Mchungaji Mgogo wewe sema huna upako acha kuzunguka mbuyu

Nani aliombewa kwa mwamposa akapata gari kama sio nyinyi ndo mnaenda kwa mwamposa kumchangia anunue gari just kwa utapeli wa kiroho
 
Tafuta Upako uache kumuona Mwamposa tapeli
Tapeli tu. What is upako kwanza? Mbona watu maisha yanaenda kabla ya mwamposa na ata akipoa yataenda? Mnatangatanga tu, TB Joshua kiko wapi? Nyie mna shida pahala. Upako ni nonsense. Unaupimaje ? Au hisia tu, au mdo 'macho ya kiroho' πŸ˜‚, watu bana. Atakuja mwingine hao tena. Mnaangamia kwa kukosa maarifa. Scams.
 
Am not even a Christian
 
Endelea kusema Scams wale unaowaona wanahangaika kwenye makanisa ya mitume na manabii usidhani wajinga? Wengi wao wanakua wameshahangaika sana kama kwa waganga wametembea mpaka nje ya tanzania lakini hawajafanikiwa..
Wengi unaowaona pale ni ile hatua ya mwisho ya kukata tamaa Wanaenda kupata Faraja na Uponyaji kwa Mwenyezi Mungu.

Usiseme scams Hayajakukuta, Narudia hayajakukuta ya walimwengu
 
Tushakutana na hatari na mabalaa lakini tumechomoka bila kwenda kwa hao matapeli. Usikariri.
 
Fact
 
Akili za st Kayumba hizi tabu tupu, mnaaza uchawi tu na mapepo
 
UNAJUA KUTOKA KAWE MPAKA OCEAN ROAD HOSPITAL YA CANCER SIO MBALI
AU UPAKO UNATIBU MAGONJWA YASIO ONEKANA TU!?
 

Attachments

  • images.jpeg
    43.5 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…