johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Sasa asiposema hivyo unadhani atakula wapi ugaliHapana bwana mchungaji, hizo anazotumia ni pesa zetu watanzania hivyo anatumia rasilimali zetu, marais wote wa Tanzania walituletea maendeleo siyo kama individual bali kupitia serikali kwa vipaumbele tofauti. Stop being myopic bwana mchungaji.
Hayupo amefufukaMimi nimepiga kambi hapa St. Peter's mpaka sasa bila bila poti
Ili iwe nini bwashee?!Sawa mbona mchungaji masai hajaweka namba ya simu?
Uteuzi Bwashee.Ili iwe nini bwashee?!
Yeye ni mtumishi wa Mungu hayuko chini ya sheria!Uteuzi Bwashee.
Amina mtumishi!Maendeleo hayana vyama
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu John Pombe Joseph Magufuli
Wewe kijana hujamuelewa mchungaji?Hapana bwana mchungaji, hizo anazotumia ni pesa zetu watanzania hivyo anatumia rasilimali zetu, marais wote wa Tanzania walituletea maendeleo siyo kama individual bali kupitia serikali kwa vipaumbele tofauti. Stop being myopic bwana mchungaji.