Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #61
Uwaziri haugawiwi na kutolewa kama karanga.Kwahiyo sasa ameshakubali kupewa Uwaziri na pesa ???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwaziri haugawiwi na kutolewa kama karanga.Kwahiyo sasa ameshakubali kupewa Uwaziri na pesa ???
Hilo Baraza sijui lingekuwa na mawaziri wangapi 🤣🤣🤣 Ila ndo hivo marehemu hajitetei, wanamsingizia tuKila mtu CHADEMA anadai kuwa alitaka kupewa Uwaziri.
Kila mtu anasema alitaka kupewa Uwaziri.hadi heche naye alisema aliahidiwa uwaziri. Sugu naye alisema aliahidiwa sijuwi nini huko.Hilo Baraza sijui lingekuwa na mawaziri wangapi 🤣🤣🤣 Ila ndo hivo marehemu hajitetei, wanamsingizia tu
Kama alikataa uwaziri na pesa kwanini alikubali kujenga orofa karibu na alipojenga ASAS, JK na JPM hapo Iringa mjini?Katika muendelezo wa kutupa makombora, vijembe, hasira na kuonyesha namna CHADEMA ilivyojaa ubabaishaji na uhuni uhuni pamoja na kukosa viongozi wenye kuheshimika na kutoa muongozo.
Mchungaji Peter Msigwa aliyekuwa mbunge wa Iringa mjini na mwenyekiti wa kanda ya Nyasa na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA amesema ya kuwa, Hayati Magufuli alisemaga aende CCM na kwamba atampatia Ubunge, pesa pamoja na Uwaziri juu. Anasema alifuatwa hadi Segerea na wasaidizi wa Hayati Magufuli na kupewa simu ili azungumze na Rais lakini bado alikataa.
Anasema kwa sasa wapo ambao wakiitwa na Rais Wanakimbia mbiombio kwenda kwa Rais.lakini yeye alimkatalia Rais.amesema yeye akitaka kuondoka CHADEMA anaweza tu kuondoka bila kutafuta visingizio.anasema maana hakuna wa kumzuia.
Rai yangu ni kuwaomba wana CHADEMA wanaojitambua na wenye akili Timamu kuhama haraka sana ndani ya CHADEMA na kuingia CCM kwa kishindo, maana kwa sasa CHADEMA inaendeshwa kihuni huni sana na kibabe kibabe tu. CHADEMA imejaza vijana wa hovyo hovyo na ambao akili zao zilishavurugika na kukosa muelekeo, imejaa vijana malimbukeni waliokosa adabu na malezi mazuri ya wazazi wao, imejaa vijana waliozibuka kiakili na kuwa utafikiri wanatumia vitu vinavyoharibu mfumo wao wa ubongo na fahamu.
CHADEMA nzima limebaki kama genge fulani tu hivi la watu walioshindikana na kulaaniwa na walimwengu. Wao wenyewe tu hawana umoja wala mshikamano wala kuheshimiana. Uchaguzi tu unawatoa roho? Vipi wangekuwa na madaraka? Si wangetoana roho na kuuwana? CHADEMA kumejaa watu waropokaji na wenye mihemuko hovyo hovyo, ni watu wa kukurupuka tu na kutapika maneno machafu machafu tu yaliyokosa staha na adabu.
Mchungaji Msingwa nakukaribisha sana ndani ya CCM, huko CHADEMA fahamu ya kuwa utakufa kwa presha tu maana watakuwa wanakutenga na kukunyanyapaa muda wote. Kumbuka huko umechanganyikana na ma vijana yaliyokosa adabu na malezi mazuri, utatukanwa na kushushiwa heshima yako.utaporomoshewa matusi mpaka unuke. Njoo CCM chama chenye upendo, umoja na mshikamano.chama kinachoheshimu mawazo ya kila mtu.
Kazi iendelee, mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hakika, na wameshakiri hayo wakati wakiranda randa kwenye "Maandamano" yao nchi nzima.CHADEMA limekuwa genge la wasaka Tonge tu kwa ajili ya matumbo yao.
Wananchi wanachagua moja tu katika chaguzi zote zinazo.ambalo ni lazima kila mtanzania mzalendo mwenye akili Timamu ni lazima aipigie CCM kura ya ndio.maana CCM ndio bima ya mtanzania kwa kila kitu.Hakika, na wameshakiri hayo wakati wakiranda randa kwenye "Maandamano" yao nchi nzima.
Ushauri wangu tu kwa Watanzania wenzangu....
Chagua kwa Umakini 2025
KIDUUMU!
Hongereni, naona mama kamfuta machoziAtakuwa anajuta na kububujikwa na machozi.
CCM ndio tumaini la watanzaniaHongereni, naona mama kamfuta machozi
Sawa MkuuMwashambwa wananchi wengi wananitumia msg wakitaka nitoe ufafanuzi kuhusu Msigwa kuhamia CCM. Naona niko bize sana kwahiyo ukitoa ufafanuzi wewe ndo utatumika kama msimamo wa JF kuhusu hili sakata.
Kabisa lo
Hata hapa ulivyoanza kumsifia Msigwa nilijua tayari kuna tatizo.Katika muendelezo wa kutupa makombora, vijembe, hasira na kuonyesha namna CHADEMA ilivyojaa ubabaishaji na uhuni uhuni pamoja na kukosa viongozi wenye kuheshimika na kutoa muongozo.
Mchungaji Peter Msigwa aliyekuwa mbunge wa Iringa mjini na mwenyekiti wa kanda ya Nyasa na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA amesema ya kuwa, Hayati Magufuli alisemaga aende CCM na kwamba atampatia Ubunge, pesa pamoja na Uwaziri juu. Anasema alifuatwa hadi Segerea na wasaidizi wa Hayati Magufuli na kupewa simu ili azungumze na Rais lakini bado alikataa.
Anasema kwa sasa wapo ambao wakiitwa na Rais Wanakimbia mbiombio kwenda kwa Rais.lakini yeye alimkatalia Rais.amesema yeye akitaka kuondoka CHADEMA anaweza tu kuondoka bila kutafuta visingizio.anasema maana hakuna wa kumzuia.
Rai yangu ni kuwaomba wana CHADEMA wanaojitambua na wenye akili Timamu kuhama haraka sana ndani ya CHADEMA na kuingia CCM kwa kishindo, maana kwa sasa CHADEMA inaendeshwa kihuni huni sana na kibabe kibabe tu. CHADEMA imejaza vijana wa hovyo hovyo na ambao akili zao zilishavurugika na kukosa muelekeo, imejaa vijana malimbukeni waliokosa adabu na malezi mazuri ya wazazi wao, imejaa vijana waliozibuka kiakili na kuwa utafikiri wanatumia vitu vinavyoharibu mfumo wao wa ubongo na fahamu.
CHADEMA nzima limebaki kama genge fulani tu hivi la watu walioshindikana na kulaaniwa na walimwengu. Wao wenyewe tu hawana umoja wala mshikamano wala kuheshimiana. Uchaguzi tu unawatoa roho? Vipi wangekuwa na madaraka? Si wangetoana roho na kuuwana? CHADEMA kumejaa watu waropokaji na wenye mihemuko hovyo hovyo, ni watu wa kukurupuka tu na kutapika maneno machafu machafu tu yaliyokosa staha na adabu.
Mchungaji Msingwa nakukaribisha sana ndani ya CCM, huko CHADEMA fahamu ya kuwa utakufa kwa presha tu maana watakuwa wanakutenga na kukunyanyapaa muda wote. Kumbuka huko umechanganyikana na ma vijana yaliyokosa adabu na malezi mazuri, utatukanwa na kushushiwa heshima yako.utaporomoshewa matusi mpaka unuke. Njoo CCM chama chenye upendo, umoja na mshikamano.chama kinachoheshimu mawazo ya kila mtu.
Kazi iendelee, mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
===
Pia soma: Mch. Msigwa: Nikihamia CCM, wananchi chomeni moto nyumba na magari yangu