Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Hafai kwako, kwake bado ni mke wakeNa mke naye anakubali?! Basi hafai kuwa mke!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hafai kwako, kwake bado ni mke wakeNa mke naye anakubali?! Basi hafai kuwa mke!
Weka voice note hapaMtu wa makanisa makanisa [emoji1787][emoji23][emoji23] nimecheka sana hicho [emoji3516] kipengele,leo issue ya Jimmy mafufu kwny voice note zake alizorekodiwa na Masha mamilk,[emoji1787],kwel wanaosali kwa hawa watu, wakapimwe akili
Mtoa mada punguza uzuzuAskofu mkuu wa FFC Tanzania mchungaji Masanja
Km una hamu unasema tu kuna makatibu wengi humu wanaweza wakakupozaWanaume wa siku hizi Mmeanza lini wivu
Mnamwaga povu sana
Tafuteni hela acheni hasira kwa mwanaume mwenzenu
jamaa kabadirisha ule msemo wa "KIJANA TAFUTA PESA"Wanaudharilisha ukristo kwa kweli. Mtu anajiita Askofu lakini ana madhaifu mengi hata mshirika wa kawaida ana nafuu. Unajiita Askofu lakini unacheza komedi za kijinga, vijembe kwenye siasa na kutoweza kuiongoza ndoa yako.
UKITAKA KUJUA WALOKOLE VICHWA VIBOVU BASI ULIZA HAYA MASWALI.Mtoa mada punguza uzuzu
Hii jamaa theology imesomea wapi?
Na huo uaskofu imepewa na nani?
Acha ushubwada
Uzi ufutwe tu
Mama mchungaji Monica Leo Ilikuwa ni siku yake ya kuzaliwa hivyo mumewe ambaye ni Askofu mkuu wa FFC Tanzania mchungaji Masanja amemzawadia Gari aina ya Nissan
Wewe km unamtafuta katibu humu sema kuna makatibu wengi tu humuWnaaume hebu tafuteni pesa mpunguze wivu kwa wanaume wenzenu khaaah!!
😂😂😂😎KIJANA TAFUTA PESA, TUMT@MBE MKEO
Pesa inaondoa shida zote hizo dogo. Endelea kupambanaWewe km unamtafuta katibu humu sema kuna makatibu wengi tu humu
Pesa ninazo njoo nikupunguzie slay queenPesa inaondoa shida zote hizo dogo. Endelea kupambana
Imefichwa hapo walipo kwa nyumaHebu wekeni picha ya hiyo Nissan tuione isije kuwa kapewa mtumbwi wa vibwengo
Inasemekana pasta moja ya masharti ya utajir wake mkewe kuzalishwa nje ya ndoa katibu alidedishwa sababu alikuw anadai damu yakeKweli libwata lipo........