Mchungaji Kimaro: Matajiri ndio Walimzika Yesu, akina Petro na wenzake waliokula bure miaka 3 walimkimbia!

Kina nani walikuwa wanamlisha Yesu na kundi lake? Matajiri au maskini?

Nani aliyeenda kuuzika mwili wa Yesu? Tajiri au maskini?
Ni zaka za watu maskini . Zile zilikua ni harakati za kisiasa na kidini.
Eleweini vizuri historia za dini acheni wasaka tonge .

Yesu alifikia mahali mpaka akawa anawapa chakula kimiujiza na sio kutegemea chakula Cha matajiri. Acheni Imani za kishetani kudhoofisha Ukristo wa kweli.

Kuna wakati wanafunzi wa Yesu walikua wanapita mashambani kuokota malimbuko yaliyokua mashambani. Walikua wanajichangisha wao wenyewe. Hivi unajua huduma nyingi zinaanzishwa na maskini matajiri wanakuja baadae.

Hata mpira zamani ulikua unachezwa kimaskini . Kila harakati Duniani zinaanzishwa na maskini na watu waliokata tamaa. Sasa kuwadharau maskini kwenye huduma yoyote ni ujuha . Wayahudi hua Wana maeneo ya kuzika watu mana hawatupi watu mapori .wawe maskini au matajiri.

Acheni kushabikia upotoshaji.
Kwani angesema kuwa watu wafanye kazi kwa bidii na Kwa uaminifu ili wapate vipato halali angekosa sadaka .?
Hakuna mtu anayechukia matajiri Kwa uhalali wao katika kutafuta Mali. ?

Inamaana kimaro yeye na wanamsapoti hawausikii mabilioni ya pesa yanayopotea Huko kwanye ofisi za umma ? Na wengi wao ni waumini wenye Imani za kutafuta pesa tuu bila uadilifu . Sasa anataka kucheza na akili za awezi ili watoe dada za mapato ya aibu Kwa kuchomekea vistori uchwara vya Biblia Kwa kupitisha.

Pumbavu sana shetani ,Pumbavu sana shetani !

Na siku nyingine akirudia mafundisho ya kizushi nitamfuata na kushusha mimbarini .
Pumbavu sana shetani
 
Kifupi Kimaro akae mbali na mtume Petro kumdhalilisha

Mtume Petro sio saizi yake kihuduma

Mtume Petro siku ya Pentecoste alihubiri wakaokoka watu elfu tatu kwa mpigo na kuingia Ukristo
Petro akitembea hadi kivuli chake kiliponya wagonjwa

Hawezi jilinganisha naye.Yeye Kimaro ambaye ni motivational speaker tu kama wengine tofauti yake na motivational speakers wengine yeye ana quote vifungu tu vya Biblia hapa na pale kuunga mkono hoja zake

Akae Mbali na Mtume Petro sio viwango vyake he is not his equal
Nasema Pumbavu sana shetani . Pumbavu sana shetani ,pumbavu pumbavu sana shetani.

Kumdhakilisha shetani anapaswa ameshajifuta uchungaji kiroho .
Na kuanzia Sasa namfuta Kimaro kwenye huduma ya kiroho Kama Mchungaji wa kondoo. Atabaki kuwa Mchungaji wa mbuzi.
Namfuta abakie akishabikiwa na wapiga dili wake wenye pesa lakini kwenye Ulimwengu wa roho namshusha mpaka kiwango Cha chini sana kabisa Hawezi kumdhakilisha Petro Kwa sababu ya pesa.
Yaani pesa zimekua ndio kipimo Cha utu, uumini, na kadhalika kwenye jamii mpaka kwenye dini . Sasa maskini watapata faraja wapi endapo mtu katika uhalali wake atakua Hana Mapesa kama anavyotaka Kimaro ?

Pumbavu sana shetani!!
 
Unamaanisha kwakuwa tajiri alijitolea kumzika Yesu basi hakuna sababu yakujulia pengine utajari wake aliua watu au alipokea Rushwa..! ilimradi ni tajiri basi....unachosema ndio maana zamani Viongozi wa Nchi walikuwa wanakwenda kwa Makuhani kuambiwa habari ya tawala zao but nowadays... Viongozi wa dini wanapiga magoti kwa watawala nakuwaabudu hata kama watawala hao ni wanadhulumu watu wao wanaiba rasilimali za Nchi...wabambakia kesi .....
nihivi Mchungaji anaweza kuwa na Hoja nzuri tu kwenye hubiri lake Ila anatakiwa afafanue zaidi ili aeleweke
Pumbavu sana shetani .

Hakuna Tajiri anayezika.
Na ilivyo Kwa Mila za Mashariki ya Kati hakuna mwili wa maiti unaotupwa Kwa kusema kuwa alizikwa na tajiri Kwa sababu ya utajiri wake ni kukufuru. Watu wa nyakati hizo walizika kama njia ya kujitolea sadaka na sio utajiri.
 
Mdogo mdogo

Huyu Kimaro mdogo mdogo amekuwa mfuasi wa Oral Roberts! Anahubiri prosperity Gospel. Hiyo sio Injili ya Bwana wetu Yesu Kristo, ni injili ya Oral Roberts.
Hawa ndio Wanaosababisha Kanisa la Kiluteri haliaminiki kwenye uongozi mkubwa wa nchi.

Mtu anayewanyanyapaa maskini hafai katika mbingu na katika Ardhi.

Pumbavu sana shetani.
 
Nasema Pumbavu sana shetani . Pumbavu sana shetani ,pumbavu pumbavu sana shetani.

Kumdhakilisha shetani anapaswa ameshajifuta uchungaji kiroho .
Na kuanzia Sasa namfuta Kimaro kwenye huduma ya kiroho Kama Mchungaji wa kondoo. Atabaki kuwa Mchungaji wa mbuzi.
Namfuta abakie akishabikiwa na wapiga dili wake wenye pesa lakini kwenye Ulimwengu wa roho namshusha mpaka kiwango Cha chini sana kabisa Hawezi kumdhakilisha Petro Kwa sababu ya pesa.
Yaani pesa zimekua ndio kipimo Cha utu, uumini, na kadhalika kwenye jamii mpaka kwenye dini . Sasa maskini watapata faraja wapi endapo mtu katika uhalali wake atakua Hana Mapesa kama anavyotaka Kimaro ?

Pumbavu sana shetani!!
Hata Clip zake siziangalii Tena.

Kumrudisha pale ni kosa ambalo wamelifanya ilipaswa wakaze aondoke zake na mambo yake.
Yule hana background ya ukristo hivyo hana msingi mzuri wa dini.

Yeye pamoja na hao anaowapa nafasi ya kuhudumu anaowaita wanawe wote wanaharibu kanisa kwa kutoa tafsiri iliyopotoka ya neno la Mungu.

Hawa ni mamluki tu wameingia kuliharibu kanisa.

Mtu yeyote ambaye hana mafunzo ya theolojia asipewe mimbara kuhudumu na kanisa lifuatilie background ya wanafunzi kabla ya kuwapokea katika mafunzo ya theolojia.

La tunapoteza waumini kwa aina hii ya watu.
 
Alikuwa sahihi mia kwa mia

Kimaro kuchemka ni dakika sifuri
Kimaro na Wafuasi wake hapo Kijikonyama hawako kwa ajili ya Yesu Kristo. Kimaro na Wafuasi wake hapo Kijikonyama wapo kwa ajili ya pesa. Hii sio Mira na Desturi za KKKT. Kimaro ni Tango pori ndani ya KKKT.
 
Uneandika kirefu kumsifia mzikazi tajiri Yusuf wa Almathaya

Kitu moja umesahau mtu yeyote akifa lazima atapata wa kumzika

Hata kama hana ndugu atazikwa na serikali au wasamaria wema

Maisha yangu yote sijawahi ona mtu akifa asiyezikwa

Hata Yusuf wa Almathaya adingemzika angezikwa tu

Isiwe kesi as if Yusuf wa Almathaya asingetoa kaburi na kumzika Yesu kuwa yesu angeqchwa ananinginia msalabani hadi leo

Swali dogo kwani wale we've wawili waliokufa pamoja na Yesu msalabani kwani hawakuzikwa? Kwani nao walizikwa na Yusuf wa Almathaya?

Mtu akifa atazikwa tu awe atazikwa na Yusuf Almathaya au mpita njia kuzikwa lazima

Hoja za Kimaro ni as if Tajiri Yusuf wa Almathaya asingetokea Yesu asingezikwa!!

Kwa hiyo mch Kimaro katunga mahubiri yenye pambio ya sifa na utukufu zimwendee Tajiri Yusuf wa Almathaya kwa kumzika Yesu!!! As if asingejitokeza Yesu asingezikwa

Mahubiri ya hovyo kabisa
Pumbavu sana shetani , pumbavu sana shetani .

Kwani angeishia kusema kuwa Yusuph alimzika Yesu Kwa ajili ya kutafuta thawabu zake si ingetosha palikua na haja Gani ya kumdhakilisha mpaka Petro na kuwakashifu maskini ambao wapo Dunia nzima .

Kuna wakati utajiri ni matokeo ya kurithi Kwa wazazi. Hivi unategemea mtoto wa mwinyi awe maskini ,au mtoto wa Bkheresa au Mo, au JK, au mtoto wa Samia.

Yaani siku hizi tuna watu Bure kabisa .

Yaani mtu anapata pesa Kwa kuongea TU jukaani au mimbarini haafu anadharau watu wanaolima au kukimbizana na n'gombe porini miaka na miaka na wengine wanahangaika kuvua samaki usiku kucha ,wengine wanabeba mizigo ya watalii ,wengine wanapasua mbao Kwa misumeno ,wangne wanagonga kokoto, wengine wanakesha Huko Kongo kulinda amani za watu wengine wengine wako kwenye migodi ya madini Huko ardhini n.k. Wote hao sio matajiri na wanafanya kazi Kwa masaa Mengi. Sasa yeye kimaro akifungua Kitabu pale mimbarini na kutumia Elimu yake kupangilia maneno na kutoa migano mingine Inaonekana wazi ni ya kutunga au ya kuokoteza kwenye mitandao na Kisha watu Kutoa sadaka zao basi anaona watu wengine wote ni wajinga na wasiojitambua na wenye chuki dhidi ya matajiri.
Hivi Kuna nchi inayonyenyekea matajiri kama Tanzania. Hiyo chuki kwa matajiri imeanza lini?
Hata kule Kijijini matajiri wanaheshimiwa sana na mara nyingine maskini wanajitolea sana kuwasaidia maskini kuliko hao matajiri hasa katika mazingira magumu.

Hata Ikitokea ajali wanaoshika madamu na kuwaokoa majeruhi na maiti hua ni maskini bila kuangalia aliyeumia ni Tajiri au maskini. ?

Kimaro ameniamgusha sana na amejiporomosha sana .

Inabidi Sasa hata geti la kanisa lake walinde matajiri?

Pumbavu sana Shetani!
 
Hata Clip zake siziangalii Tena.

Kumrudisha pale ni kosa ambalo wamelifanya ilipaswa wakaze aondoke zake na mambo yake.
Yule hana background ya ukristo hivyo hana msingi mzuri wa dini.

Yeye pamoja na hao anaowapa nafasi ya kuhudumu anaowaita wanawe wote wanaharibu kanisa kwa kutoa tafsiri iliyopotoka ya neno la Mungu.

Hawa ni mamluki tu wameingia kuliharibu kanisa.

Mtu yeyote ambaye hana mafunzo ya theolojia asipewe mimbara kuhudumu na kanisa lifuatilie background ya wanafunzi kabla ya kuwapokea katika mafunzo ya theolojia.

La tunapoteza waumini kwa aina hii ya watu.
Ni kweli kabisa . Kosa kubwa wanalofanya KKKT na makanisa mengine ya Kiprotestanti ni kutokua na Shule maalumu za kuwaandaa watumishi wao. Wanaokoteza watu waliosoma shule zenye wahuni na wavutabangi mchanganyiko . Matokeo yake ni kuwa na watu wanaotafuta TU ajira bila kuwa na wito tangu utotoni.

Makanisa ya Kiprotestanti yanapaswa kuwaandaa watumishi kuanzia shule ya nursery mpaka Chuo kikuu. Wasiofaa na wenye majivuno wataoneoana tangu utotoni.

Hata shetani alishushwa baada ya kujikweza kupita Kiasi alichojaliwa na Mungu.
 
Ni upuuz mkubwa mno malasusa amekozea sna krwjesha mtu yule pale kijitonyama alipazwa apelekwe kisarae akawe mwalimu kwenye shule za kkkt kule au head master kbsa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hizi ni nyakati za hatari.

Tunapeda sana fedha, kanisa nalo linapenda sana fedha na bila shaka lipo tayari kutoa sadaka misingi yake ili fedha iingie.

Kibaya zaidi ni kwamba, hao wanaojaza waumini(ambao ndio pesa) ndio mara nyingi wana kiburi na ndio huenda kinyume na misingi na taratibu za Kanisa.

Tatizo lingine ambalo linawatafuna sana wachungaji wa KKKT, na katika hili wanahitaji sana msaada wa kiroho na kimalezi kutoka kwa maaskofu na wachungaji wa waliostaafu ni KUUPENDA NA KUUTAFUTA UMAARUFU.

Wanahangaika kutafuta maandiko na kuchomekachomeka tafsiri za ajabu ajabu ili tu kupata 'attention' ya jamii kwenye mitandao. Na wengine wamegeuka sasa kuwa washereheshaji na motivational speakers.
 
Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama amesema Tajiri Yusuf wa Almathaya ndio aliyemzika Yesu katika kaburi lake la kifahari

Kimaro amesema Kanisa linawahitaji Matajiri kwa sababu ndio wanaoliondolea Kanisa aibu Wakati wa uhitaji

Hivyo tusiwape majina mabaya Matajiri kwa kuwaita Mafisadi, Wahujumu Uchumi au Freemason Kwani utajiri ni baraka hata katika level ya familia Kwani ndio wanaofuta aibu za familia, amesisitiza mchungaji Kimaro

Kimaro amesema Watu wengi ni walinzi tu wa makaburi kama wale Walinzi wa Pilato waliotumwa kulinda kaburi la Yesu, hivyo wewe kama mkristo usikubali kuwa Mlinda makaburi

Nawatakia Pasaka Njema!
Ameanza sasa huyu. Kwa hiyo utajiri hata usio Halali ni baraka? Naami Yusuf wa Almathaya alikuwa tajiri Halali asiye na wizi Wala kipato haramu.
 
Ni kweli kabisa . Kosa kubwa wanalofanya KKKT na makanisa mengine ya Kiprotestanti ni kutokua na Shule maalumu za kuwaandaa watumishi wao. Wanaokoteza watu waliosoma shule zenye wahuni na wavutabangi mchanganyiko . Matokeo yake ni kuwa na watu wanaotafuta TU ajira bila kuwa na wito tangu utotoni.

Makanisa ya Kiprotestanti yanapaswa kuwaandaa watumishi kuanzia shule ya nursery mpaka Chuo kikuu. Wasiofaa na wenye majivuno wataoneoana tangu utotoni.

Hata shetani alishushwa baada ya kujikweza kupita Kiasi alichojaliwa na Mungu.
KKKKT Wana vyuo vyao.

Mwika na Tumaini Makumira.

Nachozungumzia hapa ni kuwa selective sana kwenye kupata wanafunzi.

Wasipokee tu kila mtu mradi anasema anawito.

Lazima juhudi za ziada zifanyike mpaka kupata mtu sahihi.

Madhara ndio haya Sasa wanaingia watu ambao hawana misingi mizuri ya dini wanazua taharuki na tafsiri potofu za neno la Mungu.

Huyu Mchungaji anasema falsafa yake ni kuhubiri dini ya kiuchumi "religious economy".

Ila hii falsafa haipo kwenye biblia popote.

Biblia inaelekeza watu kumjua Mungu kutenda mema na kufanya kazi.

Ndio Kuna baadhi ya Wacha Mungu walikua matajiri mno ila mali zao walizipata kama bonus tu baada ya kufauli mitihani ya kiimani ila sio kufanya mali kuwa ndio msingi wa injili.

Wajibu wa Mchungaji ni kuwalea waumini kiroho tu mambo ya mwili Kuna platforms zake.
 
Kwa hiyo ulitaka huyu muhubiri ahubirie umasikini?
 
Uneandika kirefu kumsifia mzikazi tajiri Yusuf wa Almathaya

Kitu moja umesahau mtu yeyote akifa lazima atapata wa kumzika

Hata kama hana ndugu atazikwa na serikali au wasamaria wema

Maisha yangu yote sijawahi ona mtu akifa asiyezikwa

Hata Yusuf wa Almathaya adingemzika angezikwa tu

Isiwe kesi as if Yusuf wa Almathaya asingetoa kaburi na kumzika Yesu kuwa yesu angeqchwa ananinginia msalabani hadi leo

Swali dogo kwani wale we've wawili waliokufa pamoja na Yesu msalabani kwani hawakuzikwa? Kwani nao walizikwa na Yusuf wa Almathaya?

Mtu akifa atazikwa tu awe atazikwa na Yusuf Almathaya au mpita njia kuzikwa lazima

Hoja za Kimaro ni as if Tajiri Yusuf wa Almathaya asingetokea Yesu asingezikwa!!

Kwa hiyo mch Kimaro katunga mahubiri yenye pambio ya sifa na utukufu zimwendee Tajiri Yusuf wa Almathaya kwa kumzika Yesu!!! As if asingejitokeza Yesu asingezikwa

Mahubiri ya hovyo kabisa
Endelea na
Pumbavu sana shetani , pumbavu sana shetani .

Kwani angeishia kusema kuwa Yusuph alimzika Yesu Kwa ajili ya kutafuta thawabu zake si ingetosha palikua na haja Gani ya kumdhakilisha mpaka Petro na kuwakashifu maskini ambao wapo Dunia nzima .

Kuna wakati utajiri ni matokeo ya kurithi Kwa wazazi. Hivi unategemea mtoto wa mwinyi awe maskini ,au mtoto wa Bkheresa au Mo, au JK, au mtoto wa Samia.

Yaani siku hizi tuna watu Bure kabisa .

Yaani mtu anapata pesa Kwa kuongea TU jukaani au mimbarini haafu anadharau watu wanaolima au kukimbizana na n'gombe porini miaka na miaka na wengine wanahangaika kuvua samaki usiku kucha ,wengine wanabeba mizigo ya watalii ,wengine wanapasua mbao Kwa misumeno ,wangne wanagonga kokoto, wengine wanakesha Huko Kongo kulinda amani za watu wengine wengine wako kwenye migodi ya madini Huko ardhini n.k. Wote hao sio matajiri na wanafanya kazi Kwa masaa Mengi. Sasa yeye kimaro akifungua Kitabu pale mimbarini na kutumia Elimu yake kupangilia maneno na kutoa migano mingine Inaonekana wazi ni ya kutunga au ya kuokoteza kwenye mitandao na Kisha watu Kutoa sadaka zao basi anaona watu wengine wote ni wajinga na wasiojitambua na wenye chuki dhidi ya matajiri.
Hivi Kuna nchi inayonyenyekea matajiri kama Tanzania. Hiyo chuki kwa matajiri imeanza lini?
Hata kule Kijijini matajiri wanaheshimiwa sana na mara nyingine maskini wanajitolea sana kuwasaidia maskini kuliko hao matajiri hasa katika mazingira magumu.

Hata Ikitokea ajali wanaoshika madamu na kuwaokoa majeruhi na maiti hua ni maskini bila kuangalia aliyeumia ni Tajiri au maskini. ?

Kimaro ameniamgusha sana na amejiporomosha sana .

Inabidi Sasa hata geti la kanisa lake walinde matajiri?

Pumbavu sana Shetani!
Acha chuki dhidi ya matajiri wewe. Tafuta hela zako
 
Unamaanisha kwakuwa tajiri alijitolea kumzika Yesu basi hakuna sababu yakujulia pengine utajari wake aliua watu au alipokea Rushwa..! ilimradi ni tajiri basi....unachosema ndio maana zamani Viongozi wa Nchi walikuwa wanakwenda kwa Makuhani kuambiwa habari ya tawala zao but nowadays... Viongozi wa dini wanapiga magoti kwa watawala nakuwaabudu hata kama watawala hao ni wanadhulumu watu wao wanaiba rasilimali za Nchi...wabambakia kesi .....
nihivi Mchungaji anaweza kuwa na Hoja nzuri tu kwenye hubiri lake Ila anatakiwa afafanue zaidi ili aeleweke
We umeangalia mahubiri yote au umedandia tu treni kwa mbele?
 
Ogopa sana Kanisa likianza kujikita katika kutafuta pesa kuliko kusimamia misingi yake. Kupenda fedha kunavuruga misingi ya kila kitu.

Wenyewe wanafahamu walifanya makosa makubwa sana kumrudisha Kijitonyama. Ni udhaifu mkubwa sana.

Catholic Church inaheshimika sana kwasababu haingalii mtu usoni, likisema limesema ni barua moja, unahamia huko Katavi.

Sasa wenzetu hawa, sadaka zimepungua kidogo usharikani, watu wenye pesa usharikani wamepandisha mabango ya mchungaji mjini na waumini wamepungua kanisani eti wanaamua kusema beleshi ni kijiko kikubwa.
Mbona una hasira sana watu wenye pesa zao wakitumia pesa zao? Hujui kutumia pesa kwa njia inayompendeza Mungu ndo mana ni masikini
 
Back
Top Bottom