The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
NDOA ni muhimu sana lakini si lazima . Ila ina umuhimu sababu ni foundation nzuri ya kutengeneza jamii na taifa.Unafikiri hii dunia yote ina ongozwa na imani yako hiyo inayosema ndoa ni amri?
Kama ndoa ni amri, ulishawahi kusikia mtu amefungwa jela kwa vile hana ndoa?
Au unaleta na kufosi imani yako uchwara inayo kuaminisha ndoa ni amri kwa kila mtu?
FACTShusho ni mtu mzima; na anayepaswa kuendesha maisha yake atakavyo bila kuingiliwa na mtu. Tu wepesi sana wa kuhukumu wengine hata kama hatujui hasa wana/lichopitia
Kama ndoa imechacha, haina maelewano au ina abuse ya aina yo yote, ni haki kwa binti kuondoka katika ndoa hiyo kuliko kukomaa nayo na mwishowe kuishia kupata madhara makubwa ya kimwili, kisaikolojia na mengineyo. Na kama wanandoa hawana maelewano mpaka kwenye mambo ya muhimu kama huduma na wito, ni haki pia kwa mmoja wao kuondoka na kwenda kuhangaikia ndoto zake - awe me au ke!
Nadhani zama za mwanamke kukaa akiteseka hata kukosa nafasi ya kufanya akipendacho kisa eti ndoa zimeshapitwa na wakati wanaume tunalazimisha tu. Ndiyo maana ndoa nyingi zinakufa siku hizi...
Wanapiga sana mkuu cha msingi uwe msiri.Jamaa Yuko sahihi , huyo manzi shape inamzuzua wahuni watapiga saaana
Mwacheni aishi maisha anayoyapenda!!Salaam,Shalom!!
Akizungumza Leo ibadani, Mchungaji Mbarikiwa amepigia mstari kuwa, kilichomsukuma Christina Shusho kumwacha mumewe Kwa kisingizio Cha huduma, ni umalaya tu na hakuna kingine.
Itakumbukwa, Msanii huyo, hivi karibuni ameendelea kutetea uamuzi wake huo Kwa kuhusishwa kifo Cha mwimbaji WA INJILI aliyeimba wimbo wa Equemme aitwaye Osinach kuwa kifo chake kilitokana na manyanyaso ya NDOA na alitaka kuvunja NDOA ila akazuiwa na viongozi wa Dini yake, ametumia sababu hiyo kutaka kuhalalisha uamuzi wake wa kutengana na mumewe Kwa kigezo Cha huduma.
Mchungaji Mbarikiwa amesisitiza kuwa, hakuna wito wa pekee kama anavyodai Christina Shusho wa kumwacha mume Ili kufuata huduma Bali amesukumwa na Roho ya ukahaba.
Mchungaji Mbarikiwa amedai kuwa huko mbeleni, siku Si nyingi, Msanii huyo ataonyesha wazi anachokificha sasa.
Ninakubaliana na Mchungaji Mbarikiwa kuwa Christina Shusho hayuko sahihi Kwa kauli na vitendo vyake sababu anaingiza Roho ya kuvunja NDOA Kwa wanawake wakristo Walio ndani ya NDOA sababu ni Yeye ni public figure.
Tuendelee kumkemea mtu huyu Ili asilivuruge Kanisa na kuvunja moyo mabinti ambao hawajaolewa kupata HOFU ya changamoto za ndani ya NDOA.
NB: NDOA na iheshimiwe na watu wote, na kifo pekee ndio kitatamatisha mkataba wa NDOA.
Source: Shuhuda za kikosikazi Cha INJILI Tv.
Karibuni🙏
Pia soma
Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu
Ikiwa ameamua kukengeuka,Mwacheni aishi maisha anayoyapenda!!
Wakipiga wewe inakudhuru nini?Jamaa Yuko sahihi , huyo manzi shape inamzuzua wahuni watapiga saaana
Nawewe si uanzishe kanisa lako??Ameamua kuwa mchungaji basi!!Ikiwa ameamua kukengeuka,
Aache kutumia madhabahu takatifu kuhalalisha UOVU wake,
Akiendelea kukaa hapo, lazima apigwe ipasavyo.
Mchungaji mwanamke haruhusiwi kibiblia.Nawewe si uanzishe kanisa lako??Ameamua kuwa mchungaji basi!!
ibada za kipuuzo na ambazo si za kipuuzi zinakwaje? Na kwa mujibu wa kitu gani tunasema ibada hii ni ya kipuuzi na hii si ya kipuuzi?Watanzania Ni wapumbavu sna Bado kuna mijitu inawai kanisani kwake asbh ibada za kipuuzi za shusho ,
Mwenyewe ukimutazama unaona kbsa Malaya tu
M
Hao wachungaji wengine wote hawana maovu na madhambi yao?Watanzania Ni wapumbavu sna Bado kuna mijitu inawai kanisani kwake asbh ibada za kipuuzi za shusho ,
Mwenyewe ukimutazama unaona kbsa Malaya tu
M
Jina lako lenyewe ni pombeHata huyo naye mzushi tu, "Mchungaji Mbarikiwa",ndo nini?!,amebarikiwa na nani!?,Kuna ushahidi au ndo kujikweza tu!?,siku hizi yameibuka mambo ya ajabu sana. Mtu anajiita mchungaji Mbarikiwa na watu wanamuona kama Mtakatifu fulani hivi.
Kwani yeye ndio wa kwanza kuwa mchungaji mwanamke hapa tz?Mchungaji mwanamke haruhusiwi kibiblia.
Hilo mbona jina la kwaida tu,harafu mbona maoni yake yamekukela Sana hakuna uchungaji b8la mume au mke,labda wewe sio mkristo labda use padri au sisterHata huyo naye mzushi tu, "Mchungaji Mbarikiwa",ndo nini?!,amebarikiwa na nani!?,Kuna ushahidi au ndo kujikweza tu!?,siku hizi yameibuka mambo ya ajabu sana. Mtu anajiita mchungaji Mbarikiwa na watu wanamuona kama Mtakatifu fulani hivi.
Nimekwambia kibiblia, hakuna Cheo Cha Mchungaji mwanamke.Kwani yeye ndio wa kwanza kuwa mchungaji mwanamke hapa tz?
Kama alikuwa ananyanyasika, mlitqka afe na tai shingoni? Sie wanaume wa kiafrika, tunajuana, tunapenda wanawake wawe chini yetu kama watumwa!Salaam,Shalom!!
Akizungumza Leo ibadani, Mchungaji Mbarikiwa amepigia mstari kuwa, kilichomsukuma Christina Shusho kumwacha mumewe Kwa kisingizio Cha huduma, ni umalaya tu na hakuna kingine.
Itakumbukwa, Msanii huyo, hivi karibuni ameendelea kutetea uamuzi wake huo Kwa kuhusishwa kifo Cha mwimbaji WA INJILI aliyeimba wimbo wa Equemme aitwaye Osinach kuwa kifo chake kilitokana na manyanyaso ya NDOA na alitaka kuvunja NDOA ila akazuiwa na viongozi wa Dini yake, ametumia sababu hiyo kutaka kuhalalisha uamuzi wake wa kutengana na mumewe Kwa kigezo Cha huduma.
Mchungaji Mbarikiwa amesisitiza kuwa, hakuna wito wa pekee kama anavyodai Christina Shusho wa kumwacha mume Ili kufuata huduma Bali amesukumwa na Roho ya ukahaba.
Mchungaji Mbarikiwa amedai kuwa huko mbeleni, siku Si nyingi, Msanii huyo ataonyesha wazi anachokificha sasa.
Ninakubaliana na Mchungaji Mbarikiwa kuwa Christina Shusho hayuko sahihi Kwa kauli na vitendo vyake sababu anaingiza Roho ya kuvunja NDOA Kwa wanawake wakristo Walio ndani ya NDOA sababu ni Yeye ni public figure.
Tuendelee kumkemea mtu huyu Ili asilivuruge Kanisa na kuvunja moyo mabinti ambao hawajaolewa kupata HOFU ya changamoto za ndani ya NDOA.
NB: NDOA na iheshimiwe na watu wote, na kifo pekee ndio kitatamatisha mkataba wa NDOA.
Source: Shuhuda za kikosikazi Cha INJILI Tv.
Karibuni🙏
Pia soma
Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu
Ndoa aslimia kubwa zimeshakufa, watu wanaishi tu eti kuogopa jamii. Ambao sio wanafiki ndio wamekua na ujasiri wa kuzivunja . Mimi sikutaka kuwa mnafiki nikaivunjilia mbali.Shusho ni mtu mzima; na anayepaswa kuendesha maisha yake atakavyo bila kuingiliwa na mtu. Tu wepesi sana wa kuhukumu wengine hata kama hatujui hasa wana/lichopitia
Kama ndoa imechacha, haina maelewano au ina abuse ya aina yo yote, ni haki kwa binti kuondoka katika ndoa hiyo kuliko kukomaa nayo na mwishowe kuishia kupata madhara makubwa ya kimwili, kisaikolojia na mengineyo. Na kama wanandoa hawana maelewano mpaka kwenye mambo ya muhimu kama huduma na wito, ni haki pia kwa mmoja wao kuondoka na kwenda kuhangaikia ndoto zake - awe me au ke!
Nadhani zama za mwanamke kukaa akiteseka hata kukosa nafasi ya kufanya akipendacho kisa eti ndoa zimeshapitwa na wakati wanaume tunalazimisha tu. Ndiyo maana ndoa nyingi zinakufa siku hizi...
Kwani utajiri wa mwanamke unambadili kuwa Mwanaume?Kama alikuwa ananyanyasika, mlitqka afe na tai shingoni? Sie wanaume wa kiafrika, tunajuana, tunapenda wanawake wawe chini yetu kama watumwa!
Wajameni, ukiwa, na, mke mama wa, nyymbni, jinsi unavyomtuma akuletee ghahawa, chai, chakula, akupelekee maji bafuni, siku akiwa CEO wa, kampuni, au awe tajiri kama bskheresa, jinsi ya kuwasiliana nae lazima iwe tofauti