Mchungaji Masanja Mkandamizaji baada ya kupitia majaribu ya shetani amemzawadia mkewe Monica zawadi ya Gari

Mchungaji Masanja Mkandamizaji baada ya kupitia majaribu ya shetani amemzawadia mkewe Monica zawadi ya Gari

Hebu wekeni picha ya h
311591732_669859017831194_6569732785308484620_n.jpg
iyo Nissan tuione isije kuwa kapewa mtumbwi wa vibwengo
 
Tukio hili limefanyika ndani ya Kanisa la Feel Free Church jijini DSM

Mama mchungaji Monica Leo Ilikuwa ni siku yake ya kuzaliwa hivyo mumewe ambaye ni Askofu mkuu wa FFC Tanzania mchungaji Masanja amemzawadia Gari aina ya Nissan

Waumini nao wametoa zawadi mbalimbali kwa mama mchungaji Monica

Mchungaji Masanja Mkandamizaji amemuaibisha shetani kwa kweli

hiv mnae komaa kumwita huyu mwehu mchungaji na kumpamba kila day mko sawa akilini kweli
 
Kwani Masanja ni Askofu? Theology amesomea chuo gani mkuu? Inashangaza mchumiatumbo mmoja from no where anakuja kujiita Askofu! Hizi siku za mwisho kumekuwa na manabii wengi wa uwongo.
Kweli kabsa
 
Mkumbusheni huyo pasta kwamba,mwanamke akiolewa hafuati magari au ugali.
Usipompa hicho alichofuata kwako wewe mume ujue atakipewa na jamaa zako wa karibu.
Siku zote ogopa mwanamke Kama humtoshelezi kimapenzi. Hata umpe Nissan mbili bila kujituma kwenye 6*6 anakuona Kama beberu lililo hasiwa.
 
Mwenyewe anajua mapungufu yake ukute anamruhusu mkewe kuridhishwa na wengine. Tuache makasiriko
 
Mchungaji kama hampelekei moto mkewe basi ataendelea kusaidiwa na makatibu wake gari pekee haitoshi kumtuliza
 
Back
Top Bottom