zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Sawa sawaSawa sawa
UongoShida yenu mnapenda majibu mepesi kwa maswali magumu.Tangu lini mfuasi wa dhati wa Chadema atakubali ushauri wa hao wawili kuhusu nani anastahili kupigiwa kura?
Wao kwa kumpigia debe Mbowe wanajenga hisia kuwa Mbowe ni kibaraka wa CCM hivyo kuwafanya watu wampigie kura Lissu.
Msigwa hawezi kufanya hivyo kwa sababu kila mtu anajua anavyomchukia Mbowe.
Bahati mbaya wako watakaoingia mkenge na kumpigia kura Lissu ambae CCM wanamtaka. Lengo lao ni Lissu ashinde halafu Mbowe asuse. Ikitokea hivyo CDM itakuwa ICU by the time Uchaguzi Mkuu unafanyika.
Amandla...
Ni uongo uongo tu umeuandikaKwa nini?
Amandla...
CCM kindakindaki hawamtaki Tundu Lisu wanamtaka mshirika wao Mbowe.Ndio maana nasema mnapenda majibu mepesi kwa maswali magumu. Unadhani watu watampigia kura Mbowe katika uchaguzi wa CHADEMA kwa sababu hao wanampigia debe? Au ndio wataona ni uthibitisho kuwa Mbowe ni mamluki wa CCM na hivyo watampigia kura Lissu?
Chadema wanaamini kuwa CCM wanamuogopa sana Lissu kwa sababu atawasemea ovyo jukwaani! Ukweli ni kuwa CCM hawamtaki Mbowe kwa sababu ya resilience kubwa aliyonayo. Pamoja na kutupiwa kila kitu (yeye na viongozi kufungwa, viongozi waandamizi kuunga mkono juhudi, biashara zake za Tanzania kuhujumiwa, account zake kufungwa) ameweza kuifikisha CDM hapa ilipo pamoja na kukataa kupokea ruzuku za masharti. Wakati huo baadhi ya hao mnaowaona kama mashujaa wakiwa ughaibuni wakichangia mapambano kwa remote. CDM wakimchagua Lissu wataipa CCM ushindi.
Amandla...
Bora umemwambia anaandika utafikiri Lucas Mwashambwa.Ni uongo uongo tu umeuandika
Kwamba Simba iombe kukutana na Barcelona kwenye fainali na sio Namungo! Ahahahahaha!!Mchungaji Msigwa ameeleza wazi kuwa anamuunga mkono Tundu Lissu katika kinyang’anyiro cha Uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Akizungumza kuhusu mwelekeo wa uchaguzi huo, amesema:
"Mimi nam-support Tundu Lissu, ningependa ashinde, lakini ni matatizo yao hayo. Mimi, yeyote atakayeshinda yaani sisi (CCM) tunataka chama kile tukishinde. Yeyote atakayeshinda bado tutakabiliana naye, awe Lissu, awe Mbowe, au mtu mwingine kutoka Burundi, Rwanda. Lakini kwa kuwa mimi ni kada wa Chama cha Mapinduzi, nitakabiliana na yeyote. Hata hivyo, kwa faida ya demokrasia ya Tanzania na hata kwa faida ya CCM yenyewe, anayepaswa kuwa Mwenyekiti pale ni Lissu."
Soma, Pia: Tundu Lissu: Mchungaji Peter Msigwa ni rafiki yangu, lakini nitamkabili Kisiasa
MsigwaNa wewe ungependa nani awe mwenyekiti?
Una haki ya kuamini hivyo ila mimi sikubaliani na wewe. Naamini kuwa Strategists wa CCM bila shaka wanamuona Mbowe ni threat kuliko Lissu. Mashabiki na wafuasi wa kawaida wanaweza kuamini kama wewe.CCM kindakindaki hawamtaki Tundu Lisu wanamtaka mshirika wao Mbowe.