Mchungaji Masanja Mkandamizaji baada ya kupitia majaribu ya shetani amemzawadia mkewe Monica zawadi ya Gari

Masanja kakosa sifa za kuwa askofu.
 
Sasa badala ya "kuhubili"ni mwendo wa matukio tu,sasa Swala la mama mchungaji kuzawadiwa gari,linahusika vipi na ukuaji wa kiroho wa waumini?mambo ya kijinga sana haya
 
Kama Mchungaji amwambie mkewe awe anavaa mavazi ya heshima.

Mke wa mchungaji kuvaa mavazi ya kuonyesha mapaja na kurembua rembua mbele ya waumini ni fedheha sana.
Mwanamke akiwa siriaz hawezi tongozwa hata kidogo, hasa kama ni mke wa mchungaji.

Na hata ningekuwa mimi ningemtongoza tu.

Katibu wa Mchungaji Masanja kajiua, mchungaji hajawahi kutoa kauli ya kuombeleza kifo cha katibu wake wala kusikitika.

Yeye kabaki kumsifia mkewe tu. Mtoto wa Mungu kafa yeye anajichekesha tu na kumpamba mkewe.
Ni jambo la aibu sana.

Masanja na mkewe wajiheshimu kama wanataka kuhudumu huduma ya Kristo.

La sivyo waamue kuwa waimbaji wa Bongofavor.
Uchungaji una maadili yake.
 
😂😂😂 eti askofu mkuu masanja 😂😂😂😂😂 mbona naona kundi la wahuni hapo 😂😂🏃🏃🏃🏃
 
Mkuu huyo sio mchungaji wako hadi umpangie cha kufanya. Kanisa ni lake kaanzisha yeye mwenyewe...ukipenda kuwa chini yake utamuita mchungaji. Usipopenda unamuita masanja comedian maisha yanaenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…