Mchungaji Mastai: Maendeleo ya taifa letu yameletwa na Dkt. Magufuli kama " individual" siyo chama, CCM ilikuwepo miaka yote!

Mchungaji Matsai wa Kanisa la KKKT Kimara amewakemea wote wenye nia ovu dhidi ya Rais Magufuli na amesema Rais hatapatwa na baya lolote na wale waovu wote watasubiri sana.

Mchungaji Matsai amesema vyombo vya habari vya Kenya vimekuwa mstari wa mbele kutoa taarifa potofu wakiwatumia vibaraka wao walio nje ya Tanzania.

Matsai amesema Rais Magufuli ameliletea taifa hili maendeleo makubwa yeye kama yeye " as an individual" na wala siyo chama kwani CCM iko miaka mingi na fedha walikuwa nazo lakini hatukuwahi kuona lolote.

Kwa maana hiyo lazima mafisadi na manyang'au watamjengea chuki.

Mchungaji Matsai ameongoza maombi mafupi ya kuyakataa na kuyafuta maneno mabaya aliyonenewa Rais Magufuli na watu wenye nia ovu, ni katika jina la Yesu amina.

Nawatakia kwaresma yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Maendeleo gani bhana..
Hata kama maendeleo ni pesa za walipa kodi sio pesa zake..
Na wewe Mama mleta uzi usiwe mpumbavu kama huyo mchungaji..
Vipi meko yee kasali wapi??
 
Mchungaji Matsai wa Kanisa la KKKT Kimara amewakemea wote wenye nia ovu dhidi ya Rais Magufuli na amesema Rais hatapatwa na baya lolote na wale waovu wote watasubiri sana.

Mchungaji Matsai amesema vyombo vya habari vya Kenya vimekuwa mstari wa mbele kutoa taarifa potofu wakiwatumia vibaraka wao walio nje ya Tanzania.

Matsai amesema Rais Magufuli ameliletea taifa hili maendeleo makubwa yeye kama yeye " as an individual" na wala siyo chama kwani CCM iko miaka mingi na fedha walikuwa nazo lakini hatukuwahi kuona lolote.

Kwa maana hiyo lazima mafisadi na manyang'au watamjengea chuki.

Mchungaji Matsai ameongoza maombi mafupi ya kuyakataa na kuyafuta maneno mabaya aliyonenewa Rais Magufuli na watu wenye nia ovu, ni katika jina la Yesu amina.

Nawatakia kwaresma yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Sijaelewa CCM inaingiaje hapa...
 
Tunakumbusha tena, ni Mchungaji MASTAI siyo Matsai.
 
Sawa baba Mchungaji pia na haya maendeleo yaliyoletwa na huu utamaduni mpya wa kutekwa, kupotea, siasa za chuki, kujeruhiana , kubaguana kwa makabila yote haya yasibezwe kabisa kwani ni juhudi zake binafsi mtukufu.
 
Hii ni si mara ya kwanza Mch Mastai anajiingiza katika siasa nyepesi na kulichafua Kanisa.

Nakumbuka kipindi cha kuitimisha kampeni za 2020 alijiingiza tena kwa kuongolea habari maendeleo ya watu against maendeleo ya vitu.

Mch anatakiwa kuitumia madhabau ya Bwana sawa sawa na kiapo chake.Mch anatakiwa kuhubiri habari ya Kristo na si vinginevyo.KKKT ni Kanisa ambalo msingi wa wake ni kuhubiri INJILI ya Kristo.

Bahati mbaya sana sijawahi kumsikia Mch huyu akikemea uvunjifu wa katiba,uonevu hata Lissu alipotwanga risasi alinyamaza kimya ni bora akanyamza kimya hata kipindi hiki kwababu ajira yake KKKT si kwa hisani ya chama chochote cha siasa au serekali.

Asiliingize kanisa katika mambo hovyo hovyo ambayo kwa namna yoyote halihusiki nayo.Ikiwa anataka au anapenda siasa milango ipo wazi hatuachie Kanisa letu salama.
 
Kweli mastahi badilika au jiunge na siasa tujue moja unatuvuruga waumini wako.acha kujipendekeza mtumishi.vipi mapepo hapo yanaruka na kukanyagana
 
Hii ni si mara ya kwanza Mch Mastai anajiingiza katika siasa nyepesi na kulichafua Kanisa.

Nakumbuka kipindi cha kuitimisha kampeni za 2020 alijiingiza tena kwa kuongolea habari maendeleo ya watu against maendeleo ya vitu.

Mch anatakiwa kuitumia madhabau ya Bwana sawa sawa na kiapo chake.Mch anatakiwa kuhubiri habari ya Kristo na si vinginevyo.KKKT ni Kanisa ambalo msingi wa wake ni kuhubiri INJILI ya Kristo.

Bahati mbaya sana sijawahi kumsikia Mch huyu akikemea uvunjifu wa katiba,uonevu hata Lissu alipotwanga risasi alinyamaza kimya ni bora akanyamza kimya hata kipindi hiki kwababu ajira yake KKKT si kwa hisani ya chama chochote cha siasa au serekali.

Asiliingize kanisa katika mambo hovyo hovyo ambayo kwa namna yoyote halihusiki nayo.Ikiwa anataka au anapenda siasa milango ipo wazi hatuachie Kanisa letu salama.
Mchungaji Matsai pia ni Katibu mkuu msaidizi wa KKKT - DMP

Usisahau hilo bwashee!
 
Mchungaji Matsai wa Kanisa la KKKT Kimara amewakemea wote wenye nia ovu dhidi ya Rais Magufuli na amesema Rais hatapatwa na baya lolote na wale waovu wote watasubiri sana.

Mchungaji Matsai amesema vyombo vya habari vya Kenya vimekuwa mstari wa mbele kutoa taarifa potofu wakiwatumia vibaraka wao walio nje ya Tanzania.

Matsai amesema Rais Magufuli ameliletea taifa hili maendeleo makubwa yeye kama yeye " as an individual" na wala siyo chama kwani CCM iko miaka mingi na fedha walikuwa nazo lakini hatukuwahi kuona lolote.

Kwa maana hiyo lazima mafisadi na manyang'au watamjengea chuki.

Mchungaji Matsai ameongoza maombi mafupi ya kuyakataa na kuyafuta maneno mabaya aliyonenewa Rais Magufuli na watu wenye nia ovu, ni katika jina la Yesu amina.

Nawatakia kwaresma yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Upo sawa kabisa, kwa uwezo wa Mungu Magufuli ametuletea maendeleo!
 
Akifa kweli wanafki kama huyo mchungaji wataanza kumsifia ajae na kumponda marehemu kuwa alikuwa fisadi na dikteta.

Anyway akazane siku wachungaji wanateuliwa kuwa madc.
Fanya mambo kwa haki vinginevyo utachukia watu kwa upuuzi wako mwenyewe!
 
Mchungaji Matsai wa Kanisa la KKKT Kimara amewakemea wote wenye nia ovu dhidi ya Rais Magufuli na amesema Rais hatapatwa na baya lolote na wale waovu wote watasubiri sana.

Mchungaji Matsai amesema vyombo vya habari vya Kenya vimekuwa mstari wa mbele kutoa taarifa potofu wakiwatumia vibaraka wao walio nje ya Tanzania.

Matsai amesema Rais Magufuli ameliletea taifa hili maendeleo makubwa yeye kama yeye " as an individual" na wala siyo chama kwani CCM iko miaka mingi na fedha walikuwa nazo lakini hatukuwahi kuona lolote.

Kwa maana hiyo lazima mafisadi na manyang'au watamjengea chuki.

Mchungaji Matsai ameongoza maombi mafupi ya kuyakataa na kuyafuta maneno mabaya aliyonenewa Rais Magufuli na watu wenye nia ovu, ni katika jina la Yesu amina.

Nawatakia kwaresma yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Naona mchungaji kabet incase jiwe yuko poa amkumbuke.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hao wanaoenda kumsikiliza huyo mnafiki, hawana mahali wanapoweza kwenda kumwabudu Mungu wa kweli?
Hao ni wale wachungaji wanakula kupitia mfumo ukimsikiliza huyo wa kimara na yule wa kijitonyama wote timu magufuli. Watakuwa Wana mauchafu yao kama yule gwajiviuno ndo maana Wanajibebisha kwa utawala.
We subiri aje mwingine utasikia huyu ni bora zaidi ya yule [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ila ni wasanii. Ni wachungaji wenye ukwasi usio na maelezo
 
Back
Top Bottom