Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Hayati Magufuli alitaka kunipa uwaziri na pesa lakini nilikataa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe kama siyo njaa kinachokufanya unajaza machapisho ya kusifia watawala ni nini? Huteuliwi ng'o.
Mimi sina njaa ndio maana naandika kwa utulivu sana .ila ninyi mliojaa njaa kuanzia tumboni hadi kichwani ndio maana mnaishia kuporomosha matusi tu.
 
Njaa na umasikini unakusumbua,huteuliwi ng'o
Nani alikwambia na kukudanganya kuwa wewe una akili?
Hujawahi kumiliki akili ndiyo maana unajaza ujinga tu humu. Huteuliwi ng'o.
 
katika muendelezo wa kutupa makombora, vijembe, hasira na kuonyesha namna CHADEMA ilivyojaa ubabaishaji na uhuni uhuni pamoja na kukosa viongozi wenye kuheshimika na kutoa muongozo.

Mchungaji peter Msigwa aliyekuwa mbunge wa Iringa mjini na mwenyekiti wa kanda ya Nyasa na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA amesema ya kuwa, Hayati Magufuli alisemaga aende CCM na kwamba atampatia Ubunge, pesa pamoja na Uwaziri juu. Anasema alifuatwa hadi Segerea na wasaidizi wa Hayati Magufuli na kupewa simu ili azungumze na Rais lakini bado alikataa.

Anasema kwa sasa wapo ambao wakiitwa na Rais Wanakimbia mbiombio kwenda kwa Rais.lakini yeye alimkatalia Rais.amesema yeye akitaka kuondoka CHADEMA anaweza tu kuondoka bila kutafuta visingizio.anasema maana hakuna wa kumzuia.

Rai yangu ni kuwaomba wana CHADEMA wanaojitambua na wenye akili Timamu kuhama haraka sana ndani ya CHADEMA na kuingia CCM kwa kishindo, maana kwa sasa CHADEMA inaendeshwa kihuni huni sana na kibabe kibabe tu. CHADEMA imejaza vijana wa hovyo hovyo na ambao akili zao zilishavurugika na kukosa muelekeo, imejaa vijana malimbukeni waliokosa adabu na malezi mazuri ya wazazi wao, imejaa vijana waliozibuka kiakili na kuwa utafikiri wanatumia vitu vinavyoharibu mfumo wao wa ubongo na fahamu.

CHADEMA nzima limebaki kama genge fulani tu hivi la watu walioshindikana na kulaaniwa na walimwengu. Wao wenyewe tu hawana umoja wala mshikamano wala kuheshimiana. Uchaguzi tu unawatoa roho? Vipi wangekuwa na madaraka? Si wangetoana roho na kuuwana? CHADEMA kumejaa watu waropokaji na wenye mihemuko hovyo hovyo, ni watu wa kukurupuka tu na kutapika maneno machafu machafu tu yaliyokosa staha na adabu.

Mchungaji Msingwa nakukaribisha sana ndani ya CCM, huko CHADEMA fahamu ya kuwa utakufa kwa presha tu maana watakuwa wanakutenga na kukunyanyapaa muda wote. Kumbuka huko umechanganyikana na ma vijana yaliyokosa adabu na malezi mazuri, utatukanwa na kushushiwa heshima yako.utaporomoshewa matusi mpaka unuke. Njoo CCM chama chenye upendo, umoja na mshikamano.chama kinachoheshimu mawazo ya kila mtu.

Kazi iendelee, mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mkooojooomaviiii
 
Mchg Msigwa anazidi kujiaibisha kashindwa uchaguzi kakata rufaa badala ya kusubiri majibu kakimbilia kukibagaza chama.Mjinga sana huo uchungaji wake hauna maana labda akawaubiri wajinga wajinga.
 
Tumpumzishe marehemu jamani, kila mtu marehemu alikuwa anataka kunipa cheo hiki nikakataa.

Mbona vyeo vyenyewe ni vichache kuliko idadi ya wanaobrag kuwa walitaka kupewa? 🤣🤣🤣
 
Kuna siku mtakuja kugundua mpinzani wa CCM sio Msigwa, sio Mbowe, Sio Lissu, sio Sugu wala Heche bali ni Wananchi wenyewe, too bad mtakuwa mmechelewa.
 
Tanzania bara bado sana upinzani, hat umone profesa lkn likija swala la hela huyo sio mwenzio. ndio maana kila siku wanahama vyama tofauti na upande wa pili wa shilingi
Kuna siku mtakuja kugundua mpinzani wa CCM sio Msigwa, sio Mbowe, Sio Lissu, sio Sugu wala Heche bali ni Wananchi wenyewe, too bad mtakuwa mmechelewa.
 
Mchg Msigwa anazidi kujiaibisha kashindwa uchaguzi kakata rufaa badala ya kusubiri majibu kakimbilia kukibagaza chama.Mjinga sana huo uchungaji wake hauna maana labda akawaubiri wajinga wajinga.
Ameshaona kuwa CHADEMA inaendeshwa kihuni huni tu na kibabaishaji tu.
 
Akina Lucas mwashambwa 7,000,000 Msigwa mmoja akiwa nusu kaputi
 
Tumpumzishe marehemu jamani, kila mtu marehemu alikuwa anataka kunipa cheo hiki nikakataa.

Mbona vyeo vyenyewe ni vichache kuliko idadi ya wanaobrag kuwa walitaka kupewa? 🤣🤣🤣
Kila mtu CHADEMA anadai kuwa alitaka kupewa Uwaziri.
 
Akina Lucas mwashambwa 7,000,000 Msigwa mmoja akiwa nusu kaputi
Acha unafiki wako wewe.sasa mbona mlimnyima kura za uwenyekiti wa kanda ya Nyasa? Mbona mlikuwa mnanyweshana pombe Makreti kwa Makreti na kupanga mipango ya kumuangusha ili kumpa sugu ambaye kwenye ubunge tu alishindwa kufanya kazi .
 
Luca....habari yako.....leo wewe ni wa kumtetea Msigwa 😀 😀 😀 😀
 
katika muendelezo wa kutupa makombora, vijembe, hasira na kuonyesha namna CHADEMA ilivyojaa ubabaishaji na uhuni uhuni pamoja na kukosa viongozi wenye kuheshimika na kutoa muongozo.

Mchungaji peter Msigwa aliyekuwa mbunge wa Iringa mjini na mwenyekiti wa kanda ya Nyasa na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA amesema ya kuwa, Hayati Magufuli alisemaga aende CCM na kwamba atampatia Ubunge, pesa pamoja na Uwaziri juu. Anasema alifuatwa hadi Segerea na wasaidizi wa Hayati Magufuli na kupewa simu ili azungumze na Rais lakini bado alikataa.

Anasema kwa sasa wapo ambao wakiitwa na Rais Wanakimbia mbiombio kwenda kwa Rais.lakini yeye alimkatalia Rais.amesema yeye akitaka kuondoka CHADEMA anaweza tu kuondoka bila kutafuta visingizio.anasema maana hakuna wa kumzuia.

Rai yangu ni kuwaomba wana CHADEMA wanaojitambua na wenye akili Timamu kuhama haraka sana ndani ya CHADEMA na kuingia CCM kwa kishindo, maana kwa sasa CHADEMA inaendeshwa kihuni huni sana na kibabe kibabe tu. CHADEMA imejaza vijana wa hovyo hovyo na ambao akili zao zilishavurugika na kukosa muelekeo, imejaa vijana malimbukeni waliokosa adabu na malezi mazuri ya wazazi wao, imejaa vijana waliozibuka kiakili na kuwa utafikiri wanatumia vitu vinavyoharibu mfumo wao wa ubongo na fahamu.

CHADEMA nzima limebaki kama genge fulani tu hivi la watu walioshindikana na kulaaniwa na walimwengu. Wao wenyewe tu hawana umoja wala mshikamano wala kuheshimiana. Uchaguzi tu unawatoa roho? Vipi wangekuwa na madaraka? Si wangetoana roho na kuuwana? CHADEMA kumejaa watu waropokaji na wenye mihemuko hovyo hovyo, ni watu wa kukurupuka tu na kutapika maneno machafu machafu tu yaliyokosa staha na adabu.

Mchungaji Msingwa nakukaribisha sana ndani ya CCM, huko CHADEMA fahamu ya kuwa utakufa kwa presha tu maana watakuwa wanakutenga na kukunyanyapaa muda wote. Kumbuka huko umechanganyikana na ma vijana yaliyokosa adabu na malezi mazuri, utatukanwa na kushushiwa heshima yako.utaporomoshewa matusi mpaka unuke. Njoo CCM chama chenye upendo, umoja na mshikamano.chama kinachoheshimu mawazo ya kila mtu.

Kazi iendelee, mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mnaigopa sana CDM huo ndio ukweli kuna chama kinaendeshwa kihuni kuliko sisiemu? Chama kisichoruhusu mawazo kinzani ndani,CDM kuna demokrasia ndio mana leo hii Mch Msigwa anaweza kuongea anayoongea ambayo kwa mwana sisiemu haiwezekani,mfano Job aliongea mawazo yake kuhusu nchi kuuzwa mkamshughulikia nanukiona mwana sisiemu anampongeza mwana CDM basi ujue kuna kitu hakiko sawa haiwezekani ukubali matokeo siku ya uchaguzi halafu baada ya siku kadhaa ukate rufaa how come,ni haki yake na alipaswa kukataa siku ile ile aliyompongeza Sugu
 
katika muendelezo wa kutupa makombora, vijembe, hasira na kuonyesha namna CHADEMA ilivyojaa ubabaishaji na uhuni uhuni pamoja na kukosa viongozi wenye kuheshimika na kutoa muongozo.

Mchungaji peter Msigwa aliyekuwa mbunge wa Iringa mjini na mwenyekiti wa kanda ya Nyasa na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA amesema ya kuwa, Hayati Magufuli alisemaga aende CCM na kwamba atampatia Ubunge, pesa pamoja na Uwaziri juu. Anasema alifuatwa hadi Segerea na wasaidizi wa Hayati Magufuli na kupewa simu ili azungumze na Rais lakini bado alikataa.

Anasema kwa sasa wapo ambao wakiitwa na Rais Wanakimbia mbiombio kwenda kwa Rais.lakini yeye alimkatalia Rais.amesema yeye akitaka kuondoka CHADEMA anaweza tu kuondoka bila kutafuta visingizio.anasema maana hakuna wa kumzuia.

Rai yangu ni kuwaomba wana CHADEMA wanaojitambua na wenye akili Timamu kuhama haraka sana ndani ya CHADEMA na kuingia CCM kwa kishindo, maana kwa sasa CHADEMA inaendeshwa kihuni huni sana na kibabe kibabe tu. CHADEMA imejaza vijana wa hovyo hovyo na ambao akili zao zilishavurugika na kukosa muelekeo, imejaa vijana malimbukeni waliokosa adabu na malezi mazuri ya wazazi wao, imejaa vijana waliozibuka kiakili na kuwa utafikiri wanatumia vitu vinavyoharibu mfumo wao wa ubongo na fahamu.

CHADEMA nzima limebaki kama genge fulani tu hivi la watu walioshindikana na kulaaniwa na walimwengu. Wao wenyewe tu hawana umoja wala mshikamano wala kuheshimiana. Uchaguzi tu unawatoa roho? Vipi wangekuwa na madaraka? Si wangetoana roho na kuuwana? CHADEMA kumejaa watu waropokaji na wenye mihemuko hovyo hovyo, ni watu wa kukurupuka tu na kutapika maneno machafu machafu tu yaliyokosa staha na adabu.

Mchungaji Msingwa nakukaribisha sana ndani ya CCM, huko CHADEMA fahamu ya kuwa utakufa kwa presha tu maana watakuwa wanakutenga na kukunyanyapaa muda wote. Kumbuka huko umechanganyikana na ma vijana yaliyokosa adabu na malezi mazuri, utatukanwa na kushushiwa heshima yako.utaporomoshewa matusi mpaka unuke. Njoo CCM chama chenye upendo, umoja na mshikamano.chama kinachoheshimu mawazo ya kila mtu.

Kazi iendelee, mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hii nchi haiwezi kamwe kuendelea kama tuna vijana wa aina hii ambao ni taifa la Kesho.

wakati wa Chama kimoja pamoja na ukweli kwamba Nyerere aliwasomesha vijana na kuwapa Tiba bure na maji bure na shule ya msingi kila kijiji lakini bado vijana waliandamana kupinga baadhi ya mambo ikiwemo katiba inayowanyima uhuru wa kisiasa . Waliandamana kupinga uonevu na kunyimwa haki zao wakiwa vyuoni pamoja na ukweli kwamba walisomeshwa bure na uhakika wa ajira ulikuwepo .
Chaajabu leo Rais anakwemda kukopa mabilon ya Dola kwa nchi za kibepari eti kwa mashrti nafuu.
Hivi kuna Tajiri anaypoteza pesa zake kwa kumnufaisha mwingine ili awe tajiri kuliko yeye. Yaani MO achukue pesa zake awakopeshe wafanyakazi wake waanzishe makampuni yao sawa na yeye kwa masharti nafuu ya kuwanufaisha wao. Hii inaingia akilini kweli!! Kiajana kabisa anayetaka kuona nchi yake ikiwa imepiga hatua anakua na mtizamo na tafakuri fupi kiasi hicho na kuamini maneno ya kilaghai ya watawala. Ni lini tuliambiwa kuwa kuna wamekopa kwa masharti magumu. Miaka yote kila awamu hata ile ya Kikwete si tuliambiwa hivyo hivyo matokeo yake nchi ikajaa mafisadi wanaolindana na kujenga ubinafsi utadhani wamekuja kuishi milele duniani?

Yaani tukope mabilioni ya Dola tujenge bandari ya uvuvi bagamoyo kwa pesa walizotukopesha wao halafu waje wavue samaki wetu ,tugawane wao wakiwa wasimamizi wakuu kwa mgongo wa utaalam na baadae tulipe lile deni lililowamufaisha wao halafu eti ni masharti nafuu.

Ni mwizi tu anayekubaliana na masharti hayo.
 
Back
Top Bottom