Kama kashindwa Dk Slaa na Mashindi, Summaye akaweze msigwa? kesho utamuona anatembea tembea katika media, mara Ayo Tv, Mara CLOUD anamsema Mbowe akisha kuchoka anarudi kanisani na kuuza mitumbaMsigwa akamatie hapo hapo mpk Mbowe abadilike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kashindwa Dk Slaa na Mashindi, Summaye akaweze msigwa? kesho utamuona anatembea tembea katika media, mara Ayo Tv, Mara CLOUD anamsema Mbowe akisha kuchoka anarudi kanisani na kuuza mitumbaMsigwa akamatie hapo hapo mpk Mbowe abadilike
OopsNi mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe M Maranja
Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi Chadema ilivyosheheni wahuni
Chonde chonde Katibu mkuu Mnyika hebu ingilia Kati nidhamu na kuheshimiwa a kurejee ndani ya chama
Ni wazi kuna ugomvi mkubwa sana Kati ya Mchungaji Msigwa na Mwenyekiti Mbowe
Mchungaji Msigwa asikilizwe kabla hajaanza kutoa Siri za michango ya Nairobi hospital
Mungu wa mbinguni inusuru TLP or sorry Chadema!
Kwako Lucas 😂🔥
Yule maranja sijui anajikuta nani pale chadema!Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe M Maranja
Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi Chadema ilivyosheheni wahuni
Chonde chonde Katibu mkuu Mnyika hebu ingilia Kati nidhamu na kuheshimiwa a kurejee ndani ya chama
Ni wazi kuna ugomvi mkubwa sana Kati ya Mchungaji Msigwa na Mwenyekiti Mbowe
Mchungaji Msigwa asikilizwe kabla hajaanza kutoa Siri za michango ya Nairobi hospital
Mungu wa mbinguni inusuru TLP or sorry Chadema!
Kwako Lucas 😂🔥
😂😂😀lissu aondoke kwa sababu ya Mbowe. basi Lissu atakuwa hana akili kabisa,
Alishushiwa kitu kizito na Fatma Karume 😀😀Yule maranja sijui anajikuta nani pale chadema!
Yule dogo anamuda mfupi sanaYule maranja sijui anajikuta nani pale chadema!
Aliambiwa je?Alishushiwa kitu kizito na Fatma Karume 😀😀
Nakumbuka hata maria sarungi ila mimi kanipiga tofari simuoni!Alishushiwa kitu kizito na Fatma Karume 😀😀
acha kutisha watu. wewe unajua utaondoka lini?Yule dogo anamuda mfupi sana
Alifananishwa na Kiatu cha Suphiani Juma wa SingidaAliambiwa je?
Kwa hali ilivyo ndani ya chadema kuna lolote linaweza kutokea.lissu aondoke kwa sababu ya Mbowe. basi Lissu atakuwa hana akili kabisa,
kama binaadam mengi yataokea kama yatavyotokea katika vyama vyengine, tofauti kwamba CCM yakitokea inakuwa rahisi kudhibitiwa mtu kwa sababu wana mikono mirefu sana wenye kukamata na mingi hasaKwa hali ilivyo ndani ya chadema kuna lolote linaweza kutokea.
Mwenyekiti na Makamu wake, wote wanataka kuwa Raisi.Kwa hali ilivyo ndani ya chadema kuna lolote linaweza kutokea.
Urais upi? wa TFF?Mwenyekiti na Makamu wake, wote wanataka kuwa Raisi.
Vyovyote vile, walumbane, ni hulka zao.
🤓🤓🤓🤓🤓 Wanatetea ugali wa watoto wao kama afanyavyo Mwaashambwa na atakupongeza kwa kumsogezea mic.Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe M Maranja
Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi Chadema ilivyosheheni wahuni
Chonde chonde Katibu mkuu Mnyika hebu ingilia Kati nidhamu na kuheshimiwa a kurejee ndani ya chama
Ni wazi kuna ugomvi mkubwa sana Kati ya Mchungaji Msigwa na Mwenyekiti Mbowe
Mchungaji Msigwa asikilizwe kabla hajaanza kutoa Siri za michango ya Nairobi hospital
Mungu wa mbinguni inusuru TLP or sorry Chadema!
Kwako Lucas 😂🔥
👌🏾😂😂😂😂😂Urais upi? wa TFF?
Yego, waikaki masologo mwanawasu
Mbowe hawezi kuwa Rais kwa sababu ana kiporo cha KESI ya Ugaidi kwa DPPMwenyekiti na Makamu wake, wote wanataka kuwa Raisi.
Vyovyote vile, walumbane, ni hulka zao.
Bahati nzuri wanaoumia ni FC lumumbaNi mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe M Maranja
Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi Chadema ilivyosheheni wahuni
Chonde chonde Katibu mkuu Mnyika hebu ingilia Kati nidhamu na kuheshimiwa a kurejee ndani ya chama
Ni wazi kuna ugomvi mkubwa sana Kati ya Mchungaji Msigwa na Mwenyekiti Mbowe
Mchungaji Msigwa asikilizwe kabla hajaanza kutoa Siri za michango ya Nairobi hospital
Mungu wa mbinguni inusuru TLP or sorry Chadema!
Kwako Lucas 😂🔥
Mafisiemu wanaangaika sana na Chadema kuliko hata Chadema wenyewe.Ndio maana wanaitwa nyumbu ,kila ndugu yake mbowe kwenye hiki chama ni msemaji ,kuanzia Mrema,James Mbowe,na yule chizi Lema