Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile wa Mbeya akagua simu za waumini hadharani akiwa madhahabuni

Tumia akili hapo hapaitaji ufafanuzi wowote maana every thing is open(kila kitu kipo wazi) na matunda ni dhahiri....ndiyo utimilifu wa maandiko yansyo sema ..."CHUKIZO LA UHALIBIFU LILILO SIMAMA PATAKATIFU "
Nimekusoma mkuu
 
Mnamlaumu mchungaji Bure Lakini tatizo lipo kwa ELIYA,

huwezi kutoa simu yako na password kiboya hivyo
 
unashangaa? Wazinzi wanafukuzwa sana tu ikibainika
Ndio nashangaa sana kuona hivyo
Huyo mzinifu atabadilika vipi kama utamfukuza !
Hapo ni kumfafanulia vizuri Amri ya sita na kumpatia mafundisho kazaa juu ya ngono zembe
Ni wajibu Kwa mwalimu kufundisha , hatakama Kuna wasio elewa
Nawasio elewa huwezi kuwafukuza inapaswa utenge muda wa ziada Kwa ajili kuwasaidia zaidi
 
Huyu mpumbavu ni wa kufunguliwa mashitaka kwa kuingilia faragha ya mtu. Inatekiwa awekwe ndani hadi akili imkae sawa
 
Mungu anatumiaje gharama kumuokoa mtu aliyemuumba?
Tudhibitishie ni lini ulimuona MUNGU na ulimuonea wapi ili na sisi tuende tikaonane nae ana kwa ana, ili tumueleze shida zetu.
 
Yaani sadaka uchuku, Kanisani unifukuze, na Demu wangu unigombanishe nae..

"I will not look for you, I will not pursue you. But if you don't, I will look for you, I will find you, and I will kill you". - Liam Neelson, Taken 2008
 
Huyu Mchungaji amefiwa na watoto wawili wakubwa tu kwa mfululizo, I'm I right ?

Siku wapagawe wachungaji waite simu za watu waone humo maajabu ya dunia
 
Mchungaji hajakosea! Anadhibiti uasherati Kanisani.Na huenda alikuwa ameshapewa taarifa kuhusu mienendo ya huyo kijana juu ya binti huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…