Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Maranja anaishi kwa kutegemea kuzururazurura kwenye korido za CHADEMA na kulamba viatu vya Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Msigwa akamatie hapo hapo mpk Mbowe abadilike
Kama kashindwa Dk Slaa na Mashindi, Summaye akaweze msigwa? kesho utamuona anatembea tembea katika media, mara Ayo Tv, Mara CLOUD anamsema Mbowe akisha kuchoka anarudi kanisani na kuuza mitumba
 
Oops

Msigwa kwa Vijembe.

Wale mabilionea wa Erythrocute washaiteka CHADEMA. LohπŸ˜…πŸ™ŒπŸΎ
 
Yule maranja sijui anajikuta nani pale chadema!
 
πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“ Wanatetea ugali wa watoto wao kama afanyavyo Mwaashambwa na atakupongeza kwa kumsogezea mic.
 
Bahati nzuri wanaoumia ni FC lumumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…