Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Mliodhani nahama CHADEMA Mnajidanganya

Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Mliodhani nahama CHADEMA Mnajidanganya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwanasiasa akikwambia sasa hivi ni usiku na giza limeingia na umo ndani, toka nje ujiridhishe!
Naunga mkono hoja.
=
Huyu hapa.
Hamalizi hata mwezi,Kauli zake siyo za mtu anayejali chama tena.
1719810896429.png

 
Ujumbe wake huu hapa
---
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Kanda ya Nyasa ambaye pia ni Mbunge wa zamani wa Jimbo la Iringa Mjini mchungaji Peter Msingwa amesema hana mpango wa kukihama Chama cha CHADEMA baada ya kutoshinda uchaguzi wa Kanda ya Nyasa.

Msigwa ameyasema haya kutokana na baadhi ya Watu kuamini kuwa kuitisha kwake mkutano na Wanahabari wa Iringa leo kulikua na nia ya kutangaza kukihama Chama hicho.

ā€œNajua Wabaya wangu wengi leo walikuwa wanajua nahama, mimi siondoki niko CHADEMA mliokuwa mnafikiri na bado nipo ,sihami Chadema tunapambana humuhumu yule anayetaka kunyofoa Watu atanyofolewa mwenyewe na hatutoogopa Mtuā€

PIA SOMA
Pimbi alikuwa a ajidanganya mwenyewe. Sikuzote masikini hana kiapo,kaonyeshwa nusu bilioni mwenyewe kalegea
 
Back
Top Bottom