Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM ni mtetezi wa wanyonge,ni sauti kwa wasio na Sauti na nguvu kwa wasio na nguvu.Luca....habari yako.....leo wewe ni wa kumtetea Msigwa 😀 😀 😀 😀
Mnaigopa sana CDM huo ndio ukweli kuna chama kinaendeshwa kihuni kuliko sisiemu? Chama kisichoruhusu mawazo kinzani ndani,CDM kuna demokrasia ndio mana leo hii Mch Msigwa anaweza kuongea anayoongea ambayo kwa mwana sisiemu haiwezekani,mfano Job aliongea mawazo yake kuhusu nchi kuuzwa mkamshughulikia nanukiona mwana sisiemu anampongeza mwana CDM basi ujue kuna kitu hakiko sawa haiwezekani ukubali matokeo siku ya uchaguzi halafu baada ya siku kadhaa ukate rufaa how come,ni haki yake na alipaswa kukataa siku ile ile aliyompongeza Sugu
Hakuna marefu yasiyo na ncha.Tanzania bara bado sana upinzani, hat umone profesa lkn likija swala la hela huyo sio mwenzio. ndio maana kila siku wanahama vyama tofauti na upande wa pili wa shilingi
Naona moyo wako unaumia sana na kuweweseka sana kwa kupata mkopo huo mkubwa na wa masharti nafuu kabisa. Kiu na tamaa yako unatamani usikie habari za sisi kama Taifa kunyimwa mikopo na kusaidiwa pale tunapo hitaji msaada au mkopo. Wangapi wanakopa? Kwani umesikia kuwa huo mkopo tunapewa kama zawadi? Kwani hufahamu kuwa tutalipa taratibu taratibu kama ilivyo kawaida Duniani kwote? Japani wenyewe wanakopa na wana mikopo sembuse sisi? Nchi tu za Ulaya zimekopa sana tena sana katika kujenga uchumi wake na kuchochea maendeleo yake.Hii nchi haiwezi kamwe kuendelea kama tuna vijana wa aina hii ambao ni taifa la Kesho.
wakati wa Chama kimoja pamoja na ukweli kwamba Nyerere aliwasomesha vijana na kuwapa Tiba bure na maji bure na shule ya msingi kila kijiji lakini bado vijana waliandamana kupinga baadhi ya mambo ikiwemo katiba inayowanyima uhuru wa kisiasa . Waliandamana kupinga uonevu na kunyimwa haki zao wakiwa vyuoni pamoja na ukweli kwamba walisomeshwa bure na uhakika wa ajira ulikuwepo .
Chaajabu leo Rais anakwemda kukopa mabilon ya Dola kwa nchi za kibepari eti kwa mashrti nafuu.
Hivi kuna Tajiri anaypoteza pesa zake kwa kumnufaisha mwingine ili awe tajiri kuliko yeye. Yaani MO achukue pesa zake awakopeshe wafanyakazi wake waanzishe makampuni yao sawa na yeye kwa masharti nafuu ya kuwanufaisha wao. Hii inaingia akilini kweli!! Kiajana kabisa anayetaka kuona nchi yake ikiwa imepiga hatua anakua na mtizamo na tafakuri fupi kiasi hicho na kuamini maneno ya kilaghai ya watawala. Ni lini tuliambiwa kuwa kuna wamekopa kwa masharti magumu. Miaka yote kila awamu hata ile ya Kikwete si tuliambiwa hivyo hivyo matokeo yake nchi ikajaa mafisadi wanaolindana na kujenga ubinafsi utadhani wamekuja kuishi milele duniani?
Yaani tukope mabilioni ya Dola tujenge bandari ya uvuvi bagamoyo kwa pesa walizotukopesha wao halafu waje wavue samaki wetu ,tugawane wao wakiwa wasimamizi wakuu kwa mgongo wa utaalam na baadae tulipe lile deni lililowamufaisha wao halafu eti ni masharti nafuu.
Ni mwizi tu anayekubaliana na masharti hayo.
Japani wana rasilimali zipi ukilinganisha na sisi.Naona moyo wako unaumia sana na kuweweseka sana kwa kupata mkopo huo mkubwa na wa masharti nafuu kabisa. Kiu na tamaa yako unatamani usikie habari za sisi kama Taifa kunyimwa mikopo na kusaidiwa pale tunapo hitaji msaada au mkopo. Wangapi wanakopa? Kwani umesikia kuwa huo mkopo tunapewa kama zawadi? Kwani hufahamu kuwa tutalipa taratibu taratibu kama ilivyo kawaida Duniani kwote? Japani wenyewe wanakopa na wana mikopo sembuse sisi? Nchi tu za Ulaya zimekopa sana tena sana katika kujenga uchumi wake na kuchochea maendeleo yake.
Acheni roho za Kwanini na chuki za kijinga jinga tu.
Tunaomba mawazo yako mkuu ili CHADEMA kisife, wafanyeje? Maana kikifa hiki Chama nchi itabaki na Chama kimoja tu, CCM.Chama kinaendeshwa kihuni huni sana.ndio maana ni ngumu sana kuungwa mkono na wenye akili Timamu na wanaojitambua.
Luca....nakuita tena, nimesema wewe sio CCM 😀 😀CCM ni mtetezi wa wanyonge,ni sauti kwa wasio na Sauti na nguvu kwa wasio na nguvu.
Ni bora CHADEMA ife tu hata leo ili kike chama makini na kilicho siriasi ,kuliko CHADEMA hii ya usaka Tonge na uchumia tumbo.Tunaomba mawazo yako mkuu ili CHADEMA kisife, wafanyeje? Maana kikifa hiki Chama nchi itabaki na Chama kimoja tu, CCM.
mbona haka kajamaa kanahangaikaKatika muendelezo wa kutupa makombora, vijembe, hasira na kuonyesha namna CHADEMA ilivyojaa ubabaishaji na uhuni uhuni pamoja na kukosa viongozi wenye kuheshimika na kutoa muongozo.
Mchungaji Peter Msigwa aliyekuwa mbunge wa Iringa mjini na mwenyekiti wa kanda ya Nyasa na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA amesema ya kuwa, Hayati Magufuli alisemaga aende CCM na kwamba atampatia Ubunge, pesa pamoja na Uwaziri juu. Anasema alifuatwa hadi Segerea na wasaidizi wa Hayati Magufuli na kupewa simu ili azungumze na Rais lakini bado alikataa.
Anasema kwa sasa wapo ambao wakiitwa na Rais Wanakimbia mbiombio kwenda kwa Rais.lakini yeye alimkatalia Rais.amesema yeye akitaka kuondoka CHADEMA anaweza tu kuondoka bila kutafuta visingizio.anasema maana hakuna wa kumzuia.
Rai yangu ni kuwaomba wana CHADEMA wanaojitambua na wenye akili Timamu kuhama haraka sana ndani ya CHADEMA na kuingia CCM kwa kishindo, maana kwa sasa CHADEMA inaendeshwa kihuni huni sana na kibabe kibabe tu. CHADEMA imejaza vijana wa hovyo hovyo na ambao akili zao zilishavurugika na kukosa muelekeo, imejaa vijana malimbukeni waliokosa adabu na malezi mazuri ya wazazi wao, imejaa vijana waliozibuka kiakili na kuwa utafikiri wanatumia vitu vinavyoharibu mfumo wao wa ubongo na fahamu.
CHADEMA nzima limebaki kama genge fulani tu hivi la watu walioshindikana na kulaaniwa na walimwengu. Wao wenyewe tu hawana umoja wala mshikamano wala kuheshimiana. Uchaguzi tu unawatoa roho? Vipi wangekuwa na madaraka? Si wangetoana roho na kuuwana? CHADEMA kumejaa watu waropokaji na wenye mihemuko hovyo hovyo, ni watu wa kukurupuka tu na kutapika maneno machafu machafu tu yaliyokosa staha na adabu.
Mchungaji Msingwa nakukaribisha sana ndani ya CCM, huko CHADEMA fahamu ya kuwa utakufa kwa presha tu maana watakuwa wanakutenga na kukunyanyapaa muda wote. Kumbuka huko umechanganyikana na ma vijana yaliyokosa adabu na malezi mazuri, utatukanwa na kushushiwa heshima yako.utaporomoshewa matusi mpaka unuke. Njoo CCM chama chenye upendo, umoja na mshikamano.chama kinachoheshimu mawazo ya kila mtu.
Kazi iendelee, mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Katika muendelezo wa kutupa makombora, vijembe, hasira na kuonyesha namna CHADEMA ilivyojaa ubabaishaji na uhuni uhuni pamoja na kukosa viongozi wenye kuheshimika na kutoa muongozo.

Labda hakutaka kukaa jela.Mbona ela za kumtoa jela alichukua?
Angeziacha na zile ndio tungeamini
wewe una AKILI TIMAMU? ULISHAWAHI KUKUTANA NA MTU MWENYE AKILI TIMAMU LINI NA WAPI> MLIONGEA JUU YA MAMBO GANI. NITHIBITISHIE KAMA UNA AKILI TIMAMU HAPAChama kinaendeshwa kihuni huni sana.ndio maana ni ngumu sana kuungwa mkono na wenye akili Timamu na wanaojitambua.
Ungekuwa na akili timamu usinge andika kwa herufi kubwa.wewe una AKILI TIMAMU? ULISHAWAHI KUKUTANA NA MTU MWENYE AKILI TIMAMU LINI NA WAPI> MLIONGEA JUU YA MAMBO GANI. NITHIBITISHIE KAMA UNA AKILI TIMAMU HAPA
mm niliyeandika kwa herufi kubwa bila kuandika namba yangu ya simu na wewe uliyeandika kwa herufi ndogo kutwa kucha unaandika namba zako za simu ili upate uteuzi nani anayeweza kuwa hana akili TIMAMU?Ungekuwa na akili timamu usinge andika kwa herufi kubwa.
Namba ya simu ipo wapi hapo ewe mtanzania uliyejaa msongo wa mawazomm niliyeandika kwa herufi kubwa bila kuandika namba yangu ya simu na wewe uliyeandika kwa herufi ndogo kutwa kucha unaandika namba zako za simu ili upate uteuzi nani anayeweza kuwa hana akili TIMAMU?
Kwahiyo sasa ameshakubali kupewa Uwaziri na pesa ???Katika muendelezo wa kutupa makombora, vijembe, hasira na kuonyesha namna CHADEMA ilivyojaa ubabaishaji na uhuni uhuni pamoja na kukosa viongozi wenye kuheshimika na kutoa muongozo.
Mchungaji Peter Msigwa aliyekuwa mbunge wa Iringa mjini na mwenyekiti wa kanda ya Nyasa na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA amesema ya kuwa, Hayati Magufuli alisemaga aende CCM na kwamba atampatia Ubunge, pesa pamoja na Uwaziri juu. Anasema alifuatwa hadi Segerea na wasaidizi wa Hayati Magufuli na kupewa simu ili azungumze na Rais lakini bado alikataa.
Anasema kwa sasa wapo ambao wakiitwa na Rais Wanakimbia mbiombio kwenda kwa Rais.lakini yeye alimkatalia Rais.amesema yeye akitaka kuondoka CHADEMA anaweza tu kuondoka bila kutafuta visingizio.anasema maana hakuna wa kumzuia.
Rai yangu ni kuwaomba wana CHADEMA wanaojitambua na wenye akili Timamu kuhama haraka sana ndani ya CHADEMA na kuingia CCM kwa kishindo, maana kwa sasa CHADEMA inaendeshwa kihuni huni sana na kibabe kibabe tu. CHADEMA imejaza vijana wa hovyo hovyo na ambao akili zao zilishavurugika na kukosa muelekeo, imejaa vijana malimbukeni waliokosa adabu na malezi mazuri ya wazazi wao, imejaa vijana waliozibuka kiakili na kuwa utafikiri wanatumia vitu vinavyoharibu mfumo wao wa ubongo na fahamu.
CHADEMA nzima limebaki kama genge fulani tu hivi la watu walioshindikana na kulaaniwa na walimwengu. Wao wenyewe tu hawana umoja wala mshikamano wala kuheshimiana. Uchaguzi tu unawatoa roho? Vipi wangekuwa na madaraka? Si wangetoana roho na kuuwana? CHADEMA kumejaa watu waropokaji na wenye mihemuko hovyo hovyo, ni watu wa kukurupuka tu na kutapika maneno machafu machafu tu yaliyokosa staha na adabu.
Mchungaji Msingwa nakukaribisha sana ndani ya CCM, huko CHADEMA fahamu ya kuwa utakufa kwa presha tu maana watakuwa wanakutenga na kukunyanyapaa muda wote. Kumbuka huko umechanganyikana na ma vijana yaliyokosa adabu na malezi mazuri, utatukanwa na kushushiwa heshima yako.utaporomoshewa matusi mpaka unuke. Njoo CCM chama chenye upendo, umoja na mshikamano.chama kinachoheshimu mawazo ya kila mtu.
Kazi iendelee, mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Atakuwa anajuta na kububujikwa na machozi.Msigwa hana akili za kibiashara kama Mbowe. Alikataa fursa adimu na sasa hivi anaenda kufukuzwa kama mbwa na mmiliki wa CHADEMA. Bora angejiondoa mapema kuliko kusubiri hii aibu. Kwa sasa ni kama condom iliyotumika. Atakuwa anajuta sana