Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mrs kama hujui siku hizi wivu umbea vinaongozwa na wanaume, wanawake siku hizi akili zote ni vikoba, marejesho kwa kijumbe, siku hizi ni Baba Mkwe , mashemeji (wadogo wa Mme) ndiyo balaa, hawataki kutafuta pesa zaoWanaume wa siku hizi Mmeanza lini wivu
Mnamwaga povu sana
Tafuteni hela acheni hasira kwa mwanaume mwenzenu
Yaani binadamu tunatizama kwa nje utumishi wake kama ni fake watajuana na Mungu wake anayemfanyia mzaha au laa.hiv mnae komaa kumwita huyu mwehu mchungaji na kumpamba kila day mko sawa akilini kweli
Kawashika pabaya, labda walita amwache.Masanja kiboko ya wanaume wenye makasiriko[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Wapi huko, inawatafuta wanao mfutiliaNa itamtafuna sana tuu, masanja anahitaji counseling
Kwani Unaabudu kwake?Masanja sio Askofu Mkuu acheni kufanya ujinga. Askofu Mkuu anakuwa na maaskofu na wachungji na majimbo. Masanja Hana hata Askofu Mmoja Wala Jimbo. Msiufanye ukristo Kama tambala bovu.
Usishangae watu wakaanza kujiua kisa Masanja kaendelea na mkewe[emoji28][emoji28]Hafai kwako, kwake bado ni mke wake
My lips are sealed.Mwenyewe anajua mapungufu yake ukute anamruhusu mkewe kuridhishwa na wengine. Tuache makasiriko
Kweli libwata lipo.........Hivi limbwata ni kweli?
Hatari sanaInasemekana pasta moja ya masharti ya utajir wake mkewe kuzalishwa nje ya ndoa katibu alidedishwa sababu alikuw anadai damu yake
Kanisa la kisanii sana hiliTukio hili limefanyika ndani ya Kanisa la Feel Free Church jijini DSM
Mama mchungaji Monica Leo Ilikuwa ni siku yake ya kuzaliwa hivyo mumewe ambaye ni Askofu mkuu wa FFC Tanzania mchungaji Masanja amemzawadia Gari aina ya Nissan
Waumini nao wametoa zawadi mbalimbali kwa mama mchungaji Monica
Mchungaji Masanja Mkandamizaji amemuaibisha shetani kwa kweli
View attachment 2395868
Walitaka amuache, mwamba kakaza na mashauzi kwa mkewe yako pale pale 🤣🤣🤣🤣🤣. Inauma sanaKawashika pabaya, labda walita amwache.
Dada kwema?Walitaka amuache, mwamba kakaza na mashauzi kwa mkewe yako pale pale 🤣🤣🤣🤣🤣. Inauma sana
Ya kumchomoa hewani katibu.Siri gani?
Kwema mdogo wangu. Nakuona uko poaDada kwema?