Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Maranja anaishi kwa kutegemea kuzururazurura kwenye korido za CHADEMA na kulamba viatu vya Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Msigwa yupo sahihi hapa, Mbowe anakosea kujiweka karibu na Maranja mtu ambae wakati mwingine kule X huwa ana lugha chafu sana, anayeona sifa kuropoka matusi bila wasiwasi.

Huyu Maranja kwa sasa ni kama amejigeuza msemaji wa Chadema kimya kimya, yeye ndie yupo mbele kuzungumzia mambo yanayohusu chama ajabu viongozi wengine wanamtazama tu.

Huyu kiumbe anaharibu taswira na haiba ya chama, hata kama huwa ana "madini" lakini kama hajui kutenganisha madini yake na matusi hana maana, amegeuka chawa wa baadhi ya viongozi wa Chadema anapewa vocha then anaanza kuropoka hovyo bila breki.
 
Mbowe hawezi kuwa Rais kwa sababu ana kiporo cha KESI ya Ugaidi kwa DPP
Si ndio maana Laigwanaan Lissu hataki Maridhiano ya nyuma ya pazia?? Kwa sababu mule Abubakar anataka asamehewe kabisa?? Na akisamehewa basi Lissu kwishney. Bai bai Magogoni.
iu

Abubakar Akitesti mitambo.
 
Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe Martin Maranja.

Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi CHADEMA ilivyosheheni wahuni.

Chonde chonde Katibu mkuu Mnyika hebu ingilia kati nidhamu na kuheshimiwa a kurejee ndani ya chama

Ni wazi kuna ugomvi mkubwa sana Kati ya Mchungaji Msigwa na Mwenyekiti Mbowe.

Mchungaji Msigwa asikilizwe kabla hajaanza kutoa siri za michango ya Nairobi hospital.

Mungu wa mbinguni inusuru CHADEMA.

Kwako Lucas 😂🔥
Mbona ameikanusha kuwa siyo yeye?

All in all, Msigwa atapotea kama Slaa. Labda aje CCM na kweli atapata cheo lakini Chadema yangu haitaumia hata kidogo!
 
Msigwa yupo sahihi hapa, Mbowe anakosea kujiweka karibu na Maranja mtu ambae wakati mwingine kule X huwa ana lugha chafu sana, anayeona sifa kuropoka matusi bila wasiwasi.

Huyu Maranja kwa sasa ni kama amejigeuza msemaji wa Chadema kimya kimya, yeye ndie yupo mbele kuzungumzia mambo yanayohusu chama ajabu viongozi wengine wanamtazama tu.

Huyu kiumbe anaharibu taswira na haiba ya chama, hata kama huwa ana "madini" lakini kama hajui kutenganisha madini yake na matusi hana maana, amegeuka chawa wa baadhi ya viongozi wa Chadema anapewa vocha then anaanza kuropoka hovyo bila breki.
Sema yote Maranja IQ yake ni kubwa sana! Yuko vizuri upstairs!
 
Nakubaliana na Msigwa, Mbowe anataka kuwa Ayatollah wa CDM. Huwezi kuwa na autocracy kwenye chama kinachojinasibu kuwa na democracy kwa miaka yote hiyo na wenye akili wakawa wanakuchekea tu.

Mbowe should step down as a chairman ili kuonyesha kuna demokrasia ndani ya chama. Yeye sio Mungu kwamba his absence will affect his party.
 
Msigwa amekuwa haelewani na Mzee Mbowe kwa kuwa tu anataka mabadiliko na haswa taasisi kuendeshwa kwa minajili ya ukabila. Tunashauri Msigwa asiondoke chadema hadi kieleweka aisee.
1. Kama alifukuzwa Slaa, huyu ni mtu mdogo sana. Msigwa nilikuwa namwamini sana kumbe vijitu vifupi ni mavi matupu.

2. Atapewa ubunge na Covid 19

3. Clip hii ameisambaza maranja, hivyo si ajabu kuikuta hapa. Haina impact yoyote kwa chadema.

4. Mwisho Maranja ni mtu na nusu. IQ yake ni kubwa , any normal reasoning person ataiona hiyo aiba from his publications!

5. Nadhani ulipoipata clip hii uliona umeleta bonge la habari wakati kule tweeter Maranja aliipost muda mrefu tu!
 
Mmh! Moja ya madhaifu makubwa ya chadema ni vijana wa chadema kutoheshimu maoni, maamuzi na mitazamo binafsi ya watu.

Kila anayehoji ama kulalamika hushambuliwa kwa matusi. Huu ni uzwazwa unaokiagusha na kukiviza chama
Ni kweli kabisa
 
Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe Martin Maranja.

Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi CHADEMA ilivyosheheni wahuni.

Chonde chonde Katibu mkuu Mnyika hebu ingilia kati nidhamu na kuheshimiwa a kurejee ndani ya chama

Ni wazi kuna ugomvi mkubwa sana Kati ya Mchungaji Msigwa na Mwenyekiti Mbowe.

Mchungaji Msigwa asikilizwe kabla hajaanza kutoa siri za michango ya Nairobi hospital.

Mungu wa mbinguni inusuru CHADEMA.

Kwako Lucas 😂🔥
Jahazi linazama

1. Mwenyekiti katoweka hajulikani alipo anaonekana kwenye makongamano tuu
2. Makamu Mwenyekiti anafanya mikutano peke yake sio kitaasisi huku akiendelea kupitisha bakuli la kununua shangingi
3. Katibu Mkuu Mnyika nae kafunga ndoa ya uzeeni sijui bado yupo hanimuni
4. Lema kakimbia pambano mapema
5. Heche nae kabaki kulialia x (twita)
 
Msigwa yupo sahihi hapa, Mbowe anakosea kujiweka karibu na Maranja mtu ambae wakati mwingine kule X huwa ana lugha chafu sana, anayeona sifa kuropoka matusi bila wasiwasi.

Huyu Maranja kwa sasa ni kama amejigeuza msemaji wa Chadema kimya kimya, yeye ndie yupo mbele kuzungumzia mambo yanayohusu chama ajabu viongozi wengine wanamtazama tu.

Huyu kiumbe anaharibu taswira na haiba ya chama, hata kama huwa ana "madini" lakini kama hajui kutenganisha madini yake na matusi hana maana, amegeuka chawa wa baadhi ya viongozi wa Chadema anapewa vocha then anaanza kuropoka hovyo bila breki.
MMM ni FAILURE kimaisha na hana karama ya kiuongozi. Alichojaaliwa ni kipaji cha kuporomosha matusi tu. Kuna mstari mwembamba kati ya MMM na yule dada wa USA anayeitwa Mange Kimambi.

Ukiwa na akili nzuri huwezi kunuweka MMM karibu na mambo yako. Ni MCHAFU
 
Nakubaliana na Msigwa, Mbowe anataka kuwa Ayatollah wa CDM. Huwezi kuwa na autocracy kwenye chama kinachojinasibu kuwa na democracy kwa miaka yote hiyo na wenye akili wakawa wanakuchekea tu.

Mbowe should step down as a chairman ili kuonyesha kuna demokrasia ndani ya chama. Yeye sio Mungu kwamba his absence will affect his party.
Mbowe anakuumiza sana akiwa madarakani? Kama siyo chama chako tuliza mkia chini
 
We mnyalu mswiga umetoka ulipotoka huko na mbowe kakupa platform ya kujulikana Leo unataka kumvimbia?we unadhani Mchaga FALA?Tukiwaambia Hiko ni chama Chao Wachaga mnakuwa vichwa box kuelewa,MNAKUJA kuelewa when it's too late now.
Chama cha Familia
 
Hata mfanyeje Msigwa haondoki chadema kwa kuwa tu amekuwa mkweli dhidi ya Mzee Mbowe.Hiki chama ni cha Watanzania wote.
UNA AKILI TIMAMU? KWANINI UNAISHI KWA KUZUSHA? INAKUSAIDIA NN HII
 
Back
Top Bottom