Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Mliodhani nahama CHADEMA Mnajidanganya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tatizo sio Mowe bali ni asili ya chama chenyewe ndio tatizo. CHADEMA bado hakijakuwa ni chama cha kitaifa, bado kimezingirwa na ukabila. Kama wewe si mtu wa kabila lile na bila ya kuwapigia magoti viongozi wa kabila hilo, sahau kupata uongozi.

Walidhani Msigwa mtu wa namna hiyo, walibugi step, sasa wanajaribu kurekebisha mambo. Imekula kwao!
Unaongea upumbavu,chama kinawatesa nyie wabaguzi nchi nzima then unasema ni cha kikabila,kwa hiyo aliyechaguliwa kanda ya nyasa ni mchaga?
Acha upumbavu.
 
Ujumbe wake huu hapa
---
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Kanda ya Nyasa ambaye pia ni Mbunge wa zamani wa Jimbo la Iringa Mjini mchungaji Peter Msingwa amesema hana mpango wa kukihama Chama cha CHADEMA baada ya kutoshinda uchaguzi wa Kanda ya Nyasa.

Msigwa ameyasema haya kutokana na baadhi ya Watu kuamini kuwa kuitisha kwake mkutano na Wanahabari wa Iringa leo kulikua na nia ya kutangaza kukihama Chama hicho.

“Najua Wabaya wangu wengi leo walikuwa wanajua nahama, mimi siondoki niko CHADEMA mliokuwa mnafikiri na bado nipo ,sihami Chadema tunapambana humuhumu yule anayetaka kunyofoa Watu atanyofolewa mwenyewe na hatutoogopa Mtu”

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Mchungaji Msigwa atangaza kukata rufaa kupinga Ushindi wa Joseph Mbilinyi (Sugu) Kanda ya Nyasa
Erythrocyte njoo basi
 
Kiko wapi sasa? 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom