Pre GE2025 Mchungaji Msigwa Awakaanga CHADEMA kwa Ujumbe wa Picha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mchungaji Msigwa akikumbatie Kibuyu chake cha Asali awe anaifyonza bila kelele.
 
CHADEMA ni genge la wasaka Tonge tu na wachumia tumbo.
Katika watu ambao hawana akili timamu humu jukwaani wewe ni mmoja wapo.
Huyo msigwa kajiunga na chadema lini mpaka leo akuaminishe kwamba kuna udini, rushwa, ukabila na udini?
Hivi wakisimama watu wawil kati ya ccm na chadema nani mla rushwa?
 
Katika watu ambao hawana akili timamu humu jukwaani wewe ni mmoja wapo.
Huyo msigwa kajiunga na chadema lini mpaka leo akuaminishe kwamba kuna udini, rushwa, ukabila na udini?
Hivi wakisimama watu wawil kati ya ccm na chadema nani mla rushwa?
CHADEMA ni genge la wasaka Tonge.
 
Hizi shamra shamra ni kama anataka kusikika ila ccm wenyewe wala hawamsikii.....

Once again Msigwa hajachanga karata vizuri, enzi ya jiwe ndio angefanya hivi angelamba mahela angelamba uwaziri, hii ni totally wrong tageti yani.
Amepuyanga
 
Huyu ni mchungaji kweli wa kondoo ile waingie mbinguni? Badala ajikite na masuala ya CCM, yeye kutwa na Chadema. Imemuuma sana nini kutoka huko Chadema?
 
Muwasha Mbwa, kwani kuna siku uliwahi kuandika chochote kinachohitaji akili?? Unatembea ndani ya eneo ambalo uwezo wa akili yako unakoishia. Hakuna wa kukulaumu kwani huwezi kutumia usichokuwa nacho.
 
Lucas naomba jibu hili;
kati ya CCM na CHadema chama kipi hadi shetani anakiogopa kwa rushwa, wizi, ufisadi, gilba, udokozi na unyama ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…