johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Mchungaji Matsai wa Kanisa la KKKT Kimara amewakemea wote wenye nia ovu dhidi ya Rais Magufuli na amesema Rais hatapatwa na baya lolote na wale waovu wote watasubiri sana.
Mchungaji Matsai amesema vyombo vya habari vya Kenya vimekuwa mstari wa mbele kutoa taarifa potofu wakiwatumia vibaraka wao walio nje ya Tanzania.
Matsai amesema Rais Magufuli ameliletea taifa hili maendeleo makubwa yeye kama yeye "as an individual" na wala siyo chama kwani CCM iko miaka mingi na fedha walikuwa nazo lakini hatukuwahi kuona lolote.
Kwa maana hiyo lazima mafisadi na manyang'au watamjengea chuki.
Mchungaji Matsai ameongoza maombi mafupi ya kuyakataa na kuyafuta maneno mabaya aliyonenewa Rais Magufuli na watu wenye nia ovu, ni katika jina la Yesu amina.
Nawatakia kwaresma yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!