Mchungaji Kimaro: Matajiri ndio Walimzika Yesu, akina Petro na wenzake waliokula bure miaka 3 walimkimbia!

Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama amesema Tajiri Yusuf wa Almathaya ndio aliyemzika Yesu katika kaburi lake la kifahari

Kimaro amesema Kanisa linawahitaji Matajiri kwa sababu ndio wanaoliondolea Kanisa aibu Wakati wa uhitaji

Hivyo tusiwape majina mabaya Matajiri kwa kuwaita Mafisadi, Wahujumu Uchumi au Freemason Kwani utajiri ni baraka hata katika level ya familia Kwani ndio wanaofuta aibu za familia, amesisitiza mchungaji Kimaro

Kimaro amesema Watu wengi ni walinzi tu wa makaburi kama wale Walinzi wa Pilato waliotumwa kulinda kaburi la Yesu, hivyo wewe kama mkristo usikubali kuwa Mlinda makaburi

Nawatakia Pasaka Njema!
Apewe tena likizo ya mwaka huyu.
 
Alipopigwa benchi matajiri ndio waliomlea hadi kurudi altareni, hivyo anaongea kitu ambacho amekiishi.
 
Ogopa sana Kanisa likianza kujikita katika kutafuta pesa kuliko kusimamia misingi yake. Kupenda fedha kunavuruga misingi ya kila kitu.

Wenyewe wanafahamu walifanya makosa makubwa sana kumrudisha Kijitonyama. Ni udhaifu mkubwa sana.

Catholic Church inaheshimika sana kwasababu haingalii mtu usoni, likisema limesema ni barua moja, unahamia huko Katavi.

Sasa wenzetu hawa, sadaka zimepungua kidogo usharikani, watu wenye pesa usharikani wamepandisha mabango ya mchungaji mjini na waumini wamepungua kanisani eti wanaamua kusema beleshi ni kijiko kikubwa.
Ni upuuz mkubwa mno malasusa amekozea sna krwjesha mtu yule pale kijitonyama alipazwa apelekwe kisarae akawe mwalimu kwenye shule za kkkt kule au head master kbsa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mchungaji Kimario aeleze dini ya Kristo ilienezwa na akina nani duniani - masikini au matajiri. Mahubiri ya namna hii yanaweza kupotosha waumini wasiokuwa na uelewa mpana wa dini au wasiokuwa na tabia ya kujisomea. Maandiko ya Kikristo yameandikwa katika lugha nyingi duniani. Hata biblia, tofauti na Quran tukufu, imetafsiriwa katika lugha nyingi.
Hata wewe hueleweki ulichoandika.
 
Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama amesema Tajiri Yusuf wa Almathaya ndio aliyemzika Yesu katika kaburi lake la kifahari

Kimaro amesema Kanisa linawahitaji Matajiri kwa sababu ndio wanaoliondolea Kanisa aibu Wakati wa uhitaji

Hivyo tusiwape majina mabaya Matajiri kwa kuwaita Mafisadi, Wahujumu Uchumi au Freemason Kwani utajiri ni baraka hata katika level ya familia Kwani ndio wanaofuta aibu za familia, amesisitiza mchungaji Kimaro

Kimaro amesema Watu wengi ni walinzi tu wa makaburi kama wale Walinzi wa Pilato waliotumwa kulinda kaburi la Yesu, hivyo wewe kama mkristo usikubali kuwa Mlinda makaburi

Nawatakia Pasaka Njema!
Mdogo mdogo

Huyu Kimaro mdogo mdogo amekuwa mfuasi wa Oral Roberts! Anahubiri prosperity Gospel. Hiyo sio Injili ya Bwana wetu Yesu Kristo, ni injili ya Oral Roberts.
 
Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama amesema Tajiri Yusuf wa Almathaya ndio aliyemzika Yesu katika kaburi lake la kifahari

Kimaro amesema Kanisa linawahitaji Matajiri kwa sababu ndio wanaoliondolea Kanisa aibu Wakati wa uhitaji

Hivyo tusiwape majina mabaya Matajiri kwa kuwaita Mafisadi, Wahujumu Uchumi au Freemason Kwani utajiri ni baraka hata katika level ya familia Kwani ndio wanaofuta aibu za familia, amesisitiza mchungaji Kimaro

Kimaro amesema Watu wengi ni walinzi tu wa makaburi kama wale Walinzi wa Pilato waliotumwa kulinda kaburi la Yesu, hivyo wewe kama mkristo usikubali kuwa Mlinda makaburi

Nawatakia Pasaka Njema!
Mhmmmmmmm...umekosea sana, Kwani walioambiwa na Yesu ni rahisi ngamia kupita kwenye tundu la sindano ni matajiri au maskini?
 
Umeropoka maneno mengi na wala hujaelewa hoja ya mchungaji Kimaro imejikita wapi.

Zaidi umeropoka uharo tu humu kujaza server.

Hoja ya mchungaji usiwachukie matajiri kwa kuwa tajiri ndo aliyejitolea kuhifadhi mwili wa Yesu
Amesinamia maandiko yapi .Huwezi kutumia hoja bila kueleza mazingira ya wakati huo na Sasa yanatofautiana kiasi Gani. ?
Ni lazima ujue suala la kuzika Kwa Mila za wakati huo na Sasa yanatofautiana kiasi Gani na Ukristo na makristo wa Leo .

Tatizo wakristo mmejitwika sana upagani wa Wazungu.
Pumbavu sana shetani.
Nasema Pumbavu sana shetani.
Pumbavu , pumbavu shetani .
Nasema Pumbavu .

Someni historia za hizi dini achaneni na maoni wasaka tonge .
Pumbavu sana shetani.
 
Amesahau kisa cha Yule kikongwe na Senti zake mbili??

Amesahau kisa cha Masikin na Tajiri kwenye maombi yao, Mungu akakubali ya Masikin.

Kasahau hata Yesu alisema Tajiri kukuona ufalme ni sawa na Ngamia kuoenya Tundu la sindano?.

Wakati Kimaro anafundisha Utajiri wa Mali, Yesu anataka uwe Tajiri wa Roho

Huyu naye tuko naye motoni tu [emoji1787][emoji1787]
Pumbavu sana shetani .
Pumbavu shetani .
 
Ashaanza kulewa sifa, mapinduzi makubwa katika kitabu cha matendo na uzihirisho wa roho Mtakatifu walifanya matajiri? Shida ni jina Kimaro.
Waumini wa kijikonya wasipochukua tahadhali, huyu Kimaro anaweza jitangaza kuwa yeye ni yesu wao. Shetani anajipenyeza mdogo mdogo.
 
Kimaro pamoja na kusoma kote Biblia ameshindwa kuelewa kuwa mara tu baada ya Kristo kutiwa nguvuni na wenye mamlaka wakati huo, wafuasi wake wakiwemo wanafunzi walikuwa wakiwindwa na wengi walitawanyika kukimbia mkono wa chuma wa Herode...
Misifa imemlewesha kwa sasa amechukua njia ya Yuda Iskariote.
 
Back
Top Bottom