Pre GE2025 Mchungaji Msigwa Awakaanga CHADEMA kwa Ujumbe wa Picha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Uyo uliyesema r.i.p ndo alituletea haya matatizo aongezewe m*****to huko alipo tena ya nuclear kabisa
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mchungaji peter Msigwa anaendelea kufurahi maisha mapya ndani ya CCM,hali inayomfanya aendelee kukuta kwanini alipoteza muda kwenye chama cha CHADEMA kilichokosa muelekeo,Dira na hata sera zenye kugusa maisha ya watanzania.

Chama ambacho kimejaa udikiteta na kuendeshwa kama Sacco's au mradi wa mtu binafsi au kitega uchumi cha familia. Chama ambacho kinakwenda kwenda Utafikiri kipofu kigazini. Hakina sera wala ajenda zaidi ya kurukia rukia matukio.

Sasa mchungaji Msigwa akiwa anaendelea kuiumbua CHADEMA kwa Masuala mbalimbali mabaya ,ameposti picha huu hapa chini kama inavyoonekana.View attachment 3079997

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mwehu huyo! Ni suala la muda tu atakuwa Mirembe!
 
Hakuna chama cha upinzani kinaitesa cha la majizi kama cdm, na vile Lisu ametangaza kutaka kugombea urais, chama la majizi litahonga sana, na vyombo vya dola vitatumika sana kuteka wapinzani kisha kusingizia waganga wa kienyeji.
Na nyie mwisho wa siku yatakua yaleyale,,,,,andaeni machozi ya kutosha kwenda kuwalilia wazungu kama kawaida yenu
 
Halafu kuna watu wanaota kua CCM itatoka madarakani,,,,,,.........
CCM ni ile ile ya Nyerere, Kawawa,Mwinyi,Mkapa,Kikwete, Magufuli,Samia.
Wana nguzo mmoja kuu ya kuhakikisha CCM inabaki madarakani miaka mingi sana.

CCM kila siku ya Mungu inabuni mikakati ya kubaki madarakani kwa muda mrefu hata miaka elfu kama inawezekana.
Ukiangalia upande wa wapinzani wao wanasaka uongozi ngazi ya ubunge.Hata kama uchaguzi ungefanyika kwa haki,hawatoboi kwa kuwa kila chama kinamsimamisha mgombeaji.

Njaa,tamaa,uchu wa uongozi ndio kikwazo cha mageuzi na demokrasia ya vyama vya upinzani.
Hata 2030 hakuna maajabu labda wapinzani kwanza waunganishe vyama vikubwa vya upinzani vinginevyo hakuna kitu.
 
I
Ndugu zangu Watanzania,

Mchungaji peter Msigwa anaendelea kufurahi maisha mapya ndani ya CCM,hali inayomfanya aendelee kukuta kwanini alipoteza muda kwenye chama cha CHADEMA kilichokosa muelekeo,Dira na hata sera zenye kugusa maisha ya watanzania.

Chama ambacho kimejaa udikiteta na kuendeshwa kama Sacco's au mradi wa mtu binafsi au kitega uchumi cha familia. Chama ambacho kinakwenda kwenda Utafikiri kipofu kigazini. Hakina sera wala ajenda zaidi ya kurukia rukia matukio.

Sasa mchungaji Msigwa akiwa anaendelea kuiumbua CHADEMA kwa Masuala mbalimbali mabaya ,ameposti picha huu hapa chini kama inavyoonekana.View attachment 3079997

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Inafikirisha!
 
Ni kweli, maana ccm sio chama cha siasa, bali genge la dola linalotumia mabavu kubaki madarakani. Machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ndio yataling'oa genge hili hatari.
Kichwa chako inaonyesha kilisha changanyikiwa ndio maana unajiongeleaga tu lolote linalokujia mdomoni kwako.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mchungaji peter Msigwa anaendelea kufurahi maisha mapya ndani ya CCM,hali inayomfanya aendelee kukuta kwanini alipoteza muda kwenye chama cha CHADEMA kilichokosa muelekeo,Dira na hata sera zenye kugusa maisha ya watanzania.

Chama ambacho kimejaa udikiteta na kuendeshwa kama Sacco's au mradi wa mtu binafsi au kitega uchumi cha familia. Chama ambacho kinakwenda kwenda Utafikiri kipofu kigazini. Hakina sera wala ajenda zaidi ya kurukia rukia matukio.

Sasa mchungaji Msigwa akiwa anaendelea kuiumbua CHADEMA kwa Masuala mbalimbali mabaya ,ameposti picha huu hapa chini kama inavyoonekana.View attachment 3079997

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Haya tumekusikia.

Lakini wewe una kura moja kama yangu.

Matokeo halali yakitangazwa CCM inaenda likizo ya siasa
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mchungaji peter Msigwa anaendelea kufurahi maisha mapya ndani ya CCM,hali inayomfanya aendelee kukuta kwanini alipoteza muda kwenye chama cha CHADEMA kilichokosa muelekeo,Dira na hata sera zenye kugusa maisha ya watanzania.

Chama ambacho kimejaa udikiteta na kuendeshwa kama Sacco's au mradi wa mtu binafsi au kitega uchumi cha familia. Chama ambacho kinakwenda kwenda Utafikiri kipofu kigazini. Hakina sera wala ajenda zaidi ya kurukia rukia matukio.

Sasa mchungaji Msigwa akiwa anaendelea kuiumbua CHADEMA kwa Masuala mbalimbali mabaya ,ameposti picha huu hapa chini kama inavyoonekana.View attachment 3079997

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Njaa humfanya mtu mtumwa ,Msigwa mtumwa wa Makala/Nchimbi
 
CCM ni ile ile ya Nyerere, Kawawa,Mwinyi,Mkapa,Kikwete, Magufuli,Samia.
Wana nguzo mmoja kuu ya kuhakikisha CCM inabaki madarakani miaka mingi sana.

CCM kila siku ya Mungu inabuni mikakati ya kubaki madarakani kwa muda mrefu hata miaka elfu kama inawezekana.
Ukiangalia upande wa wapinzani wao wanasaka uongozi ngazi ya ubunge.Hata kama uchaguzi ungefanyika kwa haki,hawatoboi kwa kuwa kila chama kinamsimamisha mgombeaji.

Njaa,tamaa,uchu wa uongozi ndio kikwazo cha mageuzi na demokrasia ya vyama vya upinzani.
Hata 2030 hakuna maajabu labda wapinzani kwanza waunganishe vyama vikubwa vya upinzani vinginevyo hakuna kitu.
Kwamba wapinzani wakiungana uchaguzi ndio utakuwa wa haki?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mchungaji peter Msigwa anaendelea kufurahi maisha mapya ndani ya CCM,hali inayomfanya aendelee kukuta kwanini alipoteza muda kwenye chama cha CHADEMA kilichokosa muelekeo,Dira na hata sera zenye kugusa maisha ya watanzania.

Chama ambacho kimejaa udikiteta na kuendeshwa kama Sacco's au mradi wa mtu binafsi au kitega uchumi cha familia. Chama ambacho kinakwenda kwenda Utafikiri kipofu kigazini. Hakina sera wala ajenda zaidi ya kurukia rukia matukio.

Sasa mchungaji Msigwa akiwa anaendelea kuiumbua CHADEMA kwa Masuala mbalimbali mabaya ,ameposti picha huu hapa chini kama inavyoonekana.View attachment 3079997

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Si rahisi kuwadanganya watu wa karne hii. Hivi ni chama gani kinachoongoza serikali na je wananchi wanalalamika au wameridhika na maendeleo yao binafsi na maendeleo ya nchi yao, kwa kulinganisha na rasilimali zilizopo? Je, ni Chadema ndicho chama tawala kinachoweza kubeba hizo lawama? Je, chaguzi za 2020 zilivyokwenda, ndiyo maendeleo ya kisiasa tuliyofikia? Na kabla ya kuhama, mbona na yeye alikuwa akiikosoa serikali inayoongozwa na CCM au ulikuwa uwongo? Sasa atwambie, je wakati akikosoa alikuwa akisema uwongo/ukweli au sasa hivi anaposifia ndipo anaposema uwongo/ukweli?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mchungaji peter Msigwa anaendelea kufurahi maisha mapya ndani ya CCM,hali inayomfanya aendelee kukuta kwanini alipoteza muda kwenye chama cha CHADEMA kilichokosa muelekeo,Dira na hata sera zenye kugusa maisha ya watanzania.

Chama ambacho kimejaa udikiteta na kuendeshwa kama Sacco's au mradi wa mtu binafsi au kitega uchumi cha familia. Chama ambacho kinakwenda kwenda Utafikiri kipofu kigazini. Hakina sera wala ajenda zaidi ya kurukia rukia matukio.

Sasa mchungaji Msigwa akiwa anaendelea kuiumbua CHADEMA kwa Masuala mbalimbali mabaya ,ameposti picha huu hapa chini kama inavyoonekana.View attachment 3079997

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

CCM ya sasa haina democracy ya kweli, ingekuwa ya kweli msingekataza watu kugombea urais 2025.

Hakuna haki wala uhuru wa kweli wakati mtu unakatazwa kumkosoa mkuu wa nchi.

Kuna upendo wa kinafiki na umoja wenye shaka.
CCM ina-survive kimafia tu ndio maana inajua kuwashughulikia wapinzani au yeyote anayehamia upinzani. Bila hivyo CCM isingekuwepo.
 
Back
Top Bottom