Mtu akitubu anakuwa kiumbe kipya na dhambi zinafutwa na hazikubukwi mbele za MunguHiyo inaondoa ukweli kuwa alimkana? Kama hatakiwi kudhalilishwa mbona inaelezewa kwenye biblia kuwa alimkana?
Mkuu wa kanisa lake hakukosea kumpa likizo!!!Amekosea... kila mtu ana umuhimu wake.
Hao anaosema ni maskini ndo huwa wanatenga mda wa kuja kudeki kanisani na kufanya usafi wa mazingira.
Huyu ni Mchungaji wa Mshahara.Ashaanza kulewa sifa, mapinduzi makubwa katika kitabu cha matendo na uzihirisho wa roho Mtakatifu walifanya matajiri? Shida ni jina Kimaro.
Alikuwa sahihi mia kwa miaMkuu wa kanisa lake hakukosea kumpa likizo!!!
Kama Petro hatakiwi kudhalilishwa kama unavyodai ambacho ni ujinga basi isingeelezewa kwenye biblia tunazosoma. Wapi imesema kuwa Mchungaji kamuhukumu petro? Au una maujinga yako tu kichwani?Mtu akitubu anakuwa kiumbe kipya na dhambi zinafutwa na hazikubukwi mbele za Mungu
Kwa nini ukomae kwa Petro kumkana Yesu wakati dakika chache baadaye alitubu na kurudi kwenye mstari
Hili la kurudi kwenye mstari kwa nini huongelei na Kimaro wako?
Mnakomaa tu ohh alimkana.Hilo la kumkana wala halikuwa permanent hadi Yesu anasulubiwa lilikuwa tukio la muda mfupi sana usiku tena kabla Yesu hajahukumiwa.
Umeropoka maneno mengi na wala hujaelewa hoja ya mchungaji Kimaro imejikita wapi.Huyu ni Mchungaji wa Mshahara.
Wachaga wamejikita kila mahali Kwa sababu ya kutafuta pesa sio kitu kingine.
Kimaro ni kama Wachaga wengine wenye mbinu nyingi za kutafuta pesa, mbinu chafu na safi Kwa mchaga ni sawa TU alimradi apate pesa.
Miaka ya nyuma kidogo , Ujambazi mkubwa wote ulikua na Wachaga nyuma yake. Wizi wa kitihani miaka ya nyuma ulikua na Wachaga nyuma yake ,Kwa Sasa ndicho kizazi kilichojazana kwenye idara za fedha kila mahali kuanzia hazina na mabenki. Uaminifu wao kwenye pesa ni mdogo sana hasa linapokuja suala la kunyanganya au kutumia hila .
Anyway kwa Sasa angalau wamebadilika kiasi ila kimaro anachochea watu kupenda fedha kuliko kutii Neno la Kristo.
Hawa chungaji wapumbavu hawana tofauti na wapumbavu wanaodharau wanajeshi wanaotoa uhai wao na kuziacha familia zao Kwa mishahara kidogo Kwa ajili ya watu wengine waishi kwa amani . Hawa wachungaji wapumbavu hawana tofauti na watu wanaodharau wapigania uhuru maskini waliokua wanajitolea kupambana na Wakoloni na umaskini wao huku baadhi ya wasomi wakiwa wameungana na Wakoloni na kuendelea kuinjoi maisha kama wazungu weusi.
Uhuru ulipopatikana wasomi waliokua upande wa Wakoloni nao walifurahia sana uhuru na kupata madaraka na kuwasahau maskini .
Wachungaji kama Hawa wapumbavu ndio Wanaosababisha wakristo hawajui kipi kinatangulia kati ya uadilifu na kipato.
Waislam wengi ni wafanyabiashara lakini wanaishi bila madaraja yao KUONEKANA wazi wazi kama ilivyo wakristo.
Mwislam anaweza akaishi Oman akajenga msikiti Liwale bila kujitangaza Wala kujipendekeza Kwa viongozi wa dini.
Sasa huyo Kimaro anafikiri Yesu alizaliwa Marangu au Machame wanaoweka msiba mwezi mzima wakisubiri ndugu kutoka Australia aje kuzika. ?
Hivi Kimaro na PhD yake yote hajui kuwa kwenye Mila za Wayahudi na Waarabu kuzika mtu ni thawabu.
Katika kusoma kwake kote Theologia hakufahamu kuwa zamani hizo palikua na watu waliokua wanatumia muda wao Mwingi kuzika maiti zisizo na watu ili kutafuta thawabu . Kwao ilikua kujitoa kama sadaka. Sio suala la pesa Wala mama yake pesa. Ni lini Kimaro AMEONA Muislam ameachwa kuzikwa kwa sababu ya kukosa pesa. ?
Mila halisi za Yesu na Wayahudi wakati huo mbona zipo wazi kwa Waislam mpaka Leo.? Kwa Waislam maskini na tajiri wote wanabeba jeneza na kwenda kuzika.
Hivi Kimaro yeye ndiye anayewawezesha wakristo au wakristo ndio wanaomwezesha?
Yaani Kimaro anajisahau Kwa kiwango hicho. Hivi Huyo Mchungaji kimaro na Petro nani amefanya kazi kubwa ya kumtangaza Kristo Kwa mazingira magumu na ya hatari bila kujali maslahi. Petro angekua anapewa fungu la Kumi kama kimaro angekua bilionea wa Karne . Anadharai kazi kubwa ya Wanafunzi wa Yesu ambao walihubiri bila kujali maslahi .?
Sijakubaliana na Kimaro.
Watu ambao hamjui kitu ndio huwa mnabisha sana. Toka umeanza kubishi hakuna hata cha maana ulichofafanua zaidi ya kuita watu masikini!Acha maneno weka kifungu Yesu alisema hakuja kwa ajili ya matajiri tujue kati yako na mimi nani hajui biblia?
Basi weka wewe kifungu cha Biblia Yesu anasema hakuja kwa ajili ya matajiri. Nina laki moja yako hapaWatu ambao hamjui kitu ndio huwa mnabisha sana. Toka umeanza kubishi hakuna hata cha maana ulichofafanua zaidi ya kuita watu masikini!
Unabore!!! 😏😏
Pesa zimwemwathiri KimaroNi ukweli pia tajiri ndo aliyeenda kuomba kuuhifadhi mwili wa Yesu na sio kina Petro. Hivyo mchungaji Kimaro yuko sahihi kama una jambo nae litafute kwenye hoja nyingine sio hapo
Kumbe hoja yako imehamia kwenye kabila?Pesa zimwemwathiri Kimaro
Na mila pia kabila yake matajiri hujitokeza sana kuchangia marehemu akifa ndio maana kafananisha na Yusuf wa Almathaya
Makabila mengine huheshimu sana mtu asimamaye na mtu akiwa hai sio akifa
Akina Petro na wenzake wakikuwa na Yesu full time jua liwake mvua innyeshe,kwenye shida kama chombo kikitaka kuzama kwa upepo.mkali walikuwa naye huko hakuwa na Yusuf wa Alimataya
Walikuwa na Yesu kwenye shida na raha
Kina nani walikuwa wanamlisha Yesu na kundi lake? Matajiri au maskini?Amesahau kisa cha Yule kikongwe na Senti zake mbili??
Amesahau kisa cha Masikin na Tajiri kwenye maombi yao, Mungu akakubali ya Masikin.
Kasahau hata Yesu alisema Tajiri kukuona ufalme ni sawa na Ngamia kuoenya Tundu la sindano?.
Wakati Kimaro anafundisha Utajiri wa Mali, Yesu anataka uwe Tajiri wa Roho
Huyu naye tuko naye motoni tu 🤣🤣
Laki moja ndo mende gani?!Basi weka wewe kifungu cha Biblia Yesu anasema hakuja kwa ajili ya matajiri. Nina laki moja yako hapa
Acha manenoLaki moja ndo mende gani?!
Ukiwa chizi unaona kila mtu chizi mwenzio!Acha maneno
Weka kifungu Yesu alisema hakuja kwa ajili ya matajiri chizi wewe!
Ndo ujue huna hoja. Hadi sasa umeshindwa kuweka hicho kifungu. Haya kakojoe ukalaleUkiwa chizi unaona kila mtu chizi mwenzio!
Naww wacha UPUMBAVU....Kama hujui biblia kaa kimya. Kwenye dhana ya kulinda kaburi inayomaanishwa kwenye kifo cha Yesu. Omba uelimishwe kwanza
Wewe ndo mpumbavuNaww wacha UPUMBAVU....
Unamaanisha kwakuwa tajiri alijitolea kumzika Yesu basi hakuna sababu yakujulia pengine utajari wake aliua watu au alipokea Rushwa..! ilimradi ni tajiri basi....unachosema ndio maana zamani Viongozi wa Nchi walikuwa wanakwenda kwa Makuhani kuambiwa habari ya tawala zao but nowadays... Viongozi wa dini wanapiga magoti kwa watawala nakuwaabudu hata kama watawala hao ni wanadhulumu watu wao wanaiba rasilimali za Nchi...wabambakia kesi .....Umeropoka maneno mengi na wala hujaelewa hoja ya mchungaji Kimaro imejikita wapi.
Zaidi umeropoka uharo tu humu kujaza server.
Hoja ya mchungaji usiwachukie matajiri kwa kuwa tajiri ndo aliyejitolea kuhifadhi mwili wa Yesu