Mchungaji Mastai: Maendeleo ya taifa letu yameletwa na Dkt. Magufuli kama " individual" siyo chama, CCM ilikuwepo miaka yote!

Mchungaji Mastai: Maendeleo ya taifa letu yameletwa na Dkt. Magufuli kama " individual" siyo chama, CCM ilikuwepo miaka yote!

Hizi taarifa kiukweli zinatushtua sana sisi wanyonge. Sisi machinga tutaanza tena kukimbizwa kama wezi
 
Hakika Mchungaji umesema maneno ya kweli wale wenye nia mbaya na Raisi wetu watasubiri sana na Nchi inasonga mbele
 
Sawa
IMG_20210302_114417_7.jpg
 

johnthebaptist​

wewe Yohana Mbatizaji, huyo Mchungaji ashukuru hilo Kanisa halikupitiwa na bomoabomoa ya kupanua hiyo barabara kuwa na njia 8 awaulize waliokumbwa na hawakulipwa chochote, mnajua wamnaishi vipi? yeye ale sadaka asituletee misifa
 
Jamani uku hajaonekana vipi uko? Kuna kanisa kaonekana?Jamani wiki Tatu rais wetu mpendwa hajaonekana Kanisani
 
Hao wanaoenda kumsikiliza huyo mnafiki, hawana mahali wanapoweza kwenda kumwabudu Mungu wa kweli?
 
Back
Top Bottom