technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
System ndiyo inafanya kazi. Kinana anajua nguvu ya T, hawezi kujiung na waleviKinana amekipigania sana chama kwa jasho na damu nakumbuka mwaka 2014 jinsi alivyozunguka nchi na kujibu hoja za wananchi nilikutana naye Arusha hakuwa mropokaji kama nape ila alijitahidi kukirudisha chama kwenye misingi leo anatukanwa na vijawa wahuni wa ccm very sad mambo kwa hakika yana-change!
Kinana amekipigania sana chama kwa jasho na damu nakumbuka mwaka 2014 jinsi alivyozunguka nchi na kujibu hoja za wananchi nilikutana naye Arusha hakuwa mropokaji kama nape ila alijitahidi kukirudisha chama kwenye misingi leo anatukanwa na vijawa wahuni wa ccm very sad mambo kwa hakika yana-change!
Mi nahisi Kinana anasafishiwa njia ya kwenda ufipani. Au unasemaje bosi? Tafakuli tu hizo.CHADEMA kuweni makini na huyu mtu, kabakiza mwili tu roho tayari ipo CCM.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maandalizi ya kubadili gia angani. Na wafuasi wao walivyo malofa wataunga hoja mkono, kuhoji fikra za wenyeviti ni shida kubwa kwao.Nimemsikia Mch Msigwa akimsafisha Mzee Kinana kuhusiana na kashafa ya Ujangili Pembe za ndovu. Je hii inaweza kuwa mbinu ya kuandaa mazingira mazuri ya kumkaribisha Mzee Kinana aliyewahi kuwa Katibu mkuu wa CCM kuelekea Chadema?
Kwahiyo Msigwa anatia huruma?[emoji23][emoji23][emoji23]Wanasiasa wanaongea uongo sana kutafuta umaarufu na kushangiliwa bila kujali wanachoongea kina ukweli kiasi gani, wakikutana na Mangangari ndio wanaishia kutia huruma.
Si naye Msigwa kasema alikuwa akiambiwa na ntu mwingine. Hence, Magufli = Msigwa.Hakusema yeye ila aliambiwa hivyo na watu wa Bandari kutokana na kukosekana kwa nyaraka za mzigo
Sent using Jamii Forums mobile app
UONGO wa hila, ni uuaji.
Natoa tamko la kumuomba radhi Abdulrahman Kinana, ikumbukwe nilikuwa na kesi katika Mahakama Kuu ya Tanzania iliyofunguliwa na Kinana kutokana na matamshi niliyowahi kuyatoa kumuhusisha na ujangili. Ninakiri tuhuma hizo hazikuwa za kweli wala ushahidi wowote, bali zilikuwa na malengo potofu ya kisiasa na kizandiki.
Pia soma:
1) HOTUBA ya Kambi ya Upinzani Bungeni, Maliasili na Utalii na Peter Msigwa (FULL TEXT)
2) Kinana kupitia Wanasheria amuandikia Msigwa kumtaka amuombe radhi
3) Mchungaji Msigwa (CHADEMA) amtaka Kinana awahi kortini
4) Kinana amburuza Msigwa kortini
5) Msigwa amuomba mzee Mtei akaongee na Kinana ili wayamalize!
6) Mahakama kuamua kesi ya Kinana leo
Hapa wataitwa viongozi wa nyumbu, lakini wakishahamia kwenu wanakuwa mashujaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinana kuhamia CHADEMA ni haki yake,kama Lijualikali kuhamia CCM na hii ndio demokrasia.
Natoa tamko la kumuomba radhi Abdulrahman Kinana, ikumbukwe nilikuwa na kesi katika Mahakama Kuu ya Tanzania iliyofunguliwa na Kinana kutokana na matamshi niliyowahi kuyatoa kumuhusisha na ujangili. Ninakiri tuhuma hizo hazikuwa za kweli wala ushahidi wowote, bali zilikuwa na malengo potofu ya kisiasa na kizandiki.
Pia soma:
1) HOTUBA ya Kambi ya Upinzani Bungeni, Maliasili na Utalii na Peter Msigwa (FULL TEXT)
2) Kinana kupitia Wanasheria amuandikia Msigwa kumtaka amuombe radhi
3) Mchungaji Msigwa (CHADEMA) amtaka Kinana awahi kortini
4) Kinana amburuza Msigwa kortini
5) Msigwa amuomba mzee Mtei akaongee na Kinana ili wayamalize!
6) Mahakama kuamua kesi ya Kinana leo
Anasema alienda kumuomba msamaha, hatujui masharti aliyopewa baada ya kusamehewa. Hili nalo laweza kuwa sharti mojawapo.
Umeongea safi sana nilitaka kuandika kitu umemalizaKuomba radhi ni uungwana japo ilitakiwa afanye hivyo kabda ya hukumu ya mahakama kuu.
Hii pia inatoa taswira kwamba madai mengi ya wanasiasa yanakua ya uongo kwa ajili ya malengo ovu au kupata umaarufu wa kisiasa.
Bahati mbaya sana malengo yao hayo huumiza watu kwa kuwavunjia heshima zao katika jamii, heshima ambazo wengine wamejijengea kwa miaka mingi.
Tembo wameongezeka sana toka ile meli ikamatwePoleni sana marafiki zangu akina Malisa, jogi Erythrocyte