Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Mliodhani nahama CHADEMA Mnajidanganya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hakuna ushahidi wowote kuthibitisha hilo, kama unao tuwekee humu, tena Mbowe ndiye alipambana sana kuhakikisha Msigwa anakuwa Mwenyekiti wa Kanda kwa kumshawishi Ole Sosopi ajitoe kumpisha Kaka yake
Hayo ni ya zamani, tugange ya sasa. CHADEMA ya sasa, adui mkuu ni Mbowe.
Mwenyekiti anao uzito mkubwa sana ndani ya chama. Hawezi kuacha chama kinakuwa na sintofahamu ya aina hii iliyopo sasa asisimame na kuonyesha njia.

Mwenyekiti kajifunza mbinu toka kwenye "maridhiano"; sasa anatumia mbinu hizo hizo akidhani zitafua dau ndani ya CHADEMA.
Kunyamaza na kujifanya haoni kitu kinachotokea, akitarajia mambo yatajinyoosha yenyewe, huo siyo uongozi.
Tena mbaya zaidi anahusisha yeye mwenyewe, halafu kakaa kama hayupo?
Unataka chama kifikie ngazi gani ya kusambaratika ndipo ujue kwamba mwenyekiti kakengeuka!

Mbinu hii ya kukiwasilisha chama kwa Samia haitafanikiwa. Bado nasita sana kuamini kwamba Mbowe anaendeshwa na tamaa ya pesa juu ya jambo hili. Nasita sana kuliamini hili.
 
Mkuu Mbowe hahusiki na lolote kwenye hizo Kanda, Sijui kwanini mnamsingizia, Hakuna ushahidi wa yeye kuhujumu Msigwa na wengine na wala hana sababu ya kufanya hivyo.

Na katika nyinyi mnaomshutumu hakuna anayeweza kuthibitisha, sana wewe utaleta picha akiwa na Samia baaaasiii

Hata wale wanaoshutumu Mbowe kwa ujio wa Lowassa ukiwamo wewe na Tindo labda mmesahau ama hamjui, Lowassa aliletwa Chadema na Dr Slaa akishirikiana na Josephat Gwajima, Mbowe alielezwa tu, Kumbuka kwamba Chadema siyo chama ambacho mtu mmoja anaweza kutoa maamuzi, ni Kamati Kuu ndio inaamua, Msigwa alikuwa Mjumbe wa kamati kuu

Wengi wanaompinga Mbowe huwa hawana hoja za mashiko zaidi ya kutunga tunga tu uzushi ambao hauna uthibitisho wowote
 
I
Yes, hata mimi nilikuwa na dhana hiyo.

Why? Hii ni fragile moment, siyo muda wa kuleta utengano kwa watu mnaotazamia kupambana na CCM/serikali ya CCM kutwaa dola/kupata wabunge wengi and the like
La umeielewa kauli yake "Wale wanaotaka kunyofoa wenzao watanyofolewa wao" kauli hii inamaanisha ndani ya chama utulivu si wakutosha
 
Tayari unao upande hatuwezi kupata muafaka, Msigwa anajua pa kupeleka Malalamiko lakini kaamua kutumia kwanza njia hiyo , anayepelekewa malalamiko ni Katibu Mkuu wa Chama
 
Msigwa kamstahi sana mwenyekiti wake, ila anajua vema hila anazofanyiwa zimetoka wapi.
 
Mbowe hawezi kuwa kirusi na bado namuunga mkono,lakini kwa chama kinachojinasibisha na demokrasia,ni aibu mwenyekiti kupitiliza miaka kumi.Na baada ya Mbowe kutoka ukomo wa kukaa madarakani urudishwe kwenye katiba,hatuwezi kufanya mambo ambayo tunayakataa kwa CCM.
Msigwa aende salama,lakini Mbowe inatosha sasa hiki siyo chama cha ukoo.
 
Hamalizi hata mwezi,Kauli zake siyo za mtu anayejali chama tena.
Mbowe nae inatoshq,mwezi wa tisa apumzike.
Anaeweza kusema kuwa mbowe kachoka ni mkewe tu sasa wewe unaesema mbowe apumzike utatuambia wewe ni nani kwa mbowe
 
Mwanasiasa akikwambia sasa hivi ni usiku na giza limeingia na umo ndani, toka nje ujiridhishe!
Alipoulizwa swalikuwa wakikataa rufaa yake atachukua hatua gani? Alisema: Tutapofika mtoni ndio tutajenga daraja. Jibu hilo kwangu ni tosha kufahamu kitachofuata. Nanyi tieni irabu huo usemi.
 
Tatizo sio Mowe bali ni asili ya chama chenyewe ndio tatizo. CHADEMA bado hakijakuwa ni chama cha kitaifa, bado kimezingirwa na ukabila. Kama wewe si mtu wa kabila lile na bila ya kuwapigia magoti viongozi wa kabila hilo, sahau kupata uongozi.

Walidhani Msigwa mtu wa namna hiyo, walibugi step, sasa wanajaribu kurekebisha mambo. Imekula kwao!
 
Yes, hata mimi nilikuwa na dhana hiyo.

Why? Hii ni fragile moment, siyo muda wa kuleta utengano kwa watu mnaotazamia kupambana na CCM/serikali ya CCM kutwaa dola/kupata wabunge wengi and the like
Yaani amekuwa mwenyekit wa Kanda kwa miaka zaidi ya kumi ,hajatosheka bado, kweli vyeo vinapendwa. Kama ni kiongozi kweli si akae pembeni miaka mitano ili watu tuone kama tutamiss uongozi wake.
 
βœοΈπŸ“πŸ‘πŸ‘ŒπŸ‘ŠπŸ‘πŸ€πŸ™πŸ›‘οΈ
 
EEEeeenHEEEeeee!

Najuwa mkuu 'Tindo'. Nitasahau vipi nadharia yako hiyo!

Sasa tusonge mbele,kazi ni kubwa sana kuwaondoa CCM wanaotumia fedha za waarabu kutuchanganya akili.
🀣 🀣 🀣
 
Kamstahi kwenye nini? hivi hili sakata mnalijua kweli?
Ameishia kusema malalamiko yake aliyapeleka kwa katibu mkuu lakini hayajafanyiwa kazi. Unafikiri hafahamu kuwa kutofanyiwa kazi huko kuna baraka za mwenyekiti? Unafikiri hafahamu kuwa hujuma za John Mrema zina baraka ya mwenyekiti?

Kacheza vema. Hataki kumuattack mwenyekiti.
 
Na kabla ya Namba Moja hapo juu, alisema yeye HAWEZI kuhama CCM, bali ambaye hampendi ndio aondoke CCM! Ahahahahaha! !!!
 
Hapa tuko pamoja πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…