababu ya kutafuta pesa sio kitu kingine.

Kimaro ni kama Wachaga wengine wenye mbinu nyingi za kutafuta pesa, mbinu chafu na safi Kwa mchaga ni sawa TU alimradi apate pesa.
Miaka ya nyuma kidogo , Ujambazi mkubwa wote ulikua na Wachaga nyuma yake. Wizi wa kitihani miaka ya nyuma ulikua na Wachaga nyuma yake ,Kwa Sasa ndicho kizazi kilichojazana kwenye idara za fedha kila mahali kuanzia hazina na mabenki. Uaminifu wao kwenye pesa ni mdogo sana hasa linapokuja suala la kunyanganya au kutumia hila .

Anyway kwa Sasa angalau wamebadilika kiasi ila kimaro anachochea watu kupenda fedha kuliko kutii Neno la Kristo.

Hawa chungaji wapumbavu hawana tofauti na wapumbavu wanaodharau wanajeshi wanaotoa uhai wao na kuziacha familia zao Kwa mishahara kidogo Kwa ajili ya watu wengine waishi kwa amani . Hawa wachungaji wapumbavu hawana tofauti na watu wanaodharau wapigania uhuru maskini waliokua wanajitolea kupambana na Wakoloni na umaskini wao huku baadhi ya wasomi wakiwa wameungana na Wakoloni na kuendelea kuinjoi maisha kama wazungu weusi.
Uhuru ulipopatikana wasomi waliokua upande wa Wakoloni nao walifurahia sana uhuru na kupata madaraka na kuwasahau maskini .

Wachungaji kama Hawa wapumbavu ndio Wanaosababisha wakristo hawajui kipi kinatangulia kati ya uadilifu na kipato.
Waislam wengi ni wafanyabiashara lakini wanaishi bila madaraja yao KUONEKANA wazi wazi kama ilivyo wakristo.
Mwislam anaweza akaishi Oman akajenga msikiti Liwale bila kujitangaza Wala kujipendekeza Kwa viongozi wa dini.

Sasa huyo Kimaro anafikiri Yesu alizaliwa Marangu au Machame wanaoweka msiba mwezi mzima wakisubiri ndugu kutoka Australia aje kuzika. ?

Hivi Kimaro na PhD yake yote hajui kuwa kwenye Mila za Wayahudi na Waarabu kuzika mtu ni thawabu.
Katika kusoma kwake kote Theologia hakufahamu kuwa zamani hizo palikua na watu waliokua wanatumia muda wao Mwingi kuzika maiti zisizo na watu ili kutafuta thawabu . Kwao ilikua kujitoa kama sadaka. Sio suala la pesa Wala mama yake pesa. Ni lini Kimaro AMEONA Muislam ameachwa kuzikwa kwa sababu ya kukosa pesa. ?
Mila halisi za Yesu na Wayahudi wakati huo mbona zipo wazi kwa Waislam mpaka Leo.? Kwa Waislam maskini na tajiri wote wanabeba jeneza na kwenda kuzika.

Hivi Kimaro yeye ndiye anayewawezesha wakristo au wakristo ndio wanaomwezesha?

Yaani Kimaro anajisahau Kwa kiwango hicho. Hivi Huyo Mchungaji kimaro na Petro nani amefanya kazi kubwa ya kumtangaza Kristo Kwa mazingira magumu na ya hatari bila kujali maslahi. Petro angekua anapewa fungu la Kumi kama kimaro angekua bilionea wa Karne . Anadharai kazi kubwa ya Wanafunzi wa Yesu ambao walihubiri bila kujali maslahi .?
Sijakubaliana na Kimaro.
Umeropoka maneno mengi na wala hujaelewa hoja ya mchungaji Kimaro imejikita wapi.

Zaidi umeropoka uharo tu humu kujaza server.

Hoja ya mchungaji usiwachukie matajiri kwa kuwa tajiri ndo aliyejitolea kuhifadhi mwili wa Yesu
 
Acha maneno weka kifungu Yesu alisema hakuja kwa ajili ya matajiri tujue kati yako na mimi nani hajui biblia?
Watu ambao hamjui kitu ndio huwa mnabisha sana. Toka umeanza kubishi hakuna hata cha maana ulichofafanua zaidi ya kuita watu masikini!
Unabore!!! 😏😏
 
Basi weka wewe kifungu cha Biblia Yesu anasema hakuja kwa ajili ya matajiri. Nina laki moja yako hapa
 
Ni ukweli pia tajiri ndo aliyeenda kuomba kuuhifadhi mwili wa Yesu na sio kina Petro. Hivyo mchungaji Kimaro yuko sahihi kama una jambo nae litafute kwenye hoja nyingine sio hapo
Pesa zimwemwathiri Kimaro

Na mila pia kabila yake matajiri hujitokeza sana kuchangia marehemu akifa ndio maana kafananisha na Yusuf wa Almathaya

Makabila mengine huheshimu sana mtu asimamaye na mtu akiwa hai sio akifa

Akina Petro na wenzake walikuwa na Yesu full time jua liwake mvua inyeshe,kwenye shida kama chombo kikitaka kuzama kwa upepo.mkali walikuwa naye huko hakuwa na Yusuf wa Alimataya

Walikuwa na Yesu kwenye shida na raha
 
Amesahau kisa cha Yule kikongwe na Senti zake mbili??

Amesahau kisa cha Masikin na Tajiri kwenye maombi yao, Mungu akakubali ya Masikin.

Kasahau hata Yesu alisema Tajiri kukuona ufalme ni sawa na Ngamia kuoenya Tundu la sindano?.

Wakati Kimaro anafundisha Utajiri wa Mali, Yesu anataka uwe Tajiri wa Roho

Huyu naye tuko naye motoni tu 🤣🤣
 
Pesa zimwemwathiri Kimaro

Na mila pia kabila yake matajiri hujitokeza sana kuchangia marehemu akifa ndio maana kafananisha na Yusuf wa Almathaya

Makabila mengine huheshimu sana mtu asimamaye na mtu akiwa hai sio akifa

Akina Petro na wenzake wakikuwa na Yesu full time jua liwake mvua innyeshe,kwenye shida kama chombo kikitaka kuzama kwa upepo.mkali walikuwa naye huko hakuwa na Yusuf wa Alimataya

Walikuwa na Yesu kwenye shida na raha
Kumbe hoja yako imehamia kwenye kabila?

Kwa hiyo una shida na wachaga sio

Basi umeeleweka. Kumbe shida yako ni wachaga na ndo mana unamchukia Kimaro sio?

Basi tumekuelewa. Uwe unasema sasa tangu mwanzo sio unajificha kwenye hoja usizoweza kuzitetea.
 
Amesahau kisa cha Yule kikongwe na Senti zake mbili??

Amesahau kisa cha Masikin na Tajiri kwenye maombi yao, Mungu akakubali ya Masikin.

Kasahau hata Yesu alisema Tajiri kukuona ufalme ni sawa na Ngamia kuoenya Tundu la sindano?.

Wakati Kimaro anafundisha Utajiri wa Mali, Yesu anataka uwe Tajiri wa Roho

Huyu naye tuko naye motoni tu 🤣🤣
Kina nani walikuwa wanamlisha Yesu na kundi lake? Matajiri au maskini?

Nani aliyeenda kuuzika mwili wa Yesu? Tajiri au maskini?
 
Kifupi Kimaro akae mbali na mtume Petro kumdhalilisha

Mtume Petro sio saizi yake kihuduma

Mtume Petro siku ya Pentecoste alihubiri wakaokoka watu elfu tatu kwa mpigo na kuingia Ukristo
Petro akitembea hadi kivuli chake kiliponya wagonjwa

Hawezi jilinganisha naye.Yeye Kimaro ambaye ni motivational speaker tu kama wengine tofauti yake na motivational speakers wengine yeye ana quote vifungu tu vya Biblia hapa na pale kuunga mkono hoja zake

Akae Mbali na Mtume Petro sio viwango vyake he is not his equal
 
Umeropoka maneno mengi na wala hujaelewa hoja ya mchungaji Kimaro imejikita wapi.

Zaidi umeropoka uharo tu humu kujaza server.

Hoja ya mchungaji usiwachukie matajiri kwa kuwa tajiri ndo aliyejitolea kuhifadhi mwili wa Yesu
Unamaanisha kwakuwa tajiri alijitolea kumzika Yesu basi hakuna sababu yakujulia pengine utajari wake aliua watu au alipokea Rushwa..! ilimradi ni tajiri basi....unachosema ndio maana zamani Viongozi wa Nchi walikuwa wanakwenda kwa Makuhani kuambiwa habari ya tawala zao but nowadays... Viongozi wa dini wanapiga magoti kwa watawala nakuwaabudu hata kama watawala hao ni wanadhulumu watu wao wanaiba rasilimali za Nchi...wabambakia kesi .....
nihivi Mchungaji anaweza kuwa na Hoja nzuri tu kwenye hubiri lake Ila anatakiwa afafanue zaidi ili aeleweke
 
Back
Top Bottom