1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
Ni zaka za watu maskini . Zile zilikua ni harakati za kisiasa na kidini.Kina nani walikuwa wanamlisha Yesu na kundi lake? Matajiri au maskini?
Nani aliyeenda kuuzika mwili wa Yesu? Tajiri au maskini?
Eleweini vizuri historia za dini acheni wasaka tonge .
Yesu alifikia mahali mpaka akawa anawapa chakula kimiujiza na sio kutegemea chakula Cha matajiri. Acheni Imani za kishetani kudhoofisha Ukristo wa kweli.
Kuna wakati wanafunzi wa Yesu walikua wanapita mashambani kuokota malimbuko yaliyokua mashambani. Walikua wanajichangisha wao wenyewe. Hivi unajua huduma nyingi zinaanzishwa na maskini matajiri wanakuja baadae.
Hata mpira zamani ulikua unachezwa kimaskini . Kila harakati Duniani zinaanzishwa na maskini na watu waliokata tamaa. Sasa kuwadharau maskini kwenye huduma yoyote ni ujuha . Wayahudi hua Wana maeneo ya kuzika watu mana hawatupi watu mapori .wawe maskini au matajiri.
Acheni kushabikia upotoshaji.
Kwani angesema kuwa watu wafanye kazi kwa bidii na Kwa uaminifu ili wapate vipato halali angekosa sadaka .?
Hakuna mtu anayechukia matajiri Kwa uhalali wao katika kutafuta Mali. ?
Inamaana kimaro yeye na wanamsapoti hawausikii mabilioni ya pesa yanayopotea Huko kwanye ofisi za umma ? Na wengi wao ni waumini wenye Imani za kutafuta pesa tuu bila uadilifu . Sasa anataka kucheza na akili za awezi ili watoe dada za mapato ya aibu Kwa kuchomekea vistori uchwara vya Biblia Kwa kupitisha.
Pumbavu sana shetani ,Pumbavu sana shetani !
Na siku nyingine akirudia mafundisho ya kizushi nitamfuata na kushusha mimbarini .
Pumbavu sana shetani