Mchungaji Kimaro: Matajiri ndio Walimzika Yesu, akina Petro na wenzake waliokula bure miaka 3 walimkimbia!

Kimaro na amejua huyo Mataya aliyemzika Yesu alipataje hela?

Yesu mwenyewe alisema hakuja kwa ajili ya matajiri.

Kwani Bwana Yesu alipowateua kina Petro kuwa wanafunzi hao matajiri hawakuwepo?

Kimaro, ongea mengine polepole Mchungaji wangu, nayajua mapungufu yako, bado shetani amekukamia akutoe nje ya mstari.
 
Wapi Yesu alisema hakuja kwa ajili ya Matajiri? Umesoma biblia ya wapi Imeandika hivyo?
 
Kifupi kamdhalilisha Petro na wenzake kuwa walijuwa wanakula bure kwa Yesu

Ni udhalilishaji mkubwa na hautamuacha salama

Petrro alikuwa mvuvi mkubwa akimiliki vyombo vya uvuvi

Yesu hakumkuta mzururraji alimkuta na fani yake akiwa na nyumba na maisha yake
Apitie Historia ya mitume wote na aanfakue Yesu Chanzo cha Pesa zakw kilitokea wapi cha kuendesha huduma

Watu walitoa mali zao na ujuzi wao kwa ajili ya huduma Petro ni mmojawapo aliyetoa mali zake zitumike kwenye huduma

Pia alitumia ujuzi wake kwenye huduma.Yesu alipotakiwa na watoza kodi kuwa alipe kodi alimtuma Petro atumie ujuzi wake na mali zake aende kuvua sanaki akavua wakapata pesa za kulipa kodi.Pesa ya kulipa kaizari kodi yake ililetwa na Petro baada ya kutumwa kazi na Yesu ya kuvua na akaifanya

Kumwita Petro kuwa alikuwa akila bure miaka mitatu ni upotofu wa hali ya juu na upagani kabisa
 
Kwa hiyo biblia inaposema Petro alimkana Yesu inamdhalilisha?

Jinga kabisa
 
Petro Alitubu upesi sana haikuchukua hata ,muda muda mfupi Toka alipokana alibadilika Petro alimkana Yesu Usiku na usiku huo huo akatubu .Yesu alisubiwa saa tisa mchana

Na msalabani akisulubiwa mitume walikuwepo na hadi Yesu kabla kufa akamgeukia mmoja wa Mitume akamwambia amtunze mama yake
 
Alitubu upesi sana haikuchukua hata muda muda mfupi .Toka alipokana alibadilika Petro alimkana Yesu Usiku na usiku huo huo akatubu .Yesu alisubiwa saa tisa mchana

Na msalabani akisulubiwa mitume walikuwepo na hadi Yesu kabla kufa akamgeukia mmoja wa Mitume akamwambia amtunze mama yake
Hiyo inaondoa ukweli kuwa alimkana? Kama hatakiwi kudhalilishwa mbona inaelezewa kwenye biblia kuwa alimkana?
 
Back
Top Bottom