Mchungaji Kimaro: Matajiri ndio Walimzika Yesu, akina Petro na wenzake waliokula bure miaka 3 walimkimbia!

Apewe tena likizo ya mwaka huyu.
 
Alipopigwa benchi matajiri ndio waliomlea hadi kurudi altareni, hivyo anaongea kitu ambacho amekiishi.
 
Ni upuuz mkubwa mno malasusa amekozea sna krwjesha mtu yule pale kijitonyama alipazwa apelekwe kisarae akawe mwalimu kwenye shule za kkkt kule au head master kbsa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hata wewe hueleweki ulichoandika.
 
Mdogo mdogo
Huyu Kimaro mdogo mdogo amekuwa mfuasi wa Oral Roberts! Anahubiri prosperity Gospel. Hiyo sio Injili ya Bwana wetu Yesu Kristo, ni injili ya Oral Roberts.
 
Mhmmmmmmm...umekosea sana, Kwani walioambiwa na Yesu ni rahisi ngamia kupita kwenye tundu la sindano ni matajiri au maskini?
 
Umeropoka maneno mengi na wala hujaelewa hoja ya mchungaji Kimaro imejikita wapi.

Zaidi umeropoka uharo tu humu kujaza server.

Hoja ya mchungaji usiwachukie matajiri kwa kuwa tajiri ndo aliyejitolea kuhifadhi mwili wa Yesu
Amesinamia maandiko yapi .Huwezi kutumia hoja bila kueleza mazingira ya wakati huo na Sasa yanatofautiana kiasi Gani. ?
Ni lazima ujue suala la kuzika Kwa Mila za wakati huo na Sasa yanatofautiana kiasi Gani na Ukristo na makristo wa Leo .

Tatizo wakristo mmejitwika sana upagani wa Wazungu.
Pumbavu sana shetani.
Nasema Pumbavu sana shetani.
Pumbavu , pumbavu shetani .
Nasema Pumbavu .

Someni historia za hizi dini achaneni na maoni wasaka tonge .
Pumbavu sana shetani.
 
Pumbavu sana shetani .
Pumbavu shetani .
 
Ashaanza kulewa sifa, mapinduzi makubwa katika kitabu cha matendo na uzihirisho wa roho Mtakatifu walifanya matajiri? Shida ni jina Kimaro.
Waumini wa kijikonya wasipochukua tahadhali, huyu Kimaro anaweza jitangaza kuwa yeye ni yesu wao. Shetani anajipenyeza mdogo mdogo.
 
Kimaro pamoja na kusoma kote Biblia ameshindwa kuelewa kuwa mara tu baada ya Kristo kutiwa nguvuni na wenye mamlaka wakati huo, wafuasi wake wakiwemo wanafunzi walikuwa wakiwindwa na wengi walitawanyika kukimbia mkono wa chuma wa Herode...
Misifa imemlewesha kwa sasa amechukua njia ya Yuda Iskariote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…