Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Hayati Magufuli alitaka kunipa uwaziri na pesa lakini nilikataa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hilo Baraza sijui lingekuwa na mawaziri wangapi 🤣🤣🤣 Ila ndo hivo marehemu hajitetei, wanamsingizia tu
Kila mtu anasema alitaka kupewa Uwaziri.hadi heche naye alisema aliahidiwa uwaziri. Sugu naye alisema aliahidiwa sijuwi nini huko.
 
Kama alikataa uwaziri na pesa kwanini alikubali kujenga orofa karibu na alipojenga ASAS, JK na JPM hapo Iringa mjini?

Alilipiwa milioni 76 na JPM ili kutoka gerezani, akasimama hadharani kisiasa kudai alikataa kulipiwa wakati wala hakutoa uthibitisho wa kuzirudisha pesa zilizolipwa mahakamani!!!!

Msigwa is a chronic deceptive liar and is time receded to be furthermore politically trusted to contest for any administrative post at the constituency, zonal, and country levels. Let him practice priesthood if at all he is sanctified to proclaim the word of God.

He has been misled by Tundu Antipas Lissu-Atheist (VC for the opposition party) as within CDM, two long-standing swelling bowls may burst at any time to expose the questionable integrity among the bigwigs.
 
CHADEMA limekuwa genge la wasaka Tonge tu kwa ajili ya matumbo yao.
Hakika, na wameshakiri hayo wakati wakiranda randa kwenye "Maandamano" yao nchi nzima.


Ushauri wangu tu kwa Watanzania wenzangu....

Chagua kwa Umakini 2025

KIDUUMU!
 
Hakika, na wameshakiri hayo wakati wakiranda randa kwenye "Maandamano" yao nchi nzima.


Ushauri wangu tu kwa Watanzania wenzangu....

Chagua kwa Umakini 2025

KIDUUMU!
Wananchi wanachagua moja tu katika chaguzi zote zinazo.ambalo ni lazima kila mtanzania mzalendo mwenye akili Timamu ni lazima aipigie CCM kura ya ndio.maana CCM ndio bima ya mtanzania kwa kila kitu.
 
Mwashambwa wananchi wengi wananitumia msg wakitaka nitoe ufafanuzi kuhusu Msigwa kuhamia CCM. Naona niko bize sana kwahiyo ukitoa ufafanuzi wewe ndo utatumika kama msimamo wa JF kuhusu hili sakata.
 
Kuna mtu wakati Msigwa anatoa haya maneno aliandika kwamba,"HAYA NI MANENO YAKUJIBRAND ILI DAU LIPANDE LAKUHAMIA CCM"
 
Hata hapa ulivyoanza kumsifia Msigwa nilijua tayari kuna tatizo.

Unavyomsifia Mbowe hapa saa hizi ukifikiri wote ni wajinga jua fika tunafahamu agenda zenu Mbowe atafanyiwa kile alichofanyiwa Moi June 2002.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…