Mchungaji Mastai: Maendeleo ya taifa letu yameletwa na Dkt. Magufuli kama " individual" siyo chama, CCM ilikuwepo miaka yote!

Hizi taarifa kiukweli zinatushtua sana sisi wanyonge. Sisi machinga tutaanza tena kukimbizwa kama wezi
 
Hakika Mchungaji umesema maneno ya kweli wale wenye nia mbaya na Raisi wetu watasubiri sana na Nchi inasonga mbele
 
Angekua nje ya mfumo wa serikali halafu alete hayo maendeleo kama individual ningekubaliana na huyo anaijiita mchungaji.

Marais wote kwa wakati wao walifanya mambo mazuri na mabaya
 

johnthebaptist​

wewe Yohana Mbatizaji, huyo Mchungaji ashukuru hilo Kanisa halikupitiwa na bomoabomoa ya kupanua hiyo barabara kuwa na njia 8 awaulize waliokumbwa na hawakulipwa chochote, mnajua wamnaishi vipi? yeye ale sadaka asituletee misifa
 
Jamani uku hajaonekana vipi uko? Kuna kanisa kaonekana?Jamani wiki Tatu rais wetu mpendwa hajaonekana Kanisani
 
Hivi simu ya rais imeishiwa vocha au si apige redioni hata akiwa hosoitali
 
Hao wanaoenda kumsikiliza huyo mnafiki, hawana mahali wanapoweza kwenda kumwabudu Mungu wa kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…