johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #61
Adui muombee njaaMafisiemu wanaangaika sana na Chadema kuliko hata Chadema wenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Adui muombee njaaMafisiemu wanaangaika sana na Chadema kuliko hata Chadema wenyewe.
Si ndio maana Laigwanaan Lissu hataki Maridhiano ya nyuma ya pazia?? Kwa sababu mule Abubakar anataka asamehewe kabisa?? Na akisamehewa basi Lissu kwishney. Bai bai Magogoni.Mbowe hawezi kuwa Rais kwa sababu ana kiporo cha KESI ya Ugaidi kwa DPP
CCM imejaa vijana panyaroadCHADEMA imejaa vijana wa hovyo sana .
Mbona ameikanusha kuwa siyo yeye?
Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe Martin Maranja.
Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi CHADEMA ilivyosheheni wahuni.
Chonde chonde Katibu mkuu Mnyika hebu ingilia kati nidhamu na kuheshimiwa a kurejee ndani ya chama
Ni wazi kuna ugomvi mkubwa sana Kati ya Mchungaji Msigwa na Mwenyekiti Mbowe.
Mchungaji Msigwa asikilizwe kabla hajaanza kutoa siri za michango ya Nairobi hospital.
Mungu wa mbinguni inusuru CHADEMA.
Kwako Lucas 😂🔥
Sema yote Maranja IQ yake ni kubwa sana! Yuko vizuri upstairs!Msigwa yupo sahihi hapa, Mbowe anakosea kujiweka karibu na Maranja mtu ambae wakati mwingine kule X huwa ana lugha chafu sana, anayeona sifa kuropoka matusi bila wasiwasi.
Huyu Maranja kwa sasa ni kama amejigeuza msemaji wa Chadema kimya kimya, yeye ndie yupo mbele kuzungumzia mambo yanayohusu chama ajabu viongozi wengine wanamtazama tu.
Huyu kiumbe anaharibu taswira na haiba ya chama, hata kama huwa ana "madini" lakini kama hajui kutenganisha madini yake na matusi hana maana, amegeuka chawa wa baadhi ya viongozi wa Chadema anapewa vocha then anaanza kuropoka hovyo bila breki.
1. Kama alifukuzwa Slaa, huyu ni mtu mdogo sana. Msigwa nilikuwa namwamini sana kumbe vijitu vifupi ni mavi matupu.Msigwa amekuwa haelewani na Mzee Mbowe kwa kuwa tu anataka mabadiliko na haswa taasisi kuendeshwa kwa minajili ya ukabila. Tunashauri Msigwa asiondoke chadema hadi kieleweka aisee.
Ni kweli kabisaMmh! Moja ya madhaifu makubwa ya chadema ni vijana wa chadema kutoheshimu maoni, maamuzi na mitazamo binafsi ya watu.
Kila anayehoji ama kulalamika hushambuliwa kwa matusi. Huu ni uzwazwa unaokiagusha na kukiviza chama
Kama ulivyo wewe hapa JFMsigwa asubiri bomba la maji machafu liteme. Sifa ya MMM ni matusi ya nguoni.
MMM kwenye page yake ya Twitter ukimjibu kama anavyokujibu au ukimzidi point anaku-block
Jahazi linazama
Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe Martin Maranja.
Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi CHADEMA ilivyosheheni wahuni.
Chonde chonde Katibu mkuu Mnyika hebu ingilia kati nidhamu na kuheshimiwa a kurejee ndani ya chama
Ni wazi kuna ugomvi mkubwa sana Kati ya Mchungaji Msigwa na Mwenyekiti Mbowe.
Mchungaji Msigwa asikilizwe kabla hajaanza kutoa siri za michango ya Nairobi hospital.
Mungu wa mbinguni inusuru CHADEMA.
Kwako Lucas 😂🔥
MMM ni FAILURE kimaisha na hana karama ya kiuongozi. Alichojaaliwa ni kipaji cha kuporomosha matusi tu. Kuna mstari mwembamba kati ya MMM na yule dada wa USA anayeitwa Mange Kimambi.Msigwa yupo sahihi hapa, Mbowe anakosea kujiweka karibu na Maranja mtu ambae wakati mwingine kule X huwa ana lugha chafu sana, anayeona sifa kuropoka matusi bila wasiwasi.
Huyu Maranja kwa sasa ni kama amejigeuza msemaji wa Chadema kimya kimya, yeye ndie yupo mbele kuzungumzia mambo yanayohusu chama ajabu viongozi wengine wanamtazama tu.
Huyu kiumbe anaharibu taswira na haiba ya chama, hata kama huwa ana "madini" lakini kama hajui kutenganisha madini yake na matusi hana maana, amegeuka chawa wa baadhi ya viongozi wa Chadema anapewa vocha then anaanza kuropoka hovyo bila breki.
Mimi namchinja ng'ombe kwa namna alivyolala.Kama ulivyo wewe hapa JF
Mbowe anakuumiza sana akiwa madarakani? Kama siyo chama chako tuliza mkia chiniNakubaliana na Msigwa, Mbowe anataka kuwa Ayatollah wa CDM. Huwezi kuwa na autocracy kwenye chama kinachojinasibu kuwa na democracy kwa miaka yote hiyo na wenye akili wakawa wanakuchekea tu.
Mbowe should step down as a chairman ili kuonyesha kuna demokrasia ndani ya chama. Yeye sio Mungu kwamba his absence will affect his party.
Chama cha FamiliaWe mnyalu mswiga umetoka ulipotoka huko na mbowe kakupa platform ya kujulikana Leo unataka kumvimbia?we unadhani Mchaga FALA?Tukiwaambia Hiko ni chama Chao Wachaga mnakuwa vichwa box kuelewa,MNAKUJA kuelewa when it's too late now.
UNA AKILI TIMAMU? KWANINI UNAISHI KWA KUZUSHA? INAKUSAIDIA NN HIIHata mfanyeje Msigwa haondoki chadema kwa kuwa tu amekuwa mkweli dhidi ya Mzee Mbowe.Hiki chama ni cha Watanzania wote.
Chako wewe una warrant nacho? Kile ni chama cha siasa lazima wananchi wahoji mkuu.Mbowe anakuumiza sana akiwa madarakani? Kama siyo chama chako tuliza mkia chini