Mchungaji Masanja Mkandamizaji baada ya kupitia majaribu ya shetani amemzawadia mkewe Monica zawadi ya Gari

Mchungaji Masanja Mkandamizaji baada ya kupitia majaribu ya shetani amemzawadia mkewe Monica zawadi ya Gari

Jamaa ni bonge la mshamba , watamtombea mke wake humo humo kwenye gari
 
Wanaume wa siku hizi Mmeanza lini wivu
Mnamwaga povu sana
Tafuteni hela acheni hasira kwa mwanaume mwenzenu
Mrs kama hujui siku hizi wivu umbea vinaongozwa na wanaume, wanawake siku hizi akili zote ni vikoba, marejesho kwa kijumbe, siku hizi ni Baba Mkwe , mashemeji (wadogo wa Mme) ndiyo balaa, hawataki kutafuta pesa zao
 
hiv mnae komaa kumwita huyu mwehu mchungaji na kumpamba kila day mko sawa akilini kweli
Yaani binadamu tunatizama kwa nje utumishi wake kama ni fake watajuana na Mungu wake anayemfanyia mzaha au laa.
 
Satan pita tena mkuu mimi napendekeza wewe uwe katibu wa pili baada ya yule wa kwanza kwenda na maji
 
Tukio hili limefanyika ndani ya Kanisa la Feel Free Church jijini DSM

Mama mchungaji Monica Leo Ilikuwa ni siku yake ya kuzaliwa hivyo mumewe ambaye ni Askofu mkuu wa FFC Tanzania mchungaji Masanja amemzawadia Gari aina ya Nissan

Waumini nao wametoa zawadi mbalimbali kwa mama mchungaji Monica

Mchungaji Masanja Mkandamizaji amemuaibisha shetani kwa kweli

View attachment 2395868
Kanisa la kisanii sana hili
 
Kwa nini namba za gari zimefichwa?

Hii gari sio ya Monica wala Masanja, msituone wajinga.
 
Back
Top Bottom