Mchungaji maarufu barani Afrika, Bushiri atoroka nchini Afrika Kusini baada ya kuachiwa kwa dhamana

Mchungaji maarufu barani Afrika, Bushiri atoroka nchini Afrika Kusini baada ya kuachiwa kwa dhamana

Bushiri msanii sana, hana tofauti na Gwajima. ukichanganya na ufala wa waafrika basi inakuwa burudani sana. Gwajima eti alifufua mtu!? Bushiri nae eti kaweka vikaratasi moto ukawaka?!.

Afrika bado tuko wajinga kama wanyama tu.
Usigeneralise waafrika, sema waumini wa gwajima na bushiri.Wapo waafrika wengi wamewakataa Hawa wasanii...Kuna wakati nilikuwa na girlfriend Sasa akija huyu bushiri huwa anaenda kwenye mikutano yake, nikajua kinachofuata ataniacha kwa sababu imani inakataa uzinzi,,ila mimi nilishajitenga na kusali maana siwezi kwenda nafsi itanihukumu. Cha kushangaza Yule Dem hata nikamwomba sex siku anaenda semina huwa ananipa. Basi nikamwambia achana na huyo msanii atakupotezea mda tu.Sasa nilipoanza kumfatilia nimjue nikajiridhisha Hana utumishi zaidi ya usanii tu
 
Mm mwenyewe nataka kuanzisha
Bushiri is no more than a FRAUDSTER money LAUNDERER....

He has been using people's insanity to become a MILLIONARE...

How come sane minds believe that the DEAD could be RISEN?!!! 😂😂😂

He is in BAIL yet he travelled back to his home country....let Malawi authority EXTRADITE him back so as he can face LEGAL CHARGES....


WAAFRIKA TUAMKE NA HAWA WACHUMIA TUMBO!!!


MAENDELEO HAYANA VYAMA
Mm mwenyewe nataka kuanzisha Msikiti wangu wa kusomea watu dua, kufanya visomo na miujiza.nipige hela.kwani nawalazimisha kutoa? Si mnaleta kwa hiari yenu.Bushiri asilaumiwe bhana.
 
Mm mwenyewe nataka kuanzisha
Mm mwenyewe nataka kuanzisha Msikiti wangu wa kusomea watu dua, kufanya visomo na miujiza.nipige hela.kwani nawalazimisha kutoa? Si mnaleta kwa hiari yenu.Bushiri asilaumiwe bhana.
Hautakuwa MSIKITI wa KWANZA....mbona umechelewa hivyo?!!!

Wenzako wanavaa KANZU za ALMASI kwa hayo....

Bushiri na hao wenye misikiti ya zamani na wewe utakayeanzisha DUGU MOJA....



-Watu wangu huangamia kwa kukosa MAARIFA.
 
Hautakuwa MSIKITI wa KWANZA....mbona umechelewa hivyo?!!!

Wenzako wanavaa KANZU za ALMASI kwa hayo....

Bushiri na hao wenye misikiti ya zamani na wewe utakayeanzisha DUGU MOJA....



-Watu wangu huangamia kwa kukosa MAARIFA.
Sawa mkuu,ni be msikiti wangu.kwa staili yangu.napiga hela za wajinga.au haya si maarifa kubuni jambo na kumake dollars.
 
Sawa mkuu,ni be msikiti wangu.kwa staili yangu.napiga hela za wajinga.au haya si maarifa kubuni jambo na kumake dollars.
Sure....

Ila kazi ya SERIKALI ni kuzuia UHALIFU na money laundering....haina maana UKIFANYIKA MSIKITINI AMA KANISANI utakuwa ni "halali" wenye immunity....labda serikali "isiamue tu".....

Kila la heri katika "kuwapumbaza" wajinga WAKO....
 
Kuna waumini wake hapa job wanavaa t-shirt zake
😂😂

Kweli BWANA akasema "watu wangu huangamia kwa kukosa MAARIFA...."

Na kule kwengine AKASEMA "Pindipo inapowafikia HOJA ichunguzeni kwanza ili msije mkadhuru wasiokuwa na hatia...."

UJINGA+UPUMBAVU=MZIGO MZITO MNOO
 
[emoji23][emoji23]

Kweli BWANA akasema "watu wangu huangamia kwa kukosa MAARIFA...."

Na kule kwengine AKASEMA "Pindipo inapowafikia HOJA ichunguzeni kwanza ili msije mkadhuru wasiokuwa na hatia...."

UJINGA+UPUMBAVU=MZIGO MZITO MNOO
Naona umeshindilia na kamstari kabisa
 
Asilimia kubwa ya wachungaji aina na huyu na wengine tunao hapa bongo ni wapigaji tu
Ndomana wengine wanaingia kwenye ---- kuficha madudu yao

Ova
 
Mchungaji maarufu barani Afrika , Bushiri ametoroka Afrika kusini baada ya kuachiwa kwa dhamana.
Mchungaji Bushiri, ambaye alisema kuwa anataka kusafisha jina lake , amerejea katika nchi yake, Malawi, akiwa na mke wake Mary.

Mapema mwezi huu, alikuwa ameachiwa jela kwa dhamana baada ya kushtakiwa kwa utapeli na utakatishaji fedha.
Alisema kulikuwa na majaribio kadhaa ya kutishia maisha yake na mamlaka ya Afrika Kusini haikutoa ulinzi wowote kwake.
Bwana Bushiri ameelezea suala lake la kukwepa dhamana ni njia ya busara ya kulinda maisha yake, akiongea katika mitandao ya kijamii.

Swali likiwa ni namna gani mchungaji huyo ameweza kutoroka Afrika Kusini na kurudi kwao.

Kuna madai kuwa bwana Bushiri alitoroka na ndege ya rais wa Malawi akiwa na rais Lazarus Chakwera-jambo ambalo ofisi ya rais wa Malawi inakanusha kuhusika.

Maswali mengine yakihoji kama mataifa hayo mawili yatashirikiana kumkamata na kumrejesha Afrika Kusini asikilize kesi yake.

Waziri wa sheria wa Afrika Kusini Ronald Lamola alisema serikali haitasita kufuatilia suala hilo.

Lakini waziri wa mambo ya nje nchini Malawi, Eisenhower Mkaka atahusishwa katika suala hilo.

Amemwambia mwandishi wa BBC' Nomsa Maseko kuwa ni jukumu la serikali kulinda raia wa Malawi lakini aliongeza kuwa rais Chakwera ni mtetezi wa sheria na mianya yote ya kidiplomasia itabaki wazi.

Mchungaji Bushiri ni nani?
Ni mchungaji milionea ambaye amekuwa akiripotiwa kuwa miongoni mwa wachungaj tajiri zaidi barani Afrika.

_115508210_img_0857.jpg


Baadhi wanadhani amekuwa tajiri kwa sababu ya kuwaombea wahitaji
Alitajwa kuwa na matukio tata; alisema aliwaponya watu na virusi vya ukimwi, alifanya vipofu waone, alionekana akitembea kwenye hewa.

Amekulia katika kijiji cha Mzuzu, Malawi na kuhamia Pretoria Afrika Kusini ambako ndio kulikuwa na kanisa lake - 'the Enlightened Christian Gathering'.

Alipata umaarufu kwa kujaza umati wa watu kwenye mahubiri yake kwenye viwanja vya mpira.

Mchungaji huyu anashutumiwa nini?
Bwana Bushiri anashutumiwa kufanya utakatishaji fedha, utapeli na kufanya matukio ya uhalifu akiwa yeye na mkewe na watu wengine watatu.

Kesi yake inajumuisha mamilioni ya dola.

Kesi ilikuwa imefikia wapi?
Mchungaji alifikishwa mahakamani Oktoba 21, kusikiliza kesi zake na kupewa dhamana mwezi Novemba.
Kesi yake ilipangwa kuanza kusikilzwa mwezi Mei
 
Waumini siye wachunga kondoo wetu hawa haya Mungu atusaidie kwakweli.
 
SA ni Nchi ishaoza kwa rushwa na mara nyingi hawataki kuona makosa yao Bushiri alishtakiwa kwa kuingia SA kinyume na sheria na kuwa na passport tatu pia kuweka vibali vya kuishi kwa njia za rushwa yeye na mkewe harafu kwenye dhamana wamechukua passport na kuweka hela za dhamana ukiruka kesi hela imeenda leo wanataka kuwashutumu hadi Rais wa Malawi wakati kuingia na kutoka SA ukiwa na pesa ya hongo utatoka tuu watu wanatoka kwa Rand 500 ili asigongeweze muhuri wa adhabu sembuse huyo anaweza kununua gari jipya na anatoka na passport hata ya mtu mwingine akiingia Zimbabwe imeisha, hao washazoea kutoa dhamana hadi kwa kesi kubwa za uuaji na ukabaji hii msilaumiane.
 
Back
Top Bottom