Pre GE2025 Mchungaji Msigwa atangaza kukata rufaa kupinga Ushindi wa Joseph Mbilinyi (Sugu) Kanda ya Nyasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Uhuru wa kuongea kwa Chadema ni jambo la kwanza, hakuna anayezuiliwa kuongea atakacho na hasa kwenye masuala ya Haki na Demokrasia
 
YUPO na KUNDI behind SIO yeye
 
Ugomvi wa nyumbu hatuingilii 😁😁
 
Mchungaji Msigwa ndio anaondoka

Chadema hawasikilizagi Rufaa 🐼
 
Huyuhuyu mvuta bangi mabalozi wanamtembelea kwake siyo yeye kwenda kwa mabalozi.

Sugu ndiye mgombea aliongoza kwa kura za ubunge 2010 ina maana hao wote waliompigia kura hawana akili?
 
Ingekuwa vyema mkatujuza kwenye huu uenyekiti wa kanda kuna siri gani ya kimaslahi iliyojificha?

Inawezekana kuna kitu sisi hatukijui.
 
Kama si lazima awe kiongozi, huko Chadema anakaa ili iweje? Kumbuka Msigwa keshashika nyadhifa mbalimbali ndani ya Chadema sasa leo ukisema akae tu kama Mwanachama wa kawaida wakati umri na uwezo wa kuongoza bado anao ni kumkosea heshima.
Kwahiyo kuna watu uongozi ni haki yao? Siyo wengine wapate hizo post?
 
Itakuwa anatafuta sababu ya kuhama hicho chama.

Kapuuzwa toka mwanzo kuhusu tuhuma kwa msimamizi,kutakuwa na jipya?
 
Wameanza? Mpaka wafike uchaguzi hawatoelewana
 
Hi
 
Umeongea pumba na inaonyesha una chuki na Sugu, Sugu ni kipe zi cha watu, aliwaikuweka rekodi ya kupata kura nyingi kama mbunge, hivyo usishangae kumbwaga msigwa
 
Mwenyekiti wa Kanda ni Mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema

Hivyo ana Mgao wa Moja kwa Moja kwenye Keki ya Ruzuku πŸ˜‚
Sidhani kama Chadema inaweza kuwaacha domant watu kama Msigwa watapewa post za teuzi, ninachokiona kuna watu wanaamini wao ndio wanastahili.

Itapendeza pia mtu kama Sugu aambiwe afanye kazi za chama alizoomba swala la ubunge wagombee watu wengine yeye asimamie mchakato wa kupata wagombea ubunge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…