Mchungaji Mbarikiwa: Kilichokutuma Christina Shusho ni umalaya tu hakuna huduma hapo

Hata huyo naye mzushi tu, "Mchungaji Mbarikiwa",ndo nini?!,amebarikiwa na nani!?,Kuna ushahidi au ndo kujikweza tu!?,siku hizi yameibuka mambo ya ajabu sana. Mtu anajiita mchungaji Mbarikiwa na watu wanamuona kama Mtakatifu fulani hivi.
Anaitwa Mbarikiwa Mwakipesile Ni Jina Lake. Sasa Alipata Cheo Cha Urais ataitwa Rais Mbarikiwa. Kwa Kuwa Sasa ni Mchungaji hivyo anaitwa Mchungaji Mbarikiwa.
 
Waswahili wanasema HATA SAA MBOVU KUNA MUDA HUSEMA MAJIRA VZR
 
Malaya ni kama Kunguru hafugiki..na atawapata Malaya wenzake Makunguru yasiyofugika
Mtu wa aina hii asipokemewa, wanawake Walio katika NDOA, watakuwa wakipata changamoto kidogo wanavunja NDOA,

Atasababisha viburi Kwa wanawake ndani ya NDOA, watamwona kama shujaa wao,

Shetani na ashindwe.

Shusho afanye usanii wake, kamwe asijifiche madhabahuni.
 
Huo ndio ukweli, bila kumumunya maneno
 
Mchungaji wa illuminati labda.
Muda mwingine inabid tuanze kwa maneno kumleta mtu karibu. Kuna mbegu inajipanda ndani ya diamond kwa maneno kama hayo. Wapo watu walikuwa wakengeufu lakini walibadilika.
Na kwa imani Kristo alikuja kwa ajili ya wenye dhambi. Sioni Tatizo kabisa kama kuna mtu anatoka kutumia madawa , mlevi kupindukia anabadilika na anakuwa mtu mzuri.
Diamond anaweza kuwa mchungaj na anafaa kabisa wala hakuna cha ajabu
 
Osinach kuwa kifo chake kilitokana na manyanyaso ya NDOA na alitaka kuvunja NDOA ila akazuiwa na viongozi wa Dini yake, ametumia sababu hiyo kutaka kuhalalisha uamuzi wake wa kutengana na mumewe Kwa kigezo Cha huduma
Asikilizwe nawambieni....hata kama kuna umalaya ndani yake lakini mtu akiwa anaikimbia ndoa asikilizwe nasisitiza wapendwa....kwa manufaa ya mwanamke na mwanaume na nduguzao
 
Nina Mashaka Sana na Yule Kungwi Maarufu wa Arusha na Kifo Cha Mume wake.

Huenda Kuna namna hakufurahia Maendeleo ya huduma ya Ukungwi wa Mke wake.
Chifu jazia nyama kidogo maana wengine hatumfahamu huyo Kungwi.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…