Mchungaji Mbarikiwa: Kilichokutuma Christina Shusho ni umalaya tu hakuna huduma hapo

Arudi Kwa mumewe wayamalize, ndipo atoke kushuhudia wengine.

Kiongozi, lazima uwe na maisha yenye ushuhuda.
 
Watanzania waache kufuatlilia maisha ya watu na maamuzi yao. Ilimradi hajavunja sheria za nchi ana haki ya alichokifanya kama anaona kinampa amani. Wengine tuna makandokando kibao lakini tunaona tu maboriti ya Wengine. Hakuna aliyemkamilifu kwenye hii dunia.
 
Asikilizwe nawambieni....hata kama kuna umalaya ndani yake lakini mtu akiwa anaikimbia ndoa asikilizwe nasisitiza wapendwa....kwa manufaa ya mwanamke na mwanaume na nduguzao
Ameshindwa kutafuta viongozi huko wayasuluhishe Hadi anayaleta media kutafuta justification?

Mumewe ana BUSARA sana, ameamua kunyamaza.
 
Hata huyo naye mzushi tu, "Mchungaji Mbarikiwa",ndo nini?!,amebarikiwa na nani!?,Kuna ushahidi au ndo kujikweza tu!?,siku hizi yameibuka mambo ya ajabu sana. Mtu anajiita mchungaji Mbarikiwa na watu wanamuona kama Mtakatifu fulani hivi.
Ni jina kama jina lingine ulilowahi kusikia wala hajiiti.
Wewe ukizaliwa wazazi wakakupa jina masumbuko/Shida/tabu/tajiri haina maana utakuwa na masumbuko/Shida/tabu/tajiri ila ni jina umepewa.
Simple maths
 
Mkishamaliza kulumbana

Hubirini injili

Maana kwa sasa injili imekumbwa na udalali wa kufa mtu
 
Mbona yule aliesema mashoga wabarikiwe kanisani hamkumkemea?
Haya ni madhara ya kuona kibanza kwa mwenzako, ukashindwa kuona boriti kwako.
 
Hata huyo naye mzushi tu, "Mchungaji Mbarikiwa",ndo nini?!,amebarikiwa na nani!?,Kuna ushahidi au ndo kujikweza tu!?,siku hizi yameibuka mambo ya ajabu sana. Mtu anajiita mchungaji Mbarikiwa na watu wanamuona kama Mtakatifu fulani hivi.
Mbarikiwa ni jina la mtu kama wewe unavyoitwa Jameson.
 
Kasema ukweli kabisa.anataka kuhalalisha umalaya wake kwenye umma wa watu.kwanza kashachoka.hiyo ni namba A wakati Kwa Sasa tupa E safi kabisa.akae na umalaya wake wa namba iliyopitwa na wakati sisi atuachie new model namba E
 
Kwamba diamond ndio ana dhambi sana Mungu hawezi kumbadilisha?
At least zake zinaonekana wakati kuna wengine wetu dhambi zetu zingewekwa wazi tungejikimbia.
We should stop judging others.
Hakuna mtu hafai kutumika na Mungu.
Arudi kutengeneza NDOA na mumewe kabla ya kutaka kutengeneza maigizo.

Hujasoma, Kuna urafiki Gani kati ya Giza na Nuru?
 
Hata huyo naye mzushi tu, "Mchungaji Mbarikiwa",ndo nini?!,amebarikiwa na nani!?,Kuna ushahidi au ndo kujikweza tu!?,siku hizi yameibuka mambo ya ajabu sana. Mtu anajiita mchungaji Mbarikiwa na watu wanamuona kama Mtakatifu fulani hivi.
Acha ukahaba wenu na shusho,, Mbarikiwa ni jina lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…