Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile wa Mbeya akagua simu za waumini hadharani akiwa madhahabuni

Jpili ijayo kila mtu inbox iko empty
Hata bwana Eliya alikua "ameisafisha" simu yake, ukisikiliza kwa makini utagundua kuwa mchungaji alikuta uwanja wa SMS umesafishwa, na whatsapp pia imesafishwa, ipo hiyo meseji moja tu, ambayo inaonekana pia iliingia wakiwa hapo hapo ibadani.
Huo utaratibu wa kukagua simu za waumini wake kwa ambush, hajauanza jumapili iliyopita, amekua nao muda mrefu.
 
I wish ningekuwa eliya, ningepata sabau hata huko kwa Mungu niwe na sababu ya kujitetea kwanini sikuwa naenda kanisani.

Ila kadri ya mapambazuko ya juwa ndio dini na imani za kimungu zinazidi kupotea miongoni mwa watu wengi, na sababu moja wapo kubwa ni hawa wachungaji wa mchongo!
 
Kivipi mkuu? Dadavua
Tumia akili hapo hapaitaji ufafanuzi wowote maana every thing is open(kila kitu kipo wazi) na matunda ni dhahiri....ndiyo utimilifu wa maandiko yanayo sema ..."CHUKIZO LA UHALIBIFU LILILO SIMAMA PATAKATIFU "
 
Kwa nini umruhusu mchungaji akague chumbani kwako. Mambo yote ambayo hawezi kuona kwa macho yake wala kusikia kwa masikio yake hayamhusu. Kijana kakosea sana kumpa simu
 


Insanity, Hata Yesu hakufanya hivi, sasa ni dhahiri, huyu mtu ni kichaa, anapaswa kuwa controlled, atakuja kuua waumini huyu siku moja.
 
Hapo hamna kanisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…